Asante kwa kukumbushia. Tena kuna rafiki yangu alifariki mwaka huu kwa ugonjwa huu. Aliteseka sana na alikufa akiwa teja wa morphine. Inasikitisha kwa kweli...
unaweza kuchukua mda gani kugundua kuwa umeambukizwa ugonjwa huu...
Uzuri ni kwamba kuna vaccine inayozuia maambukizi ya Hepatits B, tofauti na UKIMWI.
What about A and C; which one is more deadly?
Ila ukitaka mwenyewe sidhani kama inashindikana.hiyo hutolewa kwa watoto wachanga waliozaliwa kizazi hiki in pentavalent vaccine. Sisi tuliozaliwa enzi hizo mpaka uwe unaenda nje. Serikali yetu ya washkaji bado haijaona umuhimu wa kutoa kwa kila mtu
[SIZE=-1]The color in each box indicates which book contains information to deal with a particular malady or disease, though all of them contain holistic and prophylactic information that can help you live healthy, improve your health or help you fight multiple diseases. [/SIZE] |
Uropathy | Prostate Cancer | Salt* Deficiency | Universal Remedy | Breast Cancer |
Ebu mnisaide juu ya hili,kuna mtu nilifanya naye mapenzi kwa kutumia mpira baadaye akaniambia ana huu ugonjwa sasa imepita miaka 2 sijaoana dalili yoyote kati ya hizo..je naweza kuwa niliambukizwa?kukanyaga kwa Dr.nikazi nyingine..msaada..
Mtindi na zabibu Unaweza kuwa unatumia kwa siku mara 3 itakuwa ni vizuri zaidi yaani asubuhi,mchana na usikumzizi mkavu,asante sana kwa mabandiko yako ya 'alternative therapy', kwa kweli ni msaada mkubwa. hapo kuhusu upungufu wa damu kusababisha hepatitis, nilidhani hepatisis (a,b na c) zinasababishwa na virus? pili,hujaongelea kiasi gani cha mtindi ama zabibu, au inamaanisha ukitumia mara kwa mara ni dawa tosha?