Wanaumwa tu kama wanavyoumwa watanzania wengine kuna milion ya watanzania wanaumwa na wamelazwa hospital zenywe huduma duni ndio wakusikitikiwa na sio wanaotibiwa india,so wagonjwa kama walivyo wagonjwa wengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.