Mimi pia ninao ninauza lete contactWadau natafuta vifaranga/kuku wa kienyeji ambao ni bora kwa ajili ya kufuga. Kwa aliye nao/mwenye kujua wanapatikana wapi naomba anipatie contact wapi wanapatikana kwa maeneo ya Dar au mikoa ya jirani na Dar.
Kuna ndugu yangu ni mnunuzi wa jumla; Ikiwa upo Dar; nenda pale Soko la Sinza omba kuonana na mwenyekiti wa Soko anafahamika sana kwa jina la Kipara. Ongea naye.
Layers Tani Moja (kuku wa mayai)
Mahindi 500
Mshudu ya Alzeti 160
Dagaa 120
Pumba za mahindi 99
Mifupa 30
Chokaa 80
DCP 4
Layers Primix 4
Chumvi - 2
Methanone - 0.5kgs
Lysin - 0.5kgs
TOTAL 1000kgs.
Nawatakia mafanikio mema.
ahsante kwa mchanguo Elnino!! siku hizi umejikita katika ufugaji wa mayai? je kilimo cha mahindi?
Layers Tani Moja (kuku wa mayai)
Mahindi 500
Mshudu ya Alzeti 160
Dagaa 120
Pumba za mahindi 99
Mifupa 30
Chokaa 80
DCP 4
Layers Primix 4
Chumvi - 2
Methanone - 0.5kgs
Lysin - 0.5kgs
TOTAL 1000kgs.
Nawatakia mafanikio mema.
Mkuu Kanyagio, umenivunja mbavu jioni ya leo, Elnino amejikita ktk ufugaji wa Mayai. na kilimo cha mahindi alipoanza kilinitia moyo nami nikaanza kuota ndoto za kulima mahindi,nadhani sasa atakuwa akivuna na kutengeneza chakula cha kuku wa mayai