Mfano wa swali:Mitihani ya siku hizi ni ujinga mtupu, tangu lini kukawa na mitihani ya "ku-bet"?
Kamilisha senensi ifuatayo:-
Nyer....alikuwa rais wa kwanza wa Tanzania
Kwa swali kama hili wanafunzi wa kidato cha 4 watakosa kufaulu?
Mfano wa swali:Mitihani ya siku hizi ni ujinga mtupu, tangu lini kukawa na mitihani ya "ku-bet"?
Vyuo vipo vya kumwaga wasipowapeleka vitaishia kuishi popo tu Ila yote kwa yote wakimaliza kusoma Ajira hakuna wakajiajiriWadau nawasabahi.
Kutokana na ufaulu mkubwa wa wanafunzi wa kidato na cha 6 kupanda sana kuanzia awamu ya 4 mpaka hii ya 6 nimekuwa najiuliza kuna nini kinachosababisha ufaulu kuwa mkubwa ili hali wanafunzi hao hao wakifika vyuoni wanafeli vibaya mfano Law School na Muhimbili?
Je, huu ufaulu ni wanafunzi kuwa na upeo mkubwa wa akili au ni uchakachuaji wa mitihani unaofanywa na necta ili kupaaisha ufaulu wa wanafunzi na kuwafurahisha wazazi?
Hawawezi KUFELI Ila madogo wanapigwa maswali namaanisha form 1 sio form 4Mfano wa swali:
Kamilisha senensi ifuatayo:-
Nyer....alikuwa rais wa kwanza wa Tanzania
Kwa swali kama hili wanafunzi wa kidato cha 4 watakosa kufaulu?
Ufaulu mkubwa ni maneno ya Wanasiasa yenye lengo la kuwapumbaza Walalahoi.Wadau nawasabahi.
Kutokana na ufaulu mkubwa wa wanafunzi wa kidato na cha 6 kupanda sana kuanzia awamu ya 4 mpaka hii ya 6 nimekuwa najiuliza kuna nini kinachosababisha ufaulu kuwa mkubwa ili hali wanafunzi hao hao wakifika vyuoni wanafeli vibaya mfano Law School na Muhimbili?
Je, huu ufaulu ni wanafunzi kuwa na upeo mkubwa wa akili au ni uchakachuaji wa mitihani unaofanywa na necta ili kupaaisha ufaulu wa wanafunzi na kuwafurahisha wazazi?
Duuh.kuna ile ya mfumo wa alama kubadilishwa, alama A kuanzia 75 wakati ilikua inaanzia 81, sina uhakika lakini
halafu sidhani kama zamani mitihani ilikua ina 'format' sina uhakika wajuzi wanirekebishe
mimi nimefanya NECTA ya 2020, nakumbuka tulipewa format za mitihani yote, zinatolewa na TIE sijui NECTA, yaani inajulikana swali namba flani litatokea mada fulani, inarahisisha mambo
kwahiyo msidhani watoto wanasoma mtaala, wanakariri 'format'
Miaka ya 2010 kurudi nyuma , mtu aliyefaulu ni mpambanaji haswa kwa shule zetu za kataKuna kitu cha kufanya kwenye Baraza la Mitihani.
Tunataka watu wafaulu sana,lakini wawe bora kwenye maisha halisi.
Ukimchukua mwenye division 1:7 wa leo ukamshindanisha na mtu wa division 3:24 ya miaka ya 2010 kurudi nyuma, utaweza kulia kwa ajili ya Taifa hili.
Kwa nini serikali inaogopa kukaza ufaulu?
Ina sababu zake.
Mfano kutafuta kukubalika kwa wananchi, na pia kupunguza vibaka mtaani kwa kuwapa ufaulu kiholela.
Mwisho, tunaua taifa letu wenyewe kwa faida za watu wachache.
Maswali huwa ni yale yale miaka yote hakuna mabadilikoWadau nawasabahi.
Kutokana na ufaulu mkubwa wa wanafunzi wa kidato na cha 6 kupanda sana kuanzia awamu ya 4 mpaka hii ya 6 nimekuwa najiuliza kuna nini kinachosababisha ufaulu kuwa mkubwa ili hali wanafunzi hao hao wakifika vyuoni wanafeli vibaya mfano Law School na Muhimbili?
Je, huu ufaulu ni wanafunzi kuwa na upeo mkubwa wa akili au ni uchakachuaji wa mitihani unaofanywa na necta ili kupaaisha ufaulu wa wanafunzi na kuwafurahisha wazazi?
Lakini upimaji lazima ubadilike siyo huu wa sasaZama hizi za youtube lecture, tik tok, quora ni swali gani utaliweka mwanafunzi anaependa kusoma ashindwe kulifanya.
Mitandao imerahisisha sana maisha
Lazima watoto wafaulu
Upo sahihi, kama ufaulu umepanda mbona vigogo watoto wao hawasomi kwenye hizi shule za umma?Tusidanganyane, serikali inaharibu hawa vijana haya matokeo ni tofauti kabisa na uelewa wa walio wengi. Mimi mwenyewe kijana wangu amepata division one ya point 10 lakini nikiri ni wazi hakustahili kuwa na kiwango hicho cha ufaulu hasa kwa kuwa ninaufahamu vizuri uwezo wake. Kuna shida mahali sio bure. Serikali iache siasa kwenye swala la elimu.
nimecheka sanaa.Lakini mbona haiakisi maarifa na utambuzi wanachokijua huku mitaani.
Utamkuta mtoto form 4 anayo 1-7, form six anayo 1-3 ila ukimuuliza kuwa waziri mkuu na spika wa bunge kwa Tanzania wanapatikanaje ...anabaki amekodoa macho.
Ukimuiza Wilaya ya Chunya ipo Mkoa gani anabaki ameshangaa.
Ukimuuliza ni mazingira gani yanasababisha Rais kukoma kuwa Rais hapa Tanzania ...hajui.
Ukimuuliza akutajie haki zake angalau tano, wapi.
Hayo maswali ya biolojia na kemia alizopata A baada ya miezi 6 hawezi tena kuyajibu.
Kuna shida sehemu.
woiiiiihNenda huko vyuoni ndipo utaona madudu aisee. First year hajui tofautisha former letter na non-formal letter.
Ukiwapa computer hakuna wanachojua anatype kama ile keyboard inawaka moto.
Wee mzazi hebu andaa pesa ya kumsomeshea mtoto advance au chuo. Acha blah blah.Tusidanganyane, serikali inaharibu hawa vijana haya matokeo ni tofauti kabisa na uelewa wa walio wengi. Mimi mwenyewe kijana wangu amepata division one ya point 10 lakini nikiri ni wazi hakustahili kuwa na kiwango hicho cha ufaulu hasa kwa kuwa ninaufahamu vizuri uwezo wake. Kuna shida mahali sio bure. Serikali iache siasa kwenye swala la elimu.
Mfano wa swali:
Kamilisha senensi ifuatayo:-
Nyer....alikuwa rais wa kwanza wa Tanzania
Kwa swali kama hili wanafunzi wa kidato cha 4 watakosa kufaulu?
Kusoma na kupata maarifa darasani hua ni kazi ya mwanafunzi na mwalimuWadau nawasabahi.
Kutokana na ufaulu mkubwa wa wanafunzi wa kidato na cha 6 kupanda sana kuanzia awamu ya 4 mpaka hii ya 6 nimekuwa najiuliza kuna nini kinachosababisha ufaulu kuwa mkubwa ili hali wanafunzi hao hao wakifika vyuoni wanafeli vibaya mfano Law School na Muhimbili?
Je, huu ufaulu ni wanafunzi kuwa na upeo mkubwa wa akili au ni uchakachuaji wa mitihani unaofanywa na necta ili kupaaisha ufaulu wa wanafunzi na kuwafurahisha wazazi?
Ni utapeli mtupuBila shaka miaka 20 ijayo Tanzania itakuwa nawanascience watakaokuwa na uwezo wa kurusha rockets, kutengeneza ICBM na jet fighters.
A x 7 au DIV 1.7 mpaka 10 inaonyesha hawa watu ni magenius, tafsiri yake shule nzima ambayo imetoa 1.7 darasa zima hao ni mageniu Sasa.