UEFA Champions League Quarter Final Draw

kisale

Senior Member
Mar 3, 2009
111
1
CHAMPIONS LEAGUE QUARTER-FINAL DRAW:

Villarreal v Arsenal
Manchester United v FC Porto
Liverpool v Chelsea
Barcelona v Bayern Munich
 
CHAMPIONS LEAGUE QUARTER-FINAL DRAW:

Villarreal v Arsenal
Manchester United v FC Porto
Liverpool v Chelsea
Barcelona v Bayern Munich

Chelsea hapo ndio nafasi ya kulipa kisasi kwa hao watu wa bwawa la maini....
 
Lampard aliwahi kusikika last week akisema 'everyone at Chelsea is sick of drawing Liverpool in the CL', I bet watakuwa wameshikwa na matumbo ya kuhara baada ya hii draw!
 
hakuna timu ambayo ilikuwa tayari kukutana na Liver,ni kweli Lampard aliongea hayo Maneno ila kwa Liver kumfunga Chelsea msimu huu kwenye ligi mara 2,sidhani kama Chelsea watakubali tena.ACHENI MASIHARA HIYO MECHI YA LIVER NA CHELSEA NI ZAIDI YA FAINALI.
 
...Mshindi wa hiyo mechi ndio atachukua kombe!!!!
 
Dah naona Man utd fainali hiyoo wanaiona maana lazima atamtoa Porto then anakutana na mshindi kati ya ARSENAL NA VILLAREAL therefore mashetani fainali hiyoooo 2kamsubiri Liverpool 2lipe kisasi cha zile Nne.Man u oyeeeeeeeee
 
hakuna timu ambayo ilikuwa tayari kukutana na Liver,ni kweli Lampard aliongea hayo Maneno ila kwa Liver kumfunga Chelsea msimu huu kwenye ligi mara 2,sidhani kama Chelsea watakubali tena.ACHENI MASIHARA HIYO MECHI YA LIVER NA CHELSEA NI ZAIDI YA FAINALI.
Hiyo mechi kiboko. Ngoja nirekebishe antena
 
BBC Sports Online

Liverpool and Chelsea will renew their Champions League rivalry after being drawn together in next month's Champions League quarter-finals.

It is the fifth successive year the two sides have met in Europe, with Chelsea triumphing in their semi-final in 2008.

Holders Manchester United take on FC Porto and Arsenal play Villarreal, with the winners meeting in the semi-finals.

Bayern Munich meet Barcelona in the other tie. The first legs are on 7/8 April, and the return on 14/15 April.

Liverpool's second leg will not be on 15 April as they asked Uefa to avoid that date because it is the 20th anniversary of the Hillsborough tragedy.

The semi-finals take place on 28/29 April and 5/6 May and the final will be played on Wednesday 27 May at the Stadio Olimpico in Rome.

It is the second successive year that four English teams are in the last eight of the competition.

606: DEBATE
I can't believe we've drawn Chelsea again - and, as usual, United fluke the easiest route to the final

lfcred1968

Although they were beaten by Chelsea last year, Liverpool reached the 2005 and 2007 finals at the expense of the Stamford Bridge club.

It is also a reunion of sorts for Porto and United. The Portuguese club beat United on their way to winning the tournament in 2004, when then Porto boss Jose Mourinho charged up the Old Trafford touchline in delight after a 90th-minute Costinha goal took the Portuguese side through.

And Arsenal's tie with Villarreal is a rematch of their 2006 semi-final, which the Gunners won 1-0 on aggregate.

United beat Chelsea on penalties in last year's final and the draw means another all-English final remains a possibility.
 
Barcelona v Bayern Munich

hawa ndiyo nilikuwa sitaki kukutananao LOL, ndua ya kuku inampata mwewe! Sasa Liverpool akomae kinoma Chelsea then Barcelona or Bayern Munich. kazi ipooo
 
Hiyo geme ni balaaaaaaa........Liver atacheza fainali Roma.Manchester kapangiwa vibonde,huwa anatengenezewa njia kila mwaka.Lakini hata wakivuka kwa Porto.Washika bunduki wako wanawasubiri
 
Hiyo game ni balaa....kama namuona liver kwenye fainali Roma.Manchester kapata mteremko,kila wakati huwa wanatengenezewa njia.Lakini hata wakivuka kwa Porto,the gunners wapo wanawesubiri
 
Hiyo game ni balaa....kama namuona liver kwenye fainali Roma.Manchester kapata mteremko,kila wakati huwa wanatengenezewa njia.Lakini hata wakivuka kwa Porto,the gunners wapo wanawesubiri

hii draw mimi sijaielewa kabisa, yaani kuna timu zimetengezwa mazingira ya wazi kabisa. why? hivi draw hii ilifanyikaje jamani?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom