UEFA Champions League Quarter Final Draw

hii draw mimi sijaielewa kabisa, yaani kuna timu zimetengezwa mazingira ya wazi kabisa. why? hivi draw hii ilifanyikaje jamani?

Jamani hii drawa si imeoneshwa live kabisa kuna magumashi gani yangefanyika pale??? najua wa wadau wote wa chelsea wanatoa machozi ya samaki kwa sasa maana mziki wa bwawa la maini upo juu kwa sasa!!
 
Hiyo geme ni balaaaaaaa........Liver atacheza fainali Roma.Manchester kapangiwa vibonde,huwa anatengenezewa njia kila mwaka.Lakini hata wakivuka kwa Porto.Washika bunduki wako wanawasubiri

Hawana jipya mbele ya mashetani kwanza nahisi msimu huu watakuwa mgongo wa man Utd kuchukua ubingwa wa EPL (may 16)na kwenye CL kusonga kwenda Finals
Lets go Man U... lets go MAN U
 
Back
Top Bottom