johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 718
- 703
Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera Kanali Kahabi ametangaza kuwa hawezi kufanya kazi na DED wa wilaya hiyo.
Akiongea katika ziara ya mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa, DC huyo amesema DED na mhanfdsi wa ujenzi wa halmashauri wameshindwa kusimamia miradi na kupelekea ubadhirifu wa fedha.
Katika ziara hiyo katika hospitali ya wilaya Ngara inayojengwa eneo la mbuba, imebainika kuwa milango ilibadilishwa usiku wa kuamkia ziara kwani iliyokuwepo ilikuwa chini ya kiwango.
Inadaiwa kuwa waandishi waliokuwa katika ziara hiyo ambap wote walifadjiliwa na swrikali wameamriwa kuacha kurusha habari hii.