UDSM student hangs himself - ni wa Mwaka wa Kwanza, kisa majibu ya Daktari

duuuh HIV noma lakini jamani
rip kijana mdogo
so alianza mapenzi secondary? ni hatari lakini

wapo walioanza mapenzi shule ya msingi...pengine hata wewe lakini wanadunda na hawakupata maambukizi

muhimu ni kuangalia umejifunza nini kutokana na suala lililojitokeza.
je, inawezekana ushauri nasaha uliotolewa haukuwa wa kutosheleza? je kituo cha afya cha Mlimani kimezidiwa kazi kipindi hiki cha admission?
je kuna m/washauri nasaha pale? wanatosheleza? je peer educators wapo wa kutosha kwenye vyuo vyetu hivi?

na lingine,tunafahamu kuwa watu wengi tunatofautiana ktk coping mechanism na ability to cope with major stress... ndio maana kawaida huwa washauri nasaha wanaulizia kabla uzoefu wako wa kukabiliana na stress zilizopita? na ndio maana huwa wanaulizia ushawahi pata jambo gani kubwa ktk maisha na ulikabiliana nalo vipi? mfano loss of a kid/parent/major accident/ kuachwa na boyfriend wa kwanza/kupoteza kazi n.k.. watu wanatofautiana sana ktk kukabiliana na stress kubwa na kiwango cha ushauri nasaha kinategemeana na assessment mbalimbali...

la mwisho tukumbuke kuwa mpaka sasa bado ni asilimia ndogo ya watz ndio waliowahi kupimwa na kupokea majibu yao

kwahiyo kama bado haujapima na kupata ile stress ya kusubiri majibu...usidhihaki mwingine
 
RIP kijana, ebu imagine wazazi wake wamemsomesha kwa matumaini kibao na pia yeye alikuwa na malengo yake mengi tuu, dah hii HIV mbona itamaliza vijana wengi??? Maisha magumu, magonjwa mengi, uamsho nao hawatuachi na amani yetu!!!! Mbona duniani sio sehemu ya kuishi tena???
 
kusema ukweli at his age ningepima nikakuta nimeathirika may be I could have done the same,SHULE NGUMU,labda nikimaliza nitaoa nani,napataje watoto?je nitamaliza salama.
Sasa ni tofauti nina watoto nitasema nipiganie afya yangu kwa ajili ya watoto wangu.Rest in Peace Joe ni ngumu sana kumeza ukuambiwa una HIV.
 
Tumuombee Mungu amsamehe. Binafsi siwezi kumnyoshea kidole kwa uamuzi aliouchukua maana hili janga linatisha ndiyo maana tukiulizana humu nani amewahi kupima tutapata 2/10.
 
Hii ndo jamii forum
sehemu pekee ambayo marehemu hasifiwi
Mungu ampunguzie adhabu huko aliko
 
Acha kudanganya watu asingefikisha umri huo.

Mkuu Matola, nadhani hauko sahihi kwa hili;

Kuishi kwa muda mrefu kwa mgonjwa wa UKIMWI kunategemea vitu kadhaa vikiwepo
-aina ya kirusi(HIV-1 au HIV-2) au vyote
-Kinga ya mwili ya mgonjwa
-Magonjwa mengine tofauti ambayo anayo
-Personality(psyche orientation)
-Kuzingatia dawa na ushauri nasaha na mengine mengi.

na ndio maana kuna classes, slow to rapid progressors, so yes it is possible.
 
R.I.P kijana, kweli ulifanya maamuzi magumu sana ila umeokoa wengi. Hongera huko uliko
 
Vijana wa chuo someni kwa bidii acheni dhambi coz malipo yake ni mauti.ona huyu dogo 21yrs aisee ....inasikitisha

Alafu hayo mabumu tumieni vizuri sio kununua mavitu kama simu nzuri nk hiyo ni kukuwezesha wewe ule stationary nk sio mshahara huo mpaka mkalewe,muhonge wadada ambao wanapata mabumu kama nyie
kuweni makini dunia haina huruma shauri yenu

Last but not least Mcheni Mungu matamaa, anasa nk vitawakimbia vingineya hamwezi kusurvive vyuoni coz kuna majini ya ngono,ya kubadilisha life style za watu,ya kuchetua watu bila Mungu hamwezi kushinda vishawishi na matukio kama hayo ya kujinyonga
 
duuuh HIV noma lakini jamani
rip kijana mdogo
so alianza mapenzi secondary? ni hatari lakini

Kijana wa Kihaya wa miaka 21 unasema ni mdogo?? Huyo ameona kei nyingi mno, hasa kama baba yake ana mkoko anakuwa anatumia masifa ya nshomire rugemarila...

Au pengine amejiua baada ya kuona kada wa CCM na mkewe mbunge wa viti maalum CCM akina Madabida wanatengeneza ARV FEKI na hivyo matumaini ya kuishi hakuna bora kujimaliza maana hata ARV zinachakachuliwa nchi hii na hawa CCM
 
Afu kile kidispesari nin poor sana kwenye kanseling kabla ya kuipima
Yaani wanakupima kama malaria.

Natamani wafanya Investigation ya kutosha, kidogo wammaliza kwa presha ndugu yangu mmoja kwa kumpa majibu ya hovyo hovyo kirahisi rahisi tu.
 
Back
Top Bottom