Legacy: Treni ya Dr Mwakyembe ndio mkombozi wa Usafiri Stesheni - Pugu, behewa 19 hazinaga mbambamba!

Mabaya yake ni machache kwa wachache kuliko mazuri mengi kwa watanzania wengi sema tu wachche wakawa na nguvu kuliko wengi
Tatizo la mabaya yanakawaida ya kufuta mazuri. Na hii ni kwasababu mabaya yanaumiza na kuacha kovu la muda mrefu

Mwendazake alifanya mengi mazuri, lakini hii haimuondolei kwamba pia aliwaumiza watu na kuwaachia machungu pengine bila hata sababu za msingi kwasababu angeweza kutumia njia nyingine
 
Treni ya 'Mwakyembe' inahusiana nini na Magufuli?
Hivi hujui Treni ya 'Mwakyembe' ilianza kutoa huduma kuanzia mwaka 2012 chini ya utawala wa Kikwete?

Usipende kukariri mambo.
Duniani wajinga wapo na ndio mtaji wa CCM. Kila kitu Magufuli pumbavu kabisa.
 
Tatizo la mabaya yanakawaida ya kufuta mazuri. Na hii ni kwasababu mabaya yanaumiza na kuacha kovu la muda mrefu

Mwendazake alifanya mengi mazuri, lakini hii haimuondolei kwamba pia aliwaumiza watu na kuwaachia machungu pengine bila hata sababu za msingi kwasababu angeweza kutumia njia nyingine
Nakubaliana na wewe
 
Dkt. Mwakyembe apewe Maua yake.
Bw.Mwaibula wa SUMATRA ya enzi hizo 2000 apewe maua yake kwa kufukuza HIACE, Hawa LATRA 2024 Walaaaniwe kwa kujaza majiji na Utitiri wa Bajaj na Boda boda.
 
mpaka leo sijaelewa kwa nini Magufuli hakufanya kazi na Mwakyembe kwangu Mwakyembe ni one of the most visionary leaders kuwahi kutokea tanzagiza hata alijitolea maisha yake kwa ajili ya nchi yetu hata akapewa sumu yote kwa ajili yetu, anyway sijui ni kwa nini hakumtumia vizuri Mwakyembe …
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom