Ufalme Bodi ya Korosho Tanzania

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,974
785
Kitwana Kondo amekuwa mwenyekiti mtendaji wa Bodi ya Korosho Tanzania kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi hadi sasa. Kipindi chote hicho amepewa gari la kutembelea, analipiwa huduma zote za maji, umeme, simu na watumishi wa nyumbani. Cheo cha mwenyekiti mtendaji kwenye bodi kilifutwa miaka mingi iliyopita na serikali sielewi bodi ya korosho inapata wapi uwezo wa kulipia huduma kwa cheo ambacho hakipo.

CASHEWNUT BOARD OF TANZANIA(CBT)-Management Team

Tazama website yao ilivyo mbovu.
 
Mbona kwenye hiyo website uliyoweka hakuna mahala palipoandikwa kuwa Mwenyekiti analipiwa watumishi, simu, maji na gari?
 
Masatu,
Kwani wewe una Kichwa?? Maana sijaona sehemu palipoandkwa kuwa MASATU ana KICHWA, Kiwiliwili, Tumbo na Miguuu kama Kereng'ende Kamali akishatotolewa. Kama una kichwa basi samahani maana hilo swali lako limenifanya nijiulize hilo swali. Nothing personal.
 
Acha kuropoka ovyo mtoa hoja kaja na madai mazito halafu anatuelekeza twende kwenye tovuti ya bodi ya Korosho ambapo hakuna hata moja ya madai aliyoweka.

Naona mapovu yanakutoka vp umeshikwa pabaya?
 
Du, naona kweli huna kichwa, asante. By the way unachonga poa sana.

NB: Mwandishi alitaka tu kukuonyesha kuwa jamaa KWELI ni BOSS wa bodi ya Korosho na si kuwa amepewa ............ Hata kama ni kweli yaani wewe umeenda mbiyombiyo huko kuangalia kama kweli wanampa? Ukatoka KAPA (Waha wanasema). Umerudi hapa Nimeku-tarai na nimegundua kumbe una-TARAIRIKA. Have good day with Obama News. Again, nothing personal.
 
U got wrong number then mate...
 
as usual hakuna kipya hapa

kama ingekuwa issue kuondoa UFALME basi tungeanza na FOREIGN na USALAMA wa taifa lakini huku mnakotupeleka siko

Mwacheni mzee kondo atulie pale
 
Back
Top Bottom