Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

Imenisumbua sana primary mpaka sekondary, ilikuwa ikibana naenda kuchomwa sindano kweny mshipa inaachia. Nilitumia sana dawa za kienyeji za kuchanganya na asali Mara mwisho kunibana ilikuwa 2009...
Kuna wengine huwahangaisha wtt lkn kadri wakikua complications zinapungua na kuisha kabisaa
 
Imenisumbua sana primary mpaka sekondary, ilikuwa ikibana naenda kuchomwa sindano kweny mshipa inaachia. Nilitumia sana dawa za kienyeji za kuchanganya na asali Mara mwisho kunibana ilikuwa 2009.

Hadi nahisi nilishaponaga mana sijawahi kubanwa tena na asthma labda itokee nifanye shughuli yoyote ya kutimua vumbi kama kusafisha stoo ndio huwa nafeel kwa mbaali pumzi kubana Ila huwa haizid siku moja nakuwa kawaida.

Maza huwa haamini nikimwambia sijawah kubanwa tena asthma tokea wakati huo, mana alinihangaikia sana.
Duh hongera sana
 
Pole,

Unaweza kupata daw ambazo zinaweza kuondoa kwenye hali uliyonayo.

Unahitaji kufika hospitali, mwone physician/daktari bingwa wa magonjwa ya ndani kama kwa eneo ulilopo unaweza kumpata.

Kwani daktari husika anahitaji kujua historia na kwa kiasi gani tatizo lipo. Pia kufanya vipimo ili kutambua uwezo wako wa mapafu kwa sasa, kwani huo ndio msingi wa upewe dawa za aina gani na mara ngapi ili kukuweka huru na mashambulizi ya pumu ya mara kwa mara.

Pia ushauri wa ziada wa nini ufanye na nini usifanye. Kipi utumie na kipi usitumie kulingana na hali halisi.
Shukrani sana
 
Nenda hospital na ujikubali,mie Nina pumu tangu nikiwa mtoto na Sasa ni mtu mzima na mazoezi nafanya kwa wingi kwa KADRI YA UWEZO WA NGUVU WA MAPAFU...nilipokuwa mtoto ikianza masika mawingu yakiandama naumwa...nikienda mashineni kusaga sababu ya vumbi naumwa....Hadi mpira wa miguu ukanipita kushoto!

Nilipojikubali nikaanza mazoezi na kujilinda na vumbi...naweza kumaliza masika bila kunywa dawa ya Asthma/inhaler

Muone daktari jikubali, no short cut
Shukrani sana
 
Maradhi ya pumu hakuna dawa ya hospitali itakayo weza kukuponyesha ukapona kabisa utapata unafuu.

Zipo tiba za asili za kutibu maradhi ya pumu na utaweza kupona kabisa maradhi yako nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia maradhi yako.
Sawa ndugu
 
Mungu atunusuru na huu ugonjwa unatesa sana.

Wadau nimeona kwenye andiko hapa kwamba kuishi kwenye maeneo yenye baridi inaleta hatari ya mtu kupata pumu. Mimi nikiwa kwenye mikoa ya Njombe na Iringa tatizo hilo halinipati kabisa hata naweza kulala kwa amani na wakafunga madirisha lakini nikiwa Dar, Morogoro na Moshi nalazimika kulala madirisha wazi na chumba kiwe na hewa nyingi vinginevyo majanga kabisa na huu ugonjwa. Japo nilitumia mitishamba na dawa za hospital
 
wewe uko kama mie , mikoa ya baridi hainikamati kabisa , ila nikiwa mikoa ya pwani yenye joto sitambi kabisa , hasa hasa kukiwa na mawingu halafu mvua isinyeshe , ila mawingu yakitanda na mvua ikanyesha fasta nipo safe .
Pumu kwenye ukoo wetu ulikuwa ni ugonjwa wa kurithi , ilikuwa ina pattern ya mjukuu wa kwanza wa kiume , mimi babu alikuwa nayo baba hakuwa nayo , nikaja kuipata mie ., kwa trend hiyo ilitakiwa nisipate mtoto mwenye pumu , bahati mbaya niliyopata upande wa mama watoto nao wana pumu pia , tena kali sana na unlike pumu yetu , wao haina pattern kabisa , hii imesababisha first na last born wangu nao kuwa na pumu,
 
Pole sana ndugu. Allah awafanyie wepesi.

Kumbe tupo wengi. Binafsi nawaza kwenda kufanya makazi ya kudumu Iringa mkuu.
 
Ukoo wetu tuna pumu kwa baba na mama
Mwanangu mmoja anayo pia

Wakati nikiwa mdogo ilinisumbua sana haswa nilipokua sekondari
Lakini umri unavyozidi kwenda ikaanza kupungua taratibu

Hadi sasa huwa nabanwa kidogo sana iwapo ntafanya shughuli yenye kutibua vumbi jingi sana

Kwa jinsi nilivyoona ndugu zangu walioamua kupigana nayo kwa kuamini kuna dawa wamepitia basi nimejiridhisha pasi na shaka ya ziada kwamba PUMU HAINA DAWA
Zipo dawa za kudhibiti na sio kupona

Issue ya pumu ni ya kimaumbile, sio ugonjwa unaotokana na vimelea vyovyote hai......ni ulemavu wa chembe chembe

Sijawahi kutumia dawa nje ya zile za hospital ambazo kwa sasa nimesahau kutumia kabisa kadri umri unavyokwenda

Hii ndio experience yangu
 
good experience
lakini kwa desturi pumu inasumbua utotoni na mwanzo wa ujana , kweny utu uzima huwa tunapata break, nina kama miaka mitano ya utu uzima wangu haijamisumbua sana ila siamini kama nimepona,, hata babu yangu aliwahi kuniambia kuwa yeye pia ujana wake na utu uzima haikumsunbua kabisa na hadi akahisi kuwa amepona , ilikuja kurudi kwa ukali uzeeni mwake na ndio iliyomuua.
 
kwanza nakusalimu,kwa jina la mwenye'ezi, pili kila ugonjwa una dawa yake,lakin sisi waafrica ndio tunakasumba ya wazungu.ningekushauri uwasiliane na mimi vizuri,na inshalla kuna dawa ya pumu,dawa ya mitishamba,na mimi mwenyewe nimetumia na nashukuru mungu nimepona kabisa.na wengi wametumia hiyo dawa nao wamepona. RASAKA.
Naweza ipata dawa
 
Ndiyo mkuu naitika wito wako!
Huu uzi ni wa muda sana na ukijaribu kuuperuzi kwa makini utaona ya kwamba ni muunganiko wa threads nyingi zinazoelezea ugonjwa wenyewe, wagonjwa na tiba mbalimbali za pumu. Hata nyuzi zangu nyingi za pumu mods wameziunganisha hapa!
Hii inaleta mkanganyiko kwa mtu anaehitaji tiba sahihi itakayomaliza shida yake kwa muda mfupi na gharama nafuu!

Tiba yangu mimi ni ya uhakika na nafuu, utatumia dozi siku saba tu utapona.
Hutahitaji tena kuendelea kusaka tiba ya pumu.

Kwa yeyote anayehitaji tiba yangu aweke mawasiliano yake PM nitamhudumia haraka iwezekanavyo!

Karibuni sana...

Kisima , hii Tiba ni uhakika 100%? IPO?

-Kaveli-
 
wakuu nimesubscribe uzi huu..mama yangu ni muhanga wa pumu Kali sana na hivi ninavyoongea kalazwa yupo hospital tena alibanwa na pumu Kali kipindi anaongea na Mimi kwa simu...tusaidiane dawa ya asili kama IPO wakuu

Mkuu TADPOLE , pole kwa mtihani wa maradhi hayo kwa mama.

Vipi mlifanikiwa kupata Tiba? If yes, share it with jf community. Wahanga ni wengi mno!

-Kaveli-
 
Mkuu TADPOLE , pole kwa mtihani wa maradhi hayo kwa mama.

Vipi mlifanikiwa kupata Tiba? If yes, share it with jf community. Wahanga ni wengi mno!

-Kaveli-
Assnte mkuu Kaveli,kiukweli mama yangu alifariki 2020 kwa tatizo hilo la pumu..

Lakini dada yangu pia alikuwa ni muhanga wa pumu bahati nzuri hili nisimpoteze na yeye nilimuhangaikia sana kumtafutia dawa mpaka nilipoipata kwa wamasai pale round about ya sabasaba Dodoma..pale kuna masai alinipa dawa perfect kwa shillingi 12,000 ambayo dada tangu anywe mwaka 2021 hadi leo pumu halikuwahi kurudi na wakati ilikuwa kila mwaka ni lazima yeye na marehemu mama wateseke pamoja hasa msimu wa baridi.
 
Kisima , hii Tiba ni uhakika 100%? IPO?

-Kaveli-
Mkuu Kaveli hii tiba ipo. Mi nilitumia awamu ya mwanzo na mwisho mwaka 2012 mpaka muda huu naandika hapa sijarudiwa na asthima attacks.
Naweza nikasema kwakweli namshukuru Mungu binafsi ilinisaidia na ndiyo maana ilinibidi nirudi kwa aliyenipa tiba akanielekeza namna ya kuandaa. Lengo na maksudi ni kuhakikisha inawafikia na wahanga wengine kadri taarifa zinavyo wafikia. Ndo nikaamua kuitambulisha hapa JF.
Wapo waliotumia wakaleta mrejesho chanya juu ya uponyaji.
Ni muda mrefu umepita na kama ujuavyo majukumu ni mengi hivyo sikujikita mojakwamoja kutoa huduma hii.
Ila kwakuwa nayajua mateso ya pumu, huwa nasaidia endapo nikihitajika kufanya hivyo na kadri wasaa unaporuhusu...
 
Pole Sana mkuu TADPOLE kwa kumpoteza mama yetu, apumzike pema.

Siku nikienda Dodoma nitapitia hayo maeneo ya roundabout sabasaba ili kujaribu kuulizia hiyo Tiba. Ama huyo mmasai Una mawasiliano naye labda ya moja kwa moja? maana nahisi ni eneo lenye maasai wengi wauza dawa mbali mbali.

-Kaveli-
 
Mkuu Kaveli hii tiba ipo. Mi nilitumia awamu ya mwanzo na mwisho mwaka 2012 mpaka muda huu naandika hapa sijarudiwa na asthima attacks.
Naweza nikasema kwakweli namshukuru Mungu binafsi ilinisaidia na ndiyo maana ilinibidi nirudi kwa aliyenipa tiba akanielekeza namna ya kuandaa. Lengo na maksudi ni kuhakikisha inawafikia na wahanga wengine kadri taarifa zinavyo wafikia. Ndo nikaamua kuitambulisha hapa JF.
Wapo waliotumia wakaleta mrejesho chanya juu ya uponyaji.
Ni muda mrefu umepita na kama ujuavyo majukumu ni mengi hivyo sikujikita mojakwamoja kutoa huduma hii.
Ila kwakuwa nayajua mateso ya pumu, huwa nasaidia endapo nikihitajika kufanya hivyo na kadri wasaa unaporuhusu...

Mkuu nitakutafuta mapema itakavyowezekana.

-Kaveli-
 
Pumu inatibika vizuri sana kwa tiba ya mitishamba,sema watu wameaminishwa tofauti ndiyo maana hawahangaiki kutafuta tiba! Lakini ukweli ni kuwa watu wanapona na dawa zipo sema ni vigumu kumshawishi mtu umpe dawa.
 
Share nasi mkuu ili jf community inufaike. Wahanga ni wengi Sana hili suala.

-Kaveli-
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom