Nilipata kusikia habari za incubator ndogo inayotumia mafuta ya taa,sasa sijui kama kuna mtu aliwahi kuiona Bongo au mpaka majuu,maana hiyo ingefaa sana field ambako umeme hauko.Mimi nafuga kuku na ninafanya crossing mwenyewe natumia majogoo ya kienyeji kwa kuku wa kisasa na sometime majogoo ya kisasa kwa kuku wa kienyeji. Kwa ufupi ndugu yangu jogoo mmoja anatosha mitetea 7 tu na si zaidi na wala usidanganyike. Zaidi ya hapo jogoo huwa mjinga na huishiwa nguvu na kuku hudrop kutaga. nakushauri pia kama una umeme wa uhakika ununue incubator ndogo ya kutosha mayai 50 au 60 utotoe mwenyewe vifaranga kwa ni rahisi kuliko kuwekea kuku maya 10 anaangua mayai 5.
Jaribu kutembelea SIDO huenda wanatengeneza![/COLOR]
Nilipata kusikia habari za incubator ndogo inayotumia mafuta ya taa,sasa sijui kama kuna mtu aliwahi kuiona Bongo au mpaka majuu,maana hiyo ingefaa sana field ambako umeme hauko.
Nimecheka hadi basi,
Kuku wa mayai wa mabandani mara nyingi hawana jogoo. Kwa hiyo yai litakalowekwa ktk incubator ni lile ambalo jogoo na mtetea wameshirikiana kuunda yai husika
Mimi nafuga kuku na ninafanya crossing mwenyewe natumia majogoo ya kienyeji kwa kuku wa kisasa na sometime majogoo ya kisasa kwa kuku wa kienyeji. Kwa ufupi ndugu yangu jogoo mmoja anatosha mitetea 7 tu na si zaidi na wala usidanganyike. Zaidi ya hapo jogoo huwa mjinga na huishiwa nguvu na kuku hudrop kutaga. nakushauri pia kama una umeme wa uhakika ununue incubator ndogo ya kutosha mayai 50 au 60 utotoe mwenyewe vifaranga kwa ni rahisi kuliko kuwekea kuku maya 10 anaangua mayai 5.
Malila hivi hakuna kifaa cha kuweza kupima kama yai lina jogoo ili liweze kutotolewa kwa incubator?
Mayai ya kienyeji yanawekwa katika incubator, lakini yasizidi siku 14 toka yalipototolewa, hivyo inatakiwa uyapate kutoka katika source ya kuaminika. Muhimu ni kuwa mayai yawe yamerutubishwa na jogoo, na ndio maana mayai mengi ya kisasa hayaqualify kuwekwa kwenye incubator!!Ivi ukiwa na incubator unaweza ukanunua mayai ya kienyeji sokoni ukayaweka umo au haitakiwi?
Na je incubator inatumika kwa mayai yepi hasa..i mean ya kuku wa kisasa au kienyeji?
Hakuna, muhimu ni kuwa na source ya kuaminika ya mayai unayotaka kuweka katika incubatorMalila hivi hakuna kifaa cha kuweza kupima kama yai lina jogoo ili liweze kutotolewa kwa incubator?
Thanx Katavi. Je, una idea yoyote wapi incubator ndogo zinapatikana na kwa bei gani?Mayai ya kienyeji yanawekwa katika incubator, lakini yasizidi siku 14 toka yalipototolewa, hivyo inatakiwa uyapate kutoka katika source ya kuaminika. Muhimu ni kuwa mayai yawe yamerutubishwa na jogoo, na ndio maana mayai mengi ya kisasa hayaqualify kuwekwa kwenye incubator!!
Nimecheka hadi basi,
Kuku wa mayai wa mabandani mara nyingi hawana jogoo. Kwa hiyo yai litakalowekwa ktk incubator ni lile ambalo jogoo na mtetea wameshirikiana kuunda yai husika !!!!!!!!.
Jaribu kutembelea Shirika la Elimu Kibaha!thanx katavi,je una idea yoyote wapi incubator ndogo zinapatikana na kwa bei gani?
Jaribu kutembelea Shirika la Elimu Kibaha!
Habari wadau,
Naomba mnisaidie, nataka kuanza ufugaji mdogo wa kuku na nitaendelea kukua siku zinavyokwenda.
Nahitaji kuanza kufuga kuku waliochanganyika breed, wa kisasa na wa kienyeji
1. Wanaotaga wa kisasa ni vizuri kuchukua kuku wa umri gani kwa mbegu nzuri?
2. Jogoo mmoja anatosha kuku wangapi?
3. Kuna mahali wanauza vifaranga ambao tayari ni breed ya kisasa na kienyeji?
4. Soko la kuku waliochanganywa breed lipo au ni kama soko la kuku wengine?
5. Kama kuna mashamba ya mfano maeneo ya Dar au Yanayozunguka naomba mnifahamishe niweze kwenda kuona practically inavyokuwa.