Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

Tatizo kwa kweli siyo tarehe; kwani ukishasahihisha tarehe utabakiwa bado na swali la msingi - alihusika?

a. Kuna ushahidi gani - nje ya maneno yake - kuwa alihusika? hivi akiletea Dr. Ulimboka huyo kijana anaweza kumtambua? anaweza kuelezea Dr. alikuwa amevaa nguo gani siku ile ya kutekwa? Je walikuwa kwenye gari gani?

b. Je ni sehemu gani ya msitu wa Mabwepande ambako walimtupa Ulimboka?

Haitoshi kusema tu ni lazima uwe na ushahidi ambao unaweza kusimama mahakamani. Hadi hivi sasa hakujatajwa ushahidi wowote kuwa alihusika zaidi ya "maneno yake" ambayo kama kauli za Gwajima leo ni za kweli basi yalitolewa under duress or stress.
 
Mkuu unakosea kusema hivyo ili suala usitake kuligawa kwa misingi ya dini linatuhusu Watanzania wote sijui kwa nini jambo lolote akihushishwa muislam moja mnawachanganya waislam wote? Hizi tabia ndio zinafanya watanzania wasiwe kitu kimoja kwenye kuibana serikali kwenye mambo ya msingi...na huo ndio mtaji wa CCM kuwatawala Watanzania.

Haya maneno yameandikwa na Ritz au kuna mtu ame-hack ID yake, kama siamini vile.
 
Watanzania tunachezewa akili na viongozi wetu kama watoto.Huyo mtuhumiwa,either ni kweli ana matatizo ya akili,ama alitumwa na wanaoplan kuizima kesi ya ULimboka.
 
hivi kova hapajui ccbrt wakamrekebishe ule mkengeza wake? ndio maana anafanya madudu!
 
sasa hivi kilichobaki ullimboka akipona kukaa nae na kumsomesha amkubali mkenya kuwa ndie aliyemtesa ili mambo ya ishe akitulizwa kwa dau fulani anaweza tulia kama sitta na makyembe walivyotulizwa kwa kupewa uwaziri wakapoa moto siri ya richmond ikamezwa
 
``

Gwajima kashaita Press Conference kusema haya? Kama alivofanya Kova SULEIMAN ambako kimsingi ilikuwa ni kupaka matope kanisa lake? Nadhani aite press kwa faida ya wale ambao pia hawafiki kanisani kwake
Yeye ni mtumishi wa Mungu.
Kama media inataka habari zitamtafuta.
Mambo ya kuita waandishi tunawaachia kina kova na wanasiasa.
Sauti ya Mungu haina ukomo
 
may God rest his soul in peace


Kamanda+Ahmed+Msangi+alietaka+kumuua+Dr+Ulimboka_thumb%5B2%5D.jpg
Na mimi pia namuua.
Rest in peace Hemedi Msangi
RIP-347-x-300.jpg
​
grave.jpg

 
kova hana kosa yule bado ni mtihumiwa akijulikana ni mwehu ataachiwa,lkn huwezi mwachia mtu kiholela ikigundulika badae ulimwachia mafia wa ukweli ni kosa,bora akaachowe mahakamani
 
Na mimi pia namuua.
Rest in peace Hemedi Msangi
;

Huyu jamaa na wenzie watakuwa wameshaua + kudhulumu kwa muda mrefu sana; sasa naona muda wao tu umefika. Inawezekenaje kila wanachopanga hakifanikiwi? Kweli kifo cha nyani kila mti huteleza.
Kwa wale wanao-amini maandiko mstari huu una maana sana-"Maadui zako watakujia kwa njia moja mimi nitawapiga watoke kwa njia saba"
 
Back
Top Bottom