Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
- Thread starter
- #181
Sakata la Richmond / Dowans kila siku linzidi kulisukuma mbali zaidi ndoto ya Mhe Lowasa kuweza kuaminiwa kukabidhiwa nchi.
Isitoshe, kauli ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere juu yake bado ni mbichi katika akili ya wengi huku tukizidi kuonanisha madai mengi tu, tutakazozitoa kwa wakati mwafaka, na ukweli wambo tunvyoyaona mitaani huku.