UDSM student hangs himself - ni wa Mwaka wa Kwanza, kisa majibu ya Daktari

vijana acheni kukimbilia mambo makubwa na yakikolea huzaa matunda makubwa kuyala tutawapoteza wengi ushauri wa nasaaha kwa vijana vyuoni unaitajika na maneno ya maisha ya matumaini baada ya kuwa na HIV
 
Yaani kwa kweli pale wafunge kutoa huduma zinazohusiana na HIV kabisa
Haya kuiongelea tu wakatazwe, watamaliza watoto bure

Kuna mmoja alifuatwa bwenini hajiwezi, kaambiwa ana uwezekani mkubwa wa kuwa HIV+ kwa macho
Kisa alipata mkanda wa jeshi lakini wala hakuwa na kitu

Mbaya zaidi unawezakuta wala hakuwa HIV.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Pale dispensary hawajui shida ya mtu! Ni wapuuzi!, Mukandara work on this sir.
 
RIP kijana. Tatizo hapo akupewa ushauri wa kutosha. Mtu kama ameathirika inabidi uongee nae kwa umakini sana. Ukweli majibu yanachanganya sana. Ila vijana wengi wa miaka ya 90 wamezaliwa nao then still wanadunda. Hawa wakishauriwa wanakua na tabia nzuri sana. Ukiwaomba san penzi lazima atakwambia tu, mm nimeathirika so sipendi kuona na wewe umeathirika. Ila kwa aliyepiga sana game then akaupata ni asilimia chache sana kua wakweli endapo akitokewa au akimtaka msichana.
 
Smile kuna watoto wanazaliwa positive...kwa kuwa hali ya maisha ni nzuri hawafi...ni hatari sana.

Kupima ni must wajameni.

duuuh HIV noma lakini jamani
rip kijana mdogo
so alianza mapenzi secondary? ni hatari lakini
 
achaneni na maswala haya ya ukimwi nafikiri naweza kuwa na maamuzi kama haya la sivyo niwekewe boadguard kwa kweli nauogopa sana mie kuishi eti kwa matumaini siweziiiiiiiiiiiii ni bora sijiu nitaishi milele au nitakufa lini sijui kuliko najua lazima nife siwezi mie HorsePower my kaka help me
 
Last edited by a moderator:
Poor Pre Test Counselling ipo sana,mara nyingi nilizopima sikuridhika na nasaha nilizopewa kabla ya kupimwa.kali zaidi ni juzi kati tumeenda clinic na wife wakanibana papohapo fastfast na baba nawe lazima upime,sikupewa nafasi ya kupumua hata kidogo,wakachukua damu haooo kwenda kupima,dah!bahati nzuri historia yangu inanilinda vinginevyo ningekuwa mtu wa kula mizigo ningetoka nduki pale clinic
 
achaneni na maswala haya ya ukimwi nafikiri naweza kuwa na maamuzi kama haya la sivyo niwekewe boadguard kwa kweli nauogopa sana mie kuishi eti kwa matumaini siweziiiiiiiiiiiii ni bora sijiu nitaishi milele au nitakufa lini sijui kuliko najua lazima nife siwezi mie HorsePower my kaka help me

nivea,ukipanuka sana kiufahamu juu ya ukimwi utaona huna sababu ya kujiua,nawafahamu watu wanao for years and years na wanasonga mbele kama kawaida with much confidence.kwani hata ukiwa hauna ngoma si unajua tu lazima ufe?au jiulize kwani ukiwa na ngoma mwisho kuishi ni miaka mingapi?
 
mkuu niache tu ndugu yangu hilo suala nahisi nimelicompicate sana kama nimekunywa sumu mbaya vile niache tu woga wangu uanisaidia wakati wengine wanaweza niona mjinga sana siwezi kuwa pango mie
 
Yaani kuna comments nyingine humu zinacikitisha.. Ila ni vzuri mkaelewa ukimwi hauambukizwi kwa zinaa peke yake.. So tucimuhukumu huyu marehemu kwa hilo.. Nina rafiki yangu marehemu aliwekewa damu iliokuwa na viruc baada ya kupata ajali ya gari Tanga.. Its sad jamaa aliamua kuukatisha uhai wake.. Alikosa ushauri wakati alipouhitaji..
 
Sidhani kama couseling kabla ya vipomo na baada ya vipimo kama ilikuwa sawia!

Sababu kajiua sababu ya shock ya matokeo si kingine! Na swala la shock hili umtokea mtu yeyote hile ambaye upewa matokeo yake baada ya vipimo.

Washauri walitakiwa wahakikishe kuwa yuko katika hali salama ndio aondoke.

Hapo ndio tujue maana ya kucheza salama kwani unapofika wakati umeambiwa kuwa majibu yako yanaoenesha umeathirika hali iliyo mkuta huyo kijana yeyeote yule anaweza kukutwa nayo kama hato pata ushauri vizuri.

Tukumbuke kuwa na virusi si mwisho wa maisha bali ni mwanzo wa maisha mapya ya
*Kucheza salama kuepuka maambukizi mapya

* kufata na kuzingatia lishe bora.

Tukumbuke pia zina si njia pekee ya kuleta maambuki yaVVU
 
mkuu niache tu ndugu yangu hilo suala nahisi nimelicompicate sana kama nimekunywa sumu mbaya vile niache tu woga wangu uanisaidia wakati wengine wanaweza niona mjinga sana siwezi kuwa pango mie

usijali wenzako tulikuwa waoga kuliko wewe lakini elimu na ufahamu juu ya ukimwi ukatufanya tujiweke tayari kwa lolote wakati wowote!mshauri nasaha mmoja wa zamani alinipa busara kubwa...nilipoona niko negative nikataka cheti,akaniambia "cheti sio muhimu sana,tofauti na cheti cha elimu ukishahitimu hakuna kitakachoondoa thamani ya cheti chako,hiki cha hiv status hata ukitoka hapa ukaenda pata maambukizi leoleo kitakuwa hakina thamani tena...muhimu ni wewe kujitunza na kujilinda" kuna busara nyingi sana ndani ya kauli yake hiyo
 
Mh, imenikumbusha my best friend nae alijingonga kwa sababu hiyo hiyo 2004 pale UDSM. RIP Dogo ila hakutakiwa kuondoka mapema kiasi hicho.
 
usijali wenzako tulikuwa waoga kuliko wewe lakini elimu na ufahamu juu ya ukimwi ukatufanya tujiweke tayari kwa lolote wakati wowote!mshauri nasaha mmoja wa zamani alinipa busara kubwa...nilipoona niko negative nikataka cheti,akaniambia "cheti sio muhimu sana,tofauti na cheti cha elimu ukishahitimu hakuna kitakachoondoa thamani ya cheti chako,hiki cha hiv status hata ukitoka hapa ukaenda pata maambukizi leoleo kitakuwa hakina thamani tena...muhimu ni wewe kujitunza na kujilinda" kuna busara nyingi sana ndani ya kauli yake hiyo
ndugu yangu wewe ulipata elimu yakuambiwa mimi nimepata elimu yavitendo tu wawili tofauti nimeuguza ninaishi nimeona so namimi sio wenye 20's am over that so belive me nimeshuhudia mengi so niache niogope fimbo unayotumia kuchapia ng'ome akakuelewa unaweza uchapie punda asikuelewe akabaki amesimama wala asisense chochote.have mercy
 
Poor Pre test counselling(PITC), why would one let vigour young man die bse of HIV/AIDS test results?!.anyway alot can be speculated tjough as he(deceased) said, "bse of number of difficulties"

Poor post counselling as well, siku hizi doctor wanapima na kutoa majibu ya HIV / AIDS kama vile wanatoa majibu ya malaria, ndani ya dakika kadhaa tu wanapima na kutoa majibu wakati anatakiwa apate ushauri kabla ya kupima na baada ya kupima ili kumwandaa kwa maisha mapya
 
Nilifurahi sana baada ya kupima HIV mwanzo 2007 na 2012 zote niko salama nakushukuru Mungu kunilinda hata pale nilipokosea na kwenda kavu jamani pole kwa familia ila msikate tamaa pale mnapo pata HIV si mwisho wa maisha unaweza ishi tena.
Bwana alitoa,Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom