UEFA: Kama unatumia star times game iko KBC

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Chanel 10 hawaonyeshi Barca VS Arsenal, kama unapata ATN poa lakini kama hupati ATN na utamia star times kama mie basi mzigo upo KBC

nawakilisha
 
Kbc wanapiga story tu mpaka sasa dak 14 zinaelekea hawajaanza kuionyesha zaidi ya pre match analysis
 
ATN wazushi mpaka sasa hawaonyeshi wanatuwekea gospel tuuu! Wanaboa bora wangewaachia chanel 1O.
 
Hao ATN hoooovyo kabisa hata kuomba radhi hakuna wameweka mahubiri na kwaya

timing mbofu mbofu, nani anasikiliza mahubiri saa tano usiku? anyways, who am i to comment! arsenal keshachapwa 1 lakini hata matangazo yenyewe hayajatulia kihivo, yaani yanakwamakwamba sana dstv tu ndo wako makini na haya mambo
 
Kweli Arsenal kapigwa 1 hadi sasa na Roma yuko hoi 3-1 nyumbani kwake kwa Mgeni Shakhtar Donest dk 41
 
usihofu binti ashura, dk ya 70 sasa arsenal bado wako chini kwa goli moja, ila kuna dalili zote watachapwa bao la pili muda wowote
 
@ binti ashura, bado upo macho? van persie kachomoa na zimebaki dk 8 game kuisha
 
@ binti ashura, arshavin katupia cha pili, arsenal have turned everything upside down!
 
Back
Top Bottom