Ugonjwa wa Mwandosya na Mwakyembe

But...but..but those two masaburi are suppossed to be six feet under now if it was polonium?
 
Wanaumwa tu kama wanavyoumwa watanzania wengine kuna milion ya watanzania wanaumwa na wamelazwa hospital zenywe huduma duni ndio wakusikitikiwa na sio wanaotibiwa india,so wagonjwa kama walivyo wagonjwa wengine
 
Unataka ukweli kutoka kwa nani tena wakati wahusika wameshajitambulisha wazi? Au ulikuwa umesafiri?
 
Siku moja kabla Mwakyembe hajaondoka kwenda India, mkewe aliwatonya wana JF ugonjwa unaomsumbua Mh. Mwakyembe.
 
Back
Top Bottom