Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

Hii imetoka kwa askari polisi wa upelelezi yaani CID, kuwa jamaa aliyekamatwa akidaiwa kwenda kutubu kanisa la ufufuo na uzima ni ofisa wa usalama wa taifa anajulikana sana. Na ndiyo maana mpaka leo hajawahi kupigwa picha, na hata mahakamani alipelekwa kimya kimya, lengo likiwa ni lile alilolitaja jana Kova kwamba suala hilo lisiongelewe kwa sababu lipo mahakamani. WanaJF hii ni sana kweli huyo jamaa ni mtu wao

Ntarudi baadae, ngoja nikafungue mashitaka mbona Lulu,Mh Badwel,Yona,Mahalu na wengine walimpigwa PICHA wakati kesi iko "MAHAKAMANI"
 
Najiuliza sana kwanini hawamuonyeshi?????????????
Kabla ya kujiuliza sana....Jiulize kwani kesi hii MSHTAKI NI NANI?? na kama ni Dr. Ulimboka...then wanajua wakimuonyesha tuuuuuu....Mshitaki atamkana akiwa huko huko kwa Zuma
 
kabla ya kujiuliza sana....jiulize kwani kesi hii mshtaki ni nani?? Na kama ni dr. Ulimboka...then wanajua wakimuonyesha tuuuuuu....mshitaki atamkana akiwa huko huko kwa zuma
jambo refu sana hili yangu macho tuuu na masikio na keybod yangu
 
Picha yake iwekwe hapa tumwone, maana nina hakika anafahamika hata kama ni mkenya. Vinginevyo hatuwezi kuwaamini polisi wala hukumu ya mahakama.
 
sasa kama hali ndiyo hii, watanzania tufike mahali
tuseme inatosha. Mbona wanatufanya sisi ni watoto wadogo? Yote haya ni matokeo ya kuwa na uongozi dhaifu.
 
Hebu mwombe huyo CID akupatie jina lake huyo mwanausalama mkenya Gitu Muhindi aliyeshukiwa na roho ya upako wa Gwajima hivi karibuni. Ikiwezekana atafute na picha yake utuwekee humu ndani. Kama anajulikana sana kama ulivyosema (according to your source), lazima kutakuwa na picha yake walau moja hapa au pale katika maisha yake ya kawaida au ya kazi kabla ya kuanza LEADERS CLUB-MABWEPANDE MISSION. Tukiwa na picha yake, basi hata wale walinzi wa kanisa la Ufufuo na Uzima pamoja na Dr. Ulimboka mwenyewe watatusaidia kwenye 'gwaride la utambuzi' kujua kama mtu huyo ndiye au la!
Sawa kabisa ,atafute jina lake na hata picha bila ya shaka kule kanisani wataitambua ,hivi kule hawakuwahi kumnokia,wakapata kajipicha.
 
Hii imetoka kwa askari polisi wa upelelezi yaani CID, kuwa jamaa aliyekamatwa akidaiwa kwenda kutubu kanisa la ufufuo na uzima ni ofisa wa usalama wa taifa anajulikana sana. Na ndiyo maana mpaka leo hajawahi kupigwa picha, na hata mahakamani alipelekwa kimya kimya, lengo likiwa ni lile alilolitaja jana Kova kwamba suala hilo lisiongelewe kwa sababu lipo mahakamani. WanaJF hii ni sana kweli huyo jamaa ni mtu wao


Whatever that demon he is, kwa hili tendo la serikali kumfanyia mwanachi wake ugaidi ala janjaweed: la hasha! wanalo tu mpaka kitaeleweka, tunaelewa wanahaha kutafuta jinsi ya kuutua ushetani huo, lakini wajue whatever time it takes, truth eventually will surface; facts as per Kova are man made with all the shortcomings that bedevil mankind BUT truth is devine; it will prevail and come to haunt them for the rest of their lives till their painful ending gnashing their teeth!!

Duniani ni sheria Haki hupatikana mbinguni kwa Manani tu.
 
subira yavuta heri speculatins zitakuwa nyingi ili mradi kuanzisha thread kutokana na lile tunalofikiri kichwani.

haingii akilini kwamba mtu akiwa kama kichaa na ambaye hakuonyeshwa na TV au kapelekewa kimya kimya mahakamani ni Usalama wa Taifa.

Basi ni wewe...
 
Jeshi la polisi limepoteza hadhi yake....Ni bora wangekaa kimya na wakapotezea jambo hili kuliko kuleta mambo yanayozua utata hata kwa mtoto wa kindergatern
 
Je mambo matatu tu kwamba alikwenda kanisani kama kichaa, hakuonyeshwa na Tv na kapelekwa kimya kimya mahakamani yanatosha kusema ni mtu wa TISS.

Ni wangapi wanapita kwenye njia hiyo hadi mahakamani hatujasema ni Usalama wa taifa???
Wewe ndio utuambie idadi yao maana inaonyesha unawajua, sasa hapa unamuuliza nani? Sisi tunayemjua ndio huyo tuliyemtaja, kama kuna wengine si uwataje? Hivi wewe kahaba wa Magamba unafikiria kupitia kiungo gani cha mwili wako?
 
sasa kama hali ndiyo hii, watanzania tufike mahali
tuseme inatosha. Mbona wanatufanya sisi ni watoto wadogo? Yote haya ni matokeo ya kuwa na uongozi dhaifu.
Na si hilo tu, hata sisi tunaoongozwa ni dhaifu ndio maana Chama cha Mabwepande wanatuzuga na kutulisha sumu kadri watakavyo lakini Wadanganyika wa inji hii utafikiri wako kuzimu hawaoni yanayotendwa duniani!
 
Back
Top Bottom