Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
Anti unajipeleka kwenye modomo wa hatari nenda baadaye uje kushuhudia hapa.SHY si mtu wa kusogolea tafadhali kaeni mbali wanafunzi wa UDSM.Lete madai hapa na tuwasaidie SHY yupo kazini .Akisha waweka sawa anapata credit .Kaeni macho si kila mwana JF anaitakia Tanzania mema wengina mafisadi wako sisi na wao wazi hapa.SHY spare those kids achana tafadhali .
LUNYUNGU AND MWAFRIKA WA KIKE MNAWASI WASI WA BURE NA HUYU SHY... MIMI NAMJUA KWA KARIBU SANA NA FAMILIA YAKE YOTE NAIJUA KWA KARIBU SANA HUYU SI WA KUOGOPWA KABSAAA NA SIDHANI KAMA ANAVYOWATAFUTA HAO WANAFUNZI ATAWEZA KUONGEA NAO.......
Asante mkuu.
Mimi sina sababu ya kumpa nafasi yoyote SHY ingawa najua alivyo na anachofanya. The guy ni snitch na hapa marekani watu kama yeye wanatangazwa neighborhood nzima ili waogopwe na kukimbiwa kama ebola!