Mawaiba
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 417
- 150
Kukiri kama amesema na kutenda ni vitu viwili tofauti. Inawezekana kabisa kwamba huyu mkenya amekiri kusema kwamba alimteka Dr. Ulimboka lakini ki ukweli hakutenda jambo hili. Nahisi huyu jamaa kanunuliwa ili aje apotoshe ukweli. Nahata kama atafungwa bado nina imani kwamba hatachukua muda mrefu gerezani, atatoroshwa na kurudishwa kwao Kenya.Baada ya kumfikisha polisi na kueleza kilichotokea mtu huyo akakiri ni kweli amesema alihusika na kumtesa Ulimboka. Polisi wa Kawe wakampeleka Osterbay na kanisa halikufuatilia tena. Wiki mbili zilivyopita ndio walinzi waliokuwa wamemkamata ili kutoa maelezo