Ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Mwakyembe ni ule ule alioupata hayati Mwalimu Nyerere

Li-nchi hili kama kungekuwa na wapelelezi makini (siyo akina Manumba) kuna vigogo humu nchini wasingeonekana uraiani kwa muda mrefu, au kusafirishwa ahera kwa njia ya kitanzi!

wapo wa kwenye riwaya, Joram Kiango, Will Gamba na inspecta kombora!
 
Naanza kuamini kuwa kuna watu wanasiri nzito za nchi ila hawataki kusema kitu ambacho kinaendelea kuligarimu taifa.
 
Kama kweli Mwakyembe amefariki basi tutamuulia Kikwete pale Kyela labda asije kwenye mazishi.
 
sasa ninyi mods tunajua ninyi mu wababe...!mnafanya mlitakalo...!mmezifuta zile thread no bad...!walau andikeni kitu fulan for clarifications
 
nadhani si vyema kuanza kujadili hisia napropaganda za kidogma ,kwani hakuna ushahidi wa kuthibitisha kama kweli mwakyembe alipewa sumu kwakuwa swala hili bado lina mkanganyiko mkubwa
 
sidhani mkapa angeweza kumuua mwalimu..., lets be fair sometimes.ana madudu mengi sana huyu jamaa lakn kum-assasinate nyerere asingeweza kabisa.., usalama kwa kipindi alichokufa nyerere..., top layer ilijaa cream ya watu waliokua recruited kipindi nyerere rais.., na amini nawaambia they were still loyal to him.., he still had his humble men on top,, isingekua rahisi kitu kama hicho kipangwe bila his men..., nada! isingewezkana! Najua baadhi mtauliza mbna walimuua sokoine kwa directions za kawawa, yes, its true, lakn nyerere was somebody else kwa watu wa usalama..., walimpenda.
 
royalty? mmmnh, sijashawishika bado!
 
Katika mazungumzo yetu leo kuhusu sakata la Vincent Nyerere na Mkapa daktari mmoja rafiki yangu wa Muhimbili amenidokeza kwamba ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Harrison Mwakyembe unafanana sana na ule alioupata hayati Mwalimu Julius Nyerere ambao hatimaye ndiyo uliyomuuwa.

Nikaanza kutafakari, jee inawezekana chanzo cha huu ugonjwa wa Dr Mwakyembe ni kile kile cha ugonjwa wa Mwalimu Nyerere? Yaani aliyehusika kumpa Dr Mwakyembe ugonjwa huo ni yule yule aliyempa Mwalimu? Najaribu sana kuunganisha dots ………

Napenda hoja sipendi vioja!, hiki ni kioja!!! naomba majibu tafadhari:

1. We ulipata taarifa kwa nani kwamba Nyerere alikufa kwa ugonjwa wa ngozi?,
2. Nani amekupa uhakika kwamba nyerere alikua na kitu kwenye bone marrow kinachomsumbua?,
3. Lini ulipata taarifa kwamba Nyerere ananyonyoka nywele na vinyweleo mwili mzima?
4. Nipe sababu 3 zinazokufanya umuamini sana huyo dakitari wako wa muhimbili (hasa uhusika wake katika kutibu hao watu wawili)
 
Jamani maendeleo ya huyu mpiganaji yeyote mwenye habari kamili.

Yupo Apollo anasubili siku yake.

Kama unaijua bone marrow, ni pamoja na ubongo! na umeshaambiwa kitu kimeingilia kwenye ngozi mkononi halafu kimeenda kutulia kwenye bone marrow, bado unaulizia maendeleo? Mi naona huyu bwana anataka kutuachia utata tu kama Balali. Ningependa aweke mambo yote hadharani
 
Back
Top Bottom