Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

Dawa ya kusahau kuwa wewe ni M Tanzania jaribu kila siku unapo amka nenda baharini katizame maji ya bahari karibu saa nzima, na kila unapokwenda kuzika makaburini angalia majina ya marehemu kama 10 uwe unayasoma majina ya Marehemu Tarehe aliyozaliwa mwaka aliokufa fanya hivyo kila wakati kwa muda kama miezi 6 basi utasahau kuwa wewe ni MTanzania mpaka utamsahau Rais wako jaribu kisha unipe feedback. Usije tena ukasahau kutokunipa Feedback. mkuu GateCrasher
We unataka ni-run mento!
Makaburi?
Duh!
 
Mweeh! Haya ngoja na mie nichukue rasta walizotupa jalalani nianze kujifukiza manake nasahau hadi nnaowadai! Umesema dozi ni kilo ngapi za nywele Mara tatu kwa siku tano?:eek2:


Hahaahh mie huyu mzizimkavu ananishangaza kitu kimoja,hakuna linalomshinda yeye kila ugonjwa ana dawa.....mnh:redface::redface::redface:
 
Ukiingia kwenye mambo ya Dini hiyo basi huitwa Uchawi... unachawia so utaitwa Mchawi
Mkuu Duduwasha Nini maana ya neno ( unachawia)? Hapa hatupo kwenye Jukwaa la Mambo ya Dini hapa tupo kwenye jukwaa la JF. Doctor kwa hiyo Tafadhali msilete mambo ya UDini na Ulokole hapa. Hapa ni dawa tu tuelemishane sio kuleta Udini tafadhalini.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.@Mringa Baba yako kutokana na umri aliokuwa nao si Rahisi kupona ila ajaribu dawa zangu hizi za Tiba

Mbadala huenda zikamsaidia . Atwange Dawa moja inayoitwa Halilaji achanganye na Asali Safi mbichi ya nyuki

kijiko kimoja kikubwa awe anakunywa kila siku katika maisha yake. Au Apate Mafuta ya siku nyingi ya

Zaituni ajipake nyuma ya kichwa upande wa kichogoni awe anajipaka kila siku inasaidia sana hayo mafuta ya Zaituni ya siku nyingi

kupoza ugonjwa wa kusahau. Au achome nywele za Binadamu katika moto kisha uvute ule moshi au mvuke

wake hii itamsaidia kuondosha ugonjwa wa ahau. Na ingine awe anakula Sana Figili na Samli Safi ya Ng'ombe.

itamsaidia kuondosha ugonjwa sahau. Au ale Zabibu kavu kwa wingi kila siku hiyo pia itamsaidia kuondosha huo ugonjwa wa Sahau.

eeeeeeeeeeeeee..........hiyo dawa!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu GateCrasher Huwezi kuwa Mento ila utapata ugonjwa wa kusahau kwa sababu kuangalia na kusoma Vibao vya majina ya watu waliokufa kwenye Makaburi kuleta ugonjwa wa kusahau pia kuangalia maji ya Bahari kunaleta ugonjwa wa kusahau jaribu kufanya utafiti kisha unipe feedback Mkuu.
Citation needed!
Evidence-based-Medicine.
 
Mkuu Duduwasha Nini maana ya neno ( unachawia)? Hapa hatupo kwenye Jukwaa la Mambo ya Dini hapa tupo kwenye jukwaa la JF. Doctor kwa hiyo Tafadhali msilete mambo ya UDini na Ulokole hapa. Hapa ni dawa tu tuelemishane sio kuleta Udini tafadhalini.
Uchawia ni sawa na kuroga Kimtaa tunsema Unamuweka Giza
 
naamini mu wazima wana jf!hivi tatizo la kusahau linasababishwa na nini?na nini tiba yake?
 
Kuna jamaa alikwenda kwa daktari akamwambia dokta nina tatizo la kusahau

Dokta akauliza tatizo hilo limeanza lini?

Jamaa akauliza; tatizo gani?
 
Back
Top Bottom