Ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Mwakyembe ni ule ule alioupata hayati Mwalimu Nyerere

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Katika mazungumzo yetu leo kuhusu sakata la Vincent Nyerere na Mkapa daktari mmoja rafiki yangu wa Muhimbili amenidokeza kwamba ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Harrison Mwakyembe unafanana sana na ule alioupata hayati Mwalimu Julius Nyerere ambao hatimaye ndiyo uliyomuuwa.

Nikaanza kutafakari, jee inawezekana chanzo cha huu ugonjwa wa Dr Mwakyembe ni kile kile cha ugonjwa wa Mwalimu Nyerere? Yaani aliyehusika kumpa Dr Mwakyembe ugonjwa huo ni yule yule aliyempa Mwalimu? Najaribu sana kuunganisha dots ………
 
Li-nchi hili kama kungekuwa na wapelelezi makini (siyo akina Manumba) kuna vigogo humu nchini wasingeonekana uraiani kwa muda mrefu, au kusafirishwa ahera kwa njia ya kitanzi!
 
Katika mazungumzo yetu leo kuhusu sakata la Vincent Nyerere na Mkapa daktari mmoja rafiki yangu wa Muhimbili amenidokeza kwamba ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Harrison Mwakyembe unafanana sana na ule alioupata hayati Mwalimu Julius Nyerere ambao hatimaye ndiyo uliyomuuwa.

Nikaanza kutafakari, jee inawezekana chanzo cha huu ugonjwa wa Dr Mwakyembe ni kile kile cha ugonjwa wa Mwalimu Nyerere? Yaani aliyehusika kumpa Dr Mwakyembe ugonjwa huo ni yule yule aliyempa Mwalimu? Najaribu sana kuunganisha dots ………

Kuna kitu hapo. Mie nilikuwa mmoja wa wananchi na watu wengine waliokwenda kuaga mwili wa marehemu Mwalimu pale Uwanja wa Taifa (wa zamani). Lakini sasa naweza kusema kwamba baada ya kumuona Dr Mwakyembe kabla ya kwenda india hii mara ya pili, na nilivyouona mwili wa Mwalimu (uso) kule National Stadium, naweza nikasema ni maradhi yale yale.

Kuna swali kubwa bila shaka.
 
Jamani mbona Nyerere hakufa kwa ugonjwa wa ngozi?

Kama wote walipewa sumu, basi hizo sumu zilikuwa tofauti maana zimesababisha magonjwa tofauti!!
 
huyo daktari amesema ni ugonjwa gani?
Hii itatusaidia kujua tunafananisha nini na nini.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Mmmmhhhh, huu ni mwanga zaidi tena!!!!!! Kumbe ni wamoja?

Katika mazungumzo yetu leo kuhusu sakata la Vincent Nyerere na Mkapa daktari mmoja rafiki yangu wa Muhimbili amenidokeza kwamba ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Harrison Mwakyembe unafanana sana na ule alioupata hayati Mwalimu Julius Nyerere ambao hatimaye ndiyo uliyomuuwa.

Nikaanza kutafakari, jee inawezekana chanzo cha huu ugonjwa wa Dr Mwakyembe ni kile kile cha ugonjwa wa Mwalimu Nyerere? Yaani aliyehusika kumpa Dr Mwakyembe ugonjwa huo ni yule yule aliyempa Mwalimu? Najaribu sana kuunganisha dots ………
 
Jamani mbona Nyerere hakufa kwa ugonjwa wa ngozi?

Kama wote walipewa sumu, basi hizo sumu zilikuwa tofauti maana zimesababisha magonjwa tofauti!!

Kwani nani amekuambia Dr. Mwakyembe tatizo lake liko kwenye ngozi? Uharibifu wa ngozi ni madhara tu, ila tatizo lipo kwenye uboho (bone marrow). Haya mambo tutayajua vizuri tu karibuni.
 
Katika mazungumzo yetu leo kuhusu sakata la Vincent Nyerere na Mkapa daktari mmoja rafiki yangu wa Muhimbili amenidokeza kwamba ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Harrison Mwakyembe unafanana sana na ule alioupata hayati Mwalimu Julius Nyerere ambao hatimaye ndiyo uliyomuuwa.

Nikaanza kutafakari, jee inawezekana chanzo cha huu ugonjwa wa Dr Mwakyembe ni kile kile cha ugonjwa wa Mwalimu Nyerere? Yaani aliyehusika kumpa Dr Mwakyembe ugonjwa huo ni yule yule aliyempa Mwalimu? Najaribu sana kuunganisha dots ………

Huyo Daktari asitufunge kamba hapa. Nyerere alikufa kwa kansa ya damu.............. Mpaka sasa hatujui Mwakyembe anaumwa nini na wala huyo daktari wako hajasema huo ugonjwa wa Mwakyebe unaitwaje .............. kama yeye anajua basi aseme kama Mwakyebe ana cancer ya damu ndiyo tutaamini ni ugonjwa uleule.
 
Yes,Mwl alikuwa kama albino hivi siku za mwisho hata Mwakyembe ni hivyo hivyo.lazima tujiulize nchi yetu hii na wote hawa ni viongozi wetu!!
 
Huyo Daktari asitufunge kamba hapa. Nyerere alikufa kwa kansa ya damu.............. Mpaka sasa hatujui Mwakyembe anaumwa nini na wala huyo daktari wako hajasema huo ugonjwa wa Mwakyebe unaitwaje .............. kama yeye anajua basi aseme kama Mwakyebe ana cancer ya damu ndiyo tutaamini ni ugonjwa uleule.
Hivi Mr Zero,Zero maana yake hamna kitu yaani Sifuri kabisa?
 
Kama wameweza kumuua Baba wa taifa basi wanaweza kumuua yeyote yule.
kamuua Mwalimu ili iwe rais kuwatesa watanzania kwa kuwanyonya kodi na kuwapokonya rasilimali zote kwa sera ya ubinafsishaji.
Damu ya mwalimu itawasumbua milele.
:A S-cry:
 
like - siioni la chukua hiyo.

Kama wameweza kumuua Baba wa taifa basi wanaweza kumuua yeyote yule.
kamuua Mwalimu ili iwe rais kuwatesa watanzania kwa kuwanyonya kodi na kuwapokonya rasilimali zote kwa sera ya ubinafsishaji.
Damu ya mwalimu itawasumbua milele.
:A S-cry:
 
Death is there, it doesnt depend on either your strengths or weaknesses. To die is your natural character. What matters is to avoid dying early.
 
Back
Top Bottom