Punguza pombe kama unatumia
Unaumri gani? Umekuwa na tatizo hilo kwa muda gani? Je kwenye familia yenu kuna historia hiyo?
aisee i' 24yrs old!,sio mlevi wala wakutumia madawa ya kulevya,sijaathirika na madawa mengine,!
Kukosa kumbukumbu siyo jambo geni kwa baadhi ya watu. Hali hii tuikuwa tukiichukula zaidi huwapata wazee lakini hapana hiyo hali hutokea mtu yeyote na ni kwa sababu ya kuwa na mawazo mengi wakti mwingine juu ya jambo fulani hadi linakuwa linasababisha athari katika ubongo ambapo athari mojawapo ni kupoteza kumbukumbu. Mfano wa baadhi ya watu wa namna hii ni baadhi ya watu wanaoishi kwa kutumia ARVs, wanaoishi wenyewe(wapweke). Watu wa namna hii hushauriwa mara nyingi kutotakiwa kuwa peke yao na wanatakiwa kujichanganya na watu ili wasiweze kuendelea kuwa katika hali yenye kuleta madhara zaidi. Pia zipo lishe maalumu kwa ajili ya kuondoa tatizo la kupoteza kumbukumbu. Lishe hiyo imeandaliwa kiasilia na imefanyiwa utafiti wa muda mrefu na kuonekana kutokuwa na madhara kiafya na imethibitishwa tayari kwa matumizi ya kiafya kote duniani. Kwa hapa Tanzania imepitishwa na TFDA kwa ajili ya matumizi pia ya Watanzania.
Fuatilia maelezo muhimu ya lishe kwa wale waliopoteza kumbukumbu. Hii ni lishe na inaweza kutumiwa na mtu yeyote kwa ajili ya kuimarisha afya na siyo lazima mtu awe amepata tatizo.
CORDY ROYAL JELLY
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.
FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY
- Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
- Inaondoa cholesterol
- Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
- Ina faty Acid
- Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
- Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
- Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
- Inafanya damu kuwa nyepesi
- Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
- Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
- Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.
CORDY ACTIVE
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps, sinensis. Mmea huu unapatikana Asia Mashariki uko kwenye familia ya kutumia mizizi na uyoga. Kinatumika kiini chake kinachoitwa cordy cepine.
FAIDA ZA CORDY ACTIVE
- Huimarisha kinga ya mwili. Uchunguzi unaonyesha kuwa bidhaa hii ina kila kitu tunachohitaji mwilini(vitamin,wanga,protini,madini nk)
- Huondoa matatizo yote kwenye mfumo wa hewa(upumuaji).
- Huponya pumu, dyspnea, allergy, homa ya mafua
- Kuondoa msongo wa mawazo na uchovu mwilini.
- Kuondoa matatizo ya figo, moyo kutanuka.
- Matatizo ya uvimbe, kuzuia kansa kuenea mwilini
CA + FE + ZI PLUS
- CA Madini ya Chokaa
- FE Madini ya Chuma
- ZI Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA
- 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
- Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
- Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
- Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
- Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha
FAIDA ZA MADINI CHUMA
- Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
- Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
- Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
- Huongeza nguvu mwilini
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI
- Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
- Inaimarisha milango ya fahamu
- Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
- Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
- Inaondoa matatizo ya macho.
Kwa yeyote anayehitaji kuuliza swali au kutaka ushauri anaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia email ishealthy@hotmail.com
Gharama za CORDY ROYAL JELLY ni Tsh 68000/-, CORDY ACTIVE ni 66500/- na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-
Nakubaliana Na Rex hapo juu! Tafuta vidonge vya Gingo Biloba (herbal remedy), vinaweza kusaidi, lakini itabidi utumia angalau kwa miezi mitatu ndo uone Kama kuna tofauti au la! Otherwise itabidi uende hospitalini kwa uchunguzi zaidi ( hospitali kubwa/ pengine Aga Khan)
mimi si daktari lakini ni mfuatiliaji wa natural remedies. nenda pale Mliman City utafute kitabu kilichoandikwa Natural Remdies for Health and Well Being na Enrique Garza.humo kuna maelezo ya dawa moja inaitwa Ginkgo Biloba uwasiliane na watu wanaotembeza madawa yaasili kama forever, GNLD n.k utapatiwa maelezo namnaya kuipata tumia kwa muda mrefu utaona mabadiliko. pili tumia asali mara kwa mara na mazao yanayotokana na asali. kula matunda ya aina mbalimbali na mboga aina tofauti ni lazima utaona mabadiliko.Habar wakuu jf,
kila kukicha naona kama kumbukumbu zangu zinapotea,na nakosa umakini na nnachokifanya! Yaan inabidi niwe makini sana ndo nikumbuke nilichofanya,
naomba mwenye dawa,au mlo wa kuzingatia amwage hapa,
naomba msaada wenu ni jinsi gani mtu anaweza kuweka kumbukumbu ya kichwa chake vizuri naona na matatizo ya kusahau sana na umri wangu bado mdogo sana
una mpenzi.........?
mpenzi na kusahau vinahusiana nini?