Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,536
- 8,625
ukweli ni kuwa serikali ya zanzibar ,..inatumia pesa nyingi sana kwenye gharama za utawala..juzi nilikuwa naangalia televisheni ...nikaona misafara ya viongozi wao .....msafara wa makamu wa kwanza wa rais zanzibar ambaye kiprotokali alitakiwa kuwa juu ulikuwa very simple na yeye mwenyewe alipanda Prado ..tena la kawaida [nadhani used..maana serikali ya znz huwa inayo hayo]....na gari hazikuzidi 5....
msafara wa seif idd ulikuwa na mercedes benz tatu...moja walipanda wake zake...na yeye alipanda mercedes benz 500s black mpya na moja ya wasaidizi ..na gari nyingine 5 landcruizer na landrover..
Picha niliyoiona pale ni kuwa CUF walionesha dhamira ya kweli ya kiongozi wa nchi maskini ..makamu wa kwanza wa rais ...amepanda simple prado..lakini kabla ya kumsifia napenda kama wasaidizi wake wapo humu watuambie ...kama maalim alipewa magari ya kifahari akakataa au serikali imeamua kumbagua kwa kumpatia magari za bei nafuu..kama alizikataa anasstahili sifa!!