Uganda Finds An Alternative Route through Tanzania!!!

Having an alternative is always good, but like someone said the cost benefit ratio in this case [without a detailed analysis] is not very attractive, even if we ignore the distance and the tax factor, there is one more factor that everyone is not considering.

On this route there a minimum of three change mode changes Rail to Road to Water, which adds significantly not only to the cost but also to the transit time.

The Mombasa to Kampala has a minimum of one Road and at worst two Rail to road.

For this route to be even slightly competitive, all those factors have to be addressed.

One thing I would love to see would a inter-connected high speed railway system in the whole of EA, that would relieve our roads of the heavy traffic, reduce the coast of transporting goods, and make produce more available to the remotest parts of EA.
 
Pardon me for bursting your bubbles to early.But just look at the Map is it me or the distance from Dar to Kampala looks longer from the naked eyes compared to Mombasa-Kampala.I think in Economics there is something referred to Cost benefit analysis??
does it apply here?

Hivi umefuatilia chochote kuhusu the recent state of affairs between Kenya and Uganda, what do you want to acknowledge these problems, a full blown war?

Katika cost-benefit analysis huwezi kuweka namba tu, inabidi uangalie political climate and other variables too.

Katika kujaribu kujikita katika uchumi umeonyesha kutojali au kutojua siasa, ambayo inaendesha uchumi mara nyingi. Cost benefit analysis haiishii kwenye hesabu za "Arthmetic Analysis" tu, zinaenda mpaka kwenye intangibles za kisiasa.
 
As a short term measure,and looking at various variables,the port of Dar will be usefull.But in the long term this is a non starter- i know tanzania inavutia biashara,but the logistics involved tanzania irrespective of our views can not cope the end result costs will multiply 4 fold,consumers in uganda will suffer leading to a rethink of this route
 
Unless war brakes out between Kenya and Uganda the numbers don't add up.
 
I doubt if it was the Tanzanians who initiated this deal. In my opinion, the whole thing looks like it's Kampala-driven.

Kama tutaendelea kuzinduliwa na wenzetu bila sisi kutumia opportunities, itakuwa ni kupigwa bao kila siku. Aibu kubwa kwa wanaohusika, wanajijua hata bila kuwataja.

Lakini pia, congestion ya mizigo bandarini imekuwa issue mbaya bila hata mizigo ya Uganda. Je wakianza kupitisha mizigo kwetu tutamudu? Ni kama mchezo wa panya, baadhi wakichimba, huku wengine wakifukia shimo husika.

Kama siyo viongozi bomu ni nini? Hivi rais anashindwa nini kufanya reforms za bandari zetu na TRA wanavyofanya kazi tukaingiza mizigo bila matatizo, ukiangalia ni kama serikali haitaki maendeleo ya haraka.
 
Last edited:

Well said mkuu.

Mwenywe natazama hii development kama changamoto kwa TPA,TRA na
serikali kwa ujumla.Kuna umuhimu wa kuimarisha hii infrastructure
inayokatiza through the midline of the country ili kurahisha usafiri wa
mizigo both internally na across the borders.Hapa naongea kuhusu reli
na magari ya moshi ambayo ni muhimu katika kusafirisha bulky goods
over distances.

Pia inabidi kuboresha barabara na somebody needs get rid of that
anti-night time traffic law. Imepitwa na wakati and it needs to be
reassesed for the faster movement of goods and services.

Uwajibikaji wa wafanyikazi wa serikali also comes under the microscope
especially hapo bandarini.Bw. Kinunda anasema the capacity of the
DSM Port is bigger than the goods that pass through there...mbona
basi kuna congestion hapo porti? Hongo na milungula is the order of
the day na mafisadi wanapeta huku wakiiba hela na jasho la raia wa
kawaida wa nchi.

Until such factors are put into play hii safari itakua ndefu mno
 
This a very poor economic decission for Uganda.

Again,

Uganda hawana uhusiano mzuri na Kenya, kwa hiyo hawawezi ku afford -economically or politically- kutokuwa na alternate plan in case the war of words escalate into something more serious.Hivi unafikiri Mganda hajui kwamba Mombasa ni karibu zaidi ya Dar na pengine services zao ni bora zaidi given the current container terminal fiasco? Anajua sana, ila hana alternative ikija siku mambo na Kenya yakiwa mabaya zaidi.Why is this simple strategic point so hard to fathom?

Hapa motive siyo simple cost minimization ya kutokana na hesabu za quantitative analysis, hapa kuna suala zima la usalama ambalo linakuja kuwa overly crucial.
 
@Smatta acha kuwa mkaidi bila sababu rafiki yetu.

Hivi mnafikiri M7 atapitisha silaha zake wapi kama kweli majirani wakitaka kunyudana?

Kuna suala nyeti la industry ya mafuta ambapo uzalishaji utaanza mda si mrefu! hivyo basi Uganda itaanza kuwa na mizigo mingi sana import na export.

Pia si mnaelewa kwamba bajeti ya mwaka huu ya Uhuru na Keybackey imetenga mabilioni kwa kununulia silaha/usalama mpaka kusababisha watu kulalamikia! kwani vita iko wapi??? muwe mnafuatilia mambo kwa karibu ndugu zanguni hapa kuna kamchezo kakubwa sana kanafuatia... hiyo ya alternative route/bandarini ni trela tu!
Amani
 
Sawa mkuu, lets just watch matters unfold. But in terms of cost analysis, Museveni has not put into consideration alot of things, or rather he has ignored many factors that will eventually end up affecting the consumers. Thats just my two cents.
 
Back
Top Bottom