4X4byfar
JF-Expert Member
- Oct 29, 2008
- 201
- 17
Hivi jamani naombeni msaada kwenye hili swala au isije kuwa ninafikiria kimakosa! tuseme your husband has invited his friend home for lunch or dinner. Then baada ya maakuli na mivinyo kwa sana, anamlazimisha mwenzie alale home tena sebuleni kwenye safari bed maana chumba nikimoja cha kulala. Nimekaa nikachekecha sipati jibu maana huyo bwana angeweza kurudi home kwake na akapumzike. Nikiiuliza naambiwa ndo ulaya hii! Je huu niungwana wana JF?