Ufisadi UDOM..

Usiku huu

Member
Sep 10, 2011
58
9
Ni mwezi sasa unakaribia kufika,
wahitimu wa Mwaka huu wapatao 5,000. Hawajarudishia hela yao ya mahafali 20,000/= kama walivyoahidiwa pindi tu wakirudisha joho...
Sasa 20,000/= tshs * 5000 = 100,000,000 tshs...
Thz is so serious wanajamii
 
Ni mwezi sasa unakaribia kufika,
wahitimu wa Mwaka huu wapatao 5,000. Hawajarudishia hela yao ya mahafali 20,000/= kama walivyoahidiwa pindi tu wakirudisha joho...
Sasa 20,000/= tshs * 5000 = 100,000,000 tshs...
Thz is so serious wanajamii
Nahisi zitakuwa kwenye Fixed -account, baada ya miezi mitatu watapewa, hakuna kuiachia pesa kirahisi hivyo bila kugenerate profit mkuu, mambo ya pesa huwa yako hivyo!
 
wahasibu vyuo vyote ni pasua vichwa..hata sisi tulifanyiwa hivyo hivyo na sikumbuki kama tulirudishiwa
 
Hata graduate wa mwaka juzi nao waliambiwa hivyo hivyo.Kweli wanavuna!!!!!!Wafanye uungwana waseme kukodi joho ni non-feundable.......full stop na sio kuwahadaa watu wanachuma wasichopanda
 
Nilishangaa jamaa alipokiita ni CHUO KIKUBWA CHA DODOMA, sasa naendelea kuelewa!
 
Kuna mtu anaitwa Prof. Mlacha nasikia jamaa ni nouma kwa uchakachuaji,kama alijaribu kuchakachua mishahara ya wahadhiri wake unadhani atashindwa kwa wanafunzi? Hatakuwa amewalipa mashahara walimu wake kule Same kwenye shule yake ya sekondari........
 
Mdogo wangu alimaliza hapo UDOM mwaka jana, nae hadi sasa hivi hajrudishiwa elfu 20. Unaweza kuona uhusiano uliopo kati ya vitu hivi viwili vifuatavyo;
1. Elfu 20 ya joho ya waliomaliza 2010 hadi sasa haijarudishwa kwa wahusika (Mwenye makosa UDOM au hazina haijatoa pesa?)
2. Wahadhiri wao waliopandishwa daraja kuanzia Nov mwaka jana hawajalipwa nyongeza yao hadi sasa ( Mwenye makosa UDOM, Hazina, Utumsihi au Wizara ya Elimu?) Mkanganyiko mtupu. HAKIKA UDOM INAHITAJI MAOMBI.
 
ndo maana vyuo makini vinasema, 35,000/= graduu gown rent fee non-refundable, hao UDOM ni matapeli, na muwapeleke mahakamani basi.
 
Chuo kikuu cha kata Tanzania(WUOT), mara utasikia ufundishwaji kwa ekstrimu.
 
mi nawaombea mabaya na yawapate,maana hawana utu,hawajui hata hizo hela watu walizipataje mpaka kwenda kwenye hayo maafali,
 
Back
Top Bottom