Ufafanunuzi mtikisiko mkubwa wa 4 kulikumba taifa

Joseph Buberwa

Senior Member
Aug 13, 2013
135
53
Ndugu zangu Watanzania maoni yenuwengi nimeyaona, kila mtu amejaribu kutoa lake la moyoni kuhusiana na UNABIIninaosimamia. Na nimeona nitoe ufafanunuzi vizuri kwa faida yenu na wengineambao hawawezi kutoa maoni na kwa faida ya taifa na dunia wanaosubiri MAKUSUDIMAKUU YA MUNGU YATENDEKE HAPA DUNIANI KWENYE KIPINDI HIKI. Tokea Adamu na Hawa walipomuasiMungu; Mungu ameingilia makusudi yake makuu moja kwa moja hapa duniani marambili.

1. Ni kisa cha GHARIKA YA WAKATI WA NUHU ambapoNuhu Mungu alimuandaa kusimamia tukio hilo

2.
na KISA chapili ni UKOMBOZI WA WANA WA ISRAELI KUTOKA MISRI CHINI YA UONGOZI WA MUSA.Ambapo Mungu alimwandaa nabii Musa kusimamia zoezi hilo.

3.
Kwa sasa tena ameniandaa mimi tokeanilipozaliwa na hasa mafunzo ya kuja kuongoza makusudi ya MUNGU HAPA DUNIANIyalianza 1986. Kwa hiyo ndugu zangu ninachotaka kutimiza ni interception ya 3au TUKIO KUU LA 3 la MUNGU kufanya makusudi yake moja kwa moja HAPADUNIANI.

Munguamenipanga kupitia taifa langu Tanzania, Tanzania itakuwa ikipokea miongozo yaMungu kupitia mimi na serikali yaTanzania itaratibu hiyo miongozo na kisha serikali ya Marekani na Uingereza kwapamoja watasimamia utekelezaji wake duniani au katika mataifa yote duniani.

ILA Munguamepanga hayo makusudi makuu kabla ya kuanza MTU WA KWANZA KUYAJUA NAKUYAFUNGUA NI MH. RAIS JAKAYA KIKWETE ambaye ndiye Rais aliyeko madarakaniwakati makusudi hayo yanataka kuanza. Bila ya KUYAFUNGUA hayataanza na ndiyomaana MABALAA yataendelea kulipata taifa letu hadi atambue na akubalikuyasikiliza kwa HIARI au KWA LAZIMA

KWA HI YO NDUGUZANGU MNA HAKI YA KILA MTU KUSEMA LAKE LAKINI NAWAOMBA SANA LIOMBEENI JAMBOHILI LITENDEKE KWA SABABU NDILO SULUHISHO LA MATAT IZO YA BINADAMU YALIYOTUKUMBACHINI YA UTAWALA WA SHETANI WA MIAKA 6000 ILIYOPITA.

Huko kwenye madawa ya Asili na Teknolojiamlikoniona nilikuwa chini ya mafunzo ya jambo hili linalokuja.

Asanteni.

NABII JKBUBERWA NABII KAMA MUSA (Kumbukumbu 18:18,19)
 
naomba unijibu ndugu nabii
1.vipi kuhusu mchanganuo wa tsh 150m. naona hujalisema hilo..
2.Ina maana huo mpango ni lazima kikwete?
3.musa alikuwa na haruni ktk kutekeleza agizo.. (Musa kama Mungu, Haruni kama nabii) je wewe una 'haruni' anayejua mipango hiyo? nijibu haya kwanza nitakuja tena.
 
Joseph Buberwa
wewe kama nabii niambie ni wap Mungu amekutuma kuwa mkombozi wa watanzania, hatuko utumwan mwa dhambi bali tuko kwenye kundi la wahini, acha kutudanganya bwana!! huku umeingia siko kwa akili yako ya kudanganya watu, eti nimetumwa na Mungu huna hata aibu
 
Last edited by a moderator:
Kweli haya ndo yale tulofichwa "wenye hekima na akili" wakafumbuliwa watoto wachanga... sijaelewa hata sifuri..
 
Huyu jamaa alijitangaza sana TBC na ile dawa yake ya DFP inayotibu meno........hii nchi hatari sana .......
 
Sasa unabii wako unasaidia nini kama una masharti. Eti hadi uonane na Mkuu wa nchi. Mara mkopo wa 150 mil. Hivi ulishaona wapi hela ya kupewa kiasi hicho bila kutoka serikalini? Si uende bank? Hivi nabii ndio unavyowadanganya watu huko kwenye makanisa yenu ya maturubai. Acha upuuzi.
 
Ndugu zangu Watanzania maoni yenuwengi nimeyaona, kila mtu amejaribu kutoa lake la moyoni kuhusiana na UNABIIninaosimamia. Na nimeona nitoe ufafanunuzi vizuri kwa faida yenu na wengineambao hawawezi kutoa maoni na kwa faida ya taifa na dunia wanaosubiri MAKUSUDIMAKUU YA MUNGU YATENDEKE HAPA DUNIANI KWENYE KIPINDI HIKI. Tokea Adamu na Hawa walipomuasiMungu; Mungu ameingilia makusudi yake makuu moja kwa moja hapa duniani marambili.

1. Ni kisa cha GHARIKA YA WAKATI WA NUHU ambapoNuhu Mungu alimuandaa kusimamia tukio hilo

2.
na KISA chapili ni UKOMBOZI WA WANA WA ISRAELI KUTOKA MISRI CHINI YA UONGOZI WA MUSA.Ambapo Mungu alimwandaa nabii Musa kusimamia zoezi hilo.

3.
Kwa sasa tena ameniandaa mimi tokeanilipozaliwa na hasa mafunzo ya kuja kuongoza makusudi ya MUNGU HAPA DUNIANIyalianza 1986. Kwa hiyo ndugu zangu ninachotaka kutimiza ni interception ya 3au TUKIO KUU LA 3 la MUNGU kufanya makusudi yake moja kwa moja HAPADUNIANI.

Munguamenipanga kupitia taifa langu Tanzania, Tanzania itakuwa ikipokea miongozo
yaMungu kupitia mimi na serikali yaTanzania itaratibu hiyo miongozo na kisha serikali ya Marekani na Uingereza kwapamoja watasimamia utekelezaji wake duniani au katika mataifa yote duniani.

ILA Munguamepanga hayo makusudi makuu kabla ya kuanza MTU WA KWANZA KUYAJUA NAKUYAFUNGUA NI MH. RAIS JAKAYA KIKWETE ambaye ndiye Rais aliyeko madarakaniwakati makusudi hayo yanataka kuanza. Bila ya KUYAFUNGUA hayataanza na ndiyomaana MABALAA yataendelea kulipata taifa letu hadi atambue na akubalikuyasikiliza kwa HIARI au KWA LAZIMA

KWA HI YO NDUGUZANGU MNA HAKI YA KILA MTU KUSEMA LAKE LAKINI NAWAOMBA SANA LIOMBEENI JAMBOHILI LITENDEKE KWA SABABU NDILO SULUHISHO LA MATAT IZO YA BINADAMU YALIYOTUKUMBACHINI YA UTAWALA WA SHETANI WA MIAKA 6000 ILIYOPITA.

Huko kwenye madawa ya Asili na Teknolojiamlikoniona nilikuwa chini ya mafunzo ya jambo hili linalokuja.

Asanteni.

NABII JKBUBERWA NABII KAMA MUSA (Kumbukumbu 18:18,19)

Hapo kwenye Red:
Unaakili timamu kweli wewe unayejiita Nabii...
 
Naona unatafuta umaarufu tu. Watu kama nyie ndio mnatufanya wakristu tuonekane ni vilaza kwa mambo kama haya maana kila mtu anajiita Nabiiii......shame on
 
HIVI WEWE NDIO HUYU??
Nabii atelekeza wake... -

Stori: Issa Mnally na Richard Bukos

NABII aliyesemekana ni wa Kanisa la Mashahidi wa Yehova la Kibamba, jijini Dar, Joseph Buberwa ameingia kwenye skendo ya kudaiwa kutelekeza wake zake wawili na watoto, sasa ameshatoa mahari na yupo mbioni kufunga ndoa na mwanamke mwingine wa tatu aitwaye Sarah (18).
Kwa mujibu wa chanzo makini, uamuzi wa nabii huyo unatokana na madai yake kwamba alioteshwa na Mungu kuwapiga chini wake zake hao kwa vipindi viwili tofauti kutokana na matatizo ambayo yangemtokea mbele endapo asingewaacha.
Chanzo hicho kilisema vitendo vya nabii huyo anayeonekana kwenye televisheni moja nchini akitoa neno la Mungu, vimekuwa vikichafua sifa ya unabii wake bila mwenyewe kujua.
Jirani huyo ambaye jina lake tunalihifadhi, alisema awali, nabii huyo alimpiga chini mkewe wa kwanza aitwaye Dina ambaye alibahatika kuzaa naye mtoto mmoja.

Baada ya kumtosa Dina alimpata mwanamke mwingine aitwaye Riziki ambaye naye alizaa naye watoto wawili lakini baada ya muda na yeye akamuona hafai na kuopoa kifaa cha sasa, Sarah.
Baada ya taarifa hizo, mapaparazi wetu walianza kuutafuta ukweli ambapo walimnasa Riziki kwa njia ya simu.
Mwanamke huyo alikiri kutokea kwa yote hayo ambapo alisema kabla ya kugundua kuwa mumewe amepata mwanamke mwingine alianza tabia ya kulala nje ambapo baadhi ya majirani walimwambia huwa wanamuona na msichana.
"Baada ya majirani kunitonya kuwa amepata mpenzi mwingine ambaye amekuwa akionekana akitanua naye sehemu mbalimbali niliwavizia, ndipo siku moja nikiwa na kundi la majirani tulimfuma na Sarah pale Mlimani City," alisema Riziki.
Akaendelea: "Katika fumanizi hilo, uzalendo ulinishinda hivyo niliwavaa na kutaka kuwafanyia varangati lakini majirani nilioongozana nao walinikamata ndipo wao wakapata upenyo wa kukimbia."
Kwa mujibu wa uchunguzi, Riziki akiwa kwenye harakati za kumrudisha nyumbani mumewe, Jumapili iliyopita, Nabii Buberwa alikwenda kutoa mahari nyumbani kwa akina Sarah na kuangusha bonge la pati na pombe za kumwaga.
Mapaparazi wetu walimtafuta nabii huyo ambapo alipopatikana alikiri kuwahi kuwa mume wa Dina na kuzaa naye mtoto mmoja kisha kumtosa na kuishi na Riziki ambaye alizaa naye watoto wawili na kumtosa na sasa ameshatoa mahari kwa akina Sarah.
"Ni kweli ndugu waandishi, niliwahi kuishi nao wote hao lakini kwa mujibu wa maono niliyopewa na Mungu, Sarah ndiye mke wangu nitakayefanikiwa katika maisha hivyo Jumapili nilishatoa mahari na hivi karibuni tutafunga ndoa.
Jitihada za kumpata Dina ziligonga mwamba. Aidha, Risasi Jumamosi lilipowasiliana na Kanisa la Mashahidi wa Yehova Makao Makuu, jijini Dar walisema Nabii Buberwa alishawekwa kando na kanisa hilo lakini wamekuwa wakisikia bado anatumia jina Lao.

attachment.php
 
Nabii Anataka Kukopa Ikulu,akikataliwa Anatoa Unabii Mbaya,aende Bank.Nabii Hutumwa Na Mungu,hatoi Masharti
 
Back
Top Bottom