CHAMPIONS LEAGUE QUARTER-FINAL DRAW:
Villarreal v Arsenal
Manchester United v FC Porto
Liverpool v Chelsea
Barcelona v Bayern Munich
..Kwa kweli this time chelsea lazima wawalize Liver maana maumivu ya kutolewa semis 2 si mchezo hata kidogo...Nina imani blues watafanya kweli..shughuli ipo hapo kati ya Liverpool Vs Chelsea!
...Mshindi wa hiyo mechi ndio atachukua kombe!!!!hakuna timu ambayo ilikuwa tayari kukutana na Liver,ni kweli Lampard aliongea hayo Maneno ila kwa Liver kumfunga Chelsea msimu huu kwenye ligi mara 2,sidhani kama Chelsea watakubali tena.ACHENI MASIHARA HIYO MECHI YA LIVER NA CHELSEA NI ZAIDI YA FAINALI.
...Mshindi wa hiyo mechi ndio atachukua kombe!!!!
Man kama wanabebwa vile....
Hiyo mechi kiboko. Ngoja nirekebishe antenahakuna timu ambayo ilikuwa tayari kukutana na Liver,ni kweli Lampard aliongea hayo Maneno ila kwa Liver kumfunga Chelsea msimu huu kwenye ligi mara 2,sidhani kama Chelsea watakubali tena.ACHENI MASIHARA HIYO MECHI YA LIVER NA CHELSEA NI ZAIDI YA FAINALI.
...Mshindi wa hiyo mechi ndio atachukua kombe!!!!
Barcelona v Bayern Munich
Hiyo game ni balaa....kama namuona liver kwenye fainali Roma.Manchester kapata mteremko,kila wakati huwa wanatengenezewa njia.Lakini hata wakivuka kwa Porto,the gunners wapo wanawesubiri