Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

Kova toa tamko basi ili nguo ulizo vuliwa zirudishwe
eh, eh, I can not imagine this.

Chukulia anawaita waandishi na kuanza kuwaeleza yafutayo: "...ndugu zangu watanzania, najua mmesikitishwa sana na mateso aliyopata Dk Ulimboka na inaelekea wengi machale yalishawacheza jinsi ilivyotokea. Ikumbukwe kwamba nasi tumeajiliwa na moja ya masharti ya kazi yetu ni kulinda siri za serikali.

Kwa kuwa hii theory ya kulinda siri inaonekana kupitwa na wakati na kuzingatia kuwa hili suala la Dk Ulimboka linagusa sana mioyo yenu, endapo tutaacha haya maelezo inaweza kuishia kulitumbukiza taifa kwenye machafuko, maana siri imefichuka kwa umma wa watz.

Kwa maana hiyo, napenda kuwaeleza ukweli kama ulivyokuwa umeeleza na mwenzangu Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuwa Jeshi letu limeingiliwa na watu amabao siyo. Na sikutarajia kabisa kama vijana wangu wangefanya uzembe kama huu na kuniingiza mkenge kiasi hiki mpaka nikatoa ripoti ambayo hata mtoto wa std 2 anauona uongo.

Kwa hiyo, nahitimisha kuwa kusema kuwa kilichotokea ndicho kama kilivyo ila kwa vile Dr. Ulimboka kapona, sote tumuumbee arudi salama.
Sisi ni binadamu na kwa sababu Watanzania tunapenda amani, tusameheane ili kulinda kazi na familia zetu sisi wengine.
Naomba msiulize maswali tafadhali"

 
Hakuna wa kumugusa GWAJIMA.

Mungu amempa maarifa makubwa sana ya kuzifahamu mbinu na mafumbo ya shetani ambayo wachungaji wengi sana TZ hawana na mara nyingi wamekuwa wakipuuzia kuwa all they need is to know Jesus.

Unajua wakuu wengi wa serikali tangu enzi za zamani ni watu waliobobea sana kwenye mambo ya uchawi na ushirikina, na wanafanikiwa sana katika tawala zao. Mambo mengi ambayo sisi tunayaona ni ya kawaida kumbe yana ushirikina ndani yake ambao wakati mwingi unawafunga wananchi wanakuwa kama mazezeta.

Mfano mmojawapo ni mwenge, ni wichcraft kabisa!! Na haijaanzia TZ it is all over the world. Sasa mafumbo kama haya yanafumbuliwa pale kwa Gwajima.

Alishawahi kutuambia kwa nini baadhi ya tamaduni wanamzika mtu the same day anapokufa...kuna siri nyuma yake isipokuwa watu wengi tupo gizani na ndio maana shetani anagaragaza watu apendavyo.
 
Na mimi pia namuua.
Rest in peace Hemedi Msangi
RIP-347-x-300.jpg
​
grave.jpg


Mtu pekee ambaye kifo chake nitakaa bar nichome mbuzi ninywee bia weee mpaka basi
 
Ufufuo na uzima kuna huduma 24 hours pale. Kuna pia ibada za kati ya wiki na jpili. Usiku na mchana wanapatikana.

Na mimi nilikuwa nazungumzia hizo tarehe. Mchungaji amesema ni tarehe 26/6 ambayo siyo siku ya jpili kama ulivyoainisha - Lakini haichangaji. Ndiyo maana nikakwambia kwamba siyo lazima iwe jpili kwa sababu pale kuna huduma muda wote. Labda hujaelewa maana ya huduma - ni kwamba wakati wote ni wakati wa maombi kuna wachungaji wanaotoa ushauri na huduma mbalimbali za kiroho kwa mtu mmoja mmoja au vikundi.

Kama sijakuelewa zaidi ya hapo basi yaishe tu.
 
@Ulokolokwitanga Mkuu, angalia hili dondoo hapa chini, na urejee kuangalia hizo red&blue:
[/LIST]
Huwezi kusema suala la tarehe sio ishue kwa sababu tarehe haziambatani na matukio. Kumbuka kuwa Ulimboka alitekwa usiku wa tarehe 26.6 usiku, siku ambayo kwa mujibu wa Mchungaji mwenyewe, Joshua alikwenda kanisani. Hii inaonesha kuwa Joshua alikwenda kanisani kabla ya tukio, isipokuwa tu Mchungaji apange upya hizo tarehe ilo ziendane na tukio. Huoni hapa panatosha kutoamini kinachosemwa?

Hata mie naona kuwa tarehe sio issue sana kwa sababu hata mchungaji mwenyewe kisa hicho amesimiliwa na walinzi. Jumapili ambayo ni baada ya Ulimboka kutekwa ilikuwa ni tarehe 1 July, au kama ni Ijumaa basi ilikuwa ni tarehe 29 ambapo pia kuna ibada ya jioni, na ndio tarehe ambayo imekuwa mentioned na Kova.

Nadhani mchungaji pia tarehe zimemchanganya kidogo ila haiondoi ukweli wa mada nzima.
 
Kitu na Tambua katika Jinai,MTAMBULIWA na MUHUSIKA ni ACUSSED PERSON,why not Msangi aliyedaiwa wallet na simu,wa pili yule afisa waliyekuwa nae bar kwani polisi wamefungua kitengo cha cyber crime kwa nini wasichunguze namba zilizotumika na yule afisa aliyejitambulisha wa usalama , mbona majambazi yanashikwa mara moja kwa mtego huo?tunawekewa kichaa hapo je hawa askari hawawezi kufanya uchunguzi,ok finaly walikuwa watu 4/5 kama huyo Gwajima planted(chizi) ASIWATAJE wale alikuwa nao ni fulani na fulani na case yenyewe ni PUBLIC INTEREST kama ameamua kutubu?au ilikuwa inatakiwa kauli "HAKUNA MAANDAMANO KWA SABABU SWALA LIKO MAHAKAMANI"kama walivyotiwa loba Wahesimiwa,wa MJENGONI? ni vitu vidogo vya (2+2=4),na muathirika kamtabua wapi huyo chizi wa kikenya,ila Mungu ni Mwema Kwa Mungu Kumsirikisha katika hili ni kosa kubwa labda asiwe huyu Mungu ninae mjua mimi (MUNGU WA ISRAEL,ISAKA,YAKOBO yaani YEHOVA) kwa vile wanataka kumshirikisha Mungu atawaumbua na UKWELI utakuwa WAZI ndani ya muda si mrefu na kuanzia hapo UHAI/AFYA ya ulimboka itaimarika maradufu kwa sababu wamemchokoza NIKO AMBAE NIKO!NA NAOMBA NAFASI KATIKA TUME HURU !stay tuned
Yaan mkuu naungana na wewe kwa 100% inajulikana kabisa kwamba siku hiyo kulikua na mawasiliano ya simu na hao jamaa waharifu,kwa nini wasitrace namba zao za simu?.Nina uhakika wakishirikiana na makampuni ya cm husika wanaweza kupata details nyingi tu.Ila kwa sababu wanachokifanya ni kuwahadaa wananchi tu.Kuna siri nzito katika jambo hili si bure!!.Ukweli utajulikana tu!!
 
Aiseeee bwahahahahaha nimecheka sana jana.....aibu hii kubwa aiseee.........bwahahahaha yaani nimechaka nikikumbuka siku ikle kova anasema wamemkamata jamaa...tena kwa sauti ya kutetemeka nikajua aaaa cheusi chekundu bwahahaha......
 
Aiseeee bwahahahahaha nimecheka sana jana.....aibu hii kubwa aiseee.........bwahahahaha yaani nimechaka nikikumbuka siku ikle kova anasema wamemkamata jamaa...tena kwa sauti ya kutetemeka nikajua aaaa cheusi chekundu bwahahaha......

Yale yale ya Mahita aliyekuwa akitangaza kwa mbwembwe nyiingi lkn nyuma ya pazia :shetani:
 
taarifa zilizotelewa na jeshi la polisi kuwa mkenya anayesadikika kumteka dr.ulimboka alikwenda kutubu katika kanisa la ufufuo n a uzima. taarifa hizo zilipingwa na mchungaji wa kanisa hilo ya kwamba mtu huyo hajakwenda kutubu kwa mchungaji huyo.

chanzo:taarifa ya habari chanel ten jana jioni

mawazo yangu
kova alipewa taarifa zisizo sahihi na kama alipewa zisizo sahihi je taarifa za polisi ziaminiwe?
na kama kova aliamua tu kutoa taarifa hizi inaleta picha gani?
nawasilisha
 
Back
Top Bottom