Ugeni mzito nchini...

Avatar Myg

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
675
118
Nimeiona hii sehemu.. Nkaona si vibaya nikiileta hapa...
Ugeni Mzito. Nina furaha kuwatangaz​ia watanzania​ wenzangu kwamba tuna ugeni mzito siku 2-3 hizi tumetembel​ewa na Rais wetu akitokea South Afrika na atakuwepo nchini kwa mapumziko mafupi kabla ya kusafiri tena wiki ijayo.Weny​e matatizo ya kuhitaji ufumbuzi wake waandike barua na kumpa Waziri mkuu ambaye atamkabidh​i atakapokuj​a tena kupumzika safari nyingine.
 
Huyo ni raisi wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, mbona hamuelewi vitu hvi jamani.
 
Huyo ni raisi wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, mbona hamuelewi vitu hvi jamani.
Umenifurahisha Mkuu! Hivi ndivyo alivyo, excatly ni Rais wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa.
Hivi yupo aliye na kumbukumbu JK amefanya safari ngapi za nje tangu awe rais, au angalau wastani wa safari zake kwa wiki, mwezi, mwaka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom