Ni wewe umedisco afu unamsingzia rafik yako.ucpoteze muda,kaaply chuo kingne faster.

Asalaam!

WanaJF, naomba kujulishwa kama ni kweli Hiki chuo kimebadili viwango vya kufaulu kuvuka mwaka (GPA) au ni kama zamani?

Nina rafiki yangu ame-Disco mwaka wa kwanza (BSc) ila anadai GPA ipo poa 2+.

Kwa anayefahamu naomba msaada.

Asante

hv kumbe kuna gpa za 1.8, 2.n.k? Mi nilikuwa cjui. Najua kuna 3.8,.....5.0 udsm,hasa kwa elimu lain ya udsm!,ngoja niaangalie za taarifa,daaah

HUYU JAMAA YAKO HAJAKWAMBIA UKWELI. KAMA AMEDISCO TATIZO HALIWEZI KUWA GPA KWA SABABU BADO HATA SUPP EXAM KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA HAUJAFANYIKA. LABDA KUNA SOMO HAKUFANYA NMTIHANI NA HIYO NI SABABU TOSHA YA KUDISCO.

Afuatilie afahamu sababu. bado ana nafasi ya kufile appeal
laini???? Jaribu utajuta kuifahamu kama hautajipanga vema!!hv kumbe kuna gpa za 1.8, 2.n.k? Mi nilikuwa cjui. Najua kuna 3.8,.....5.0 udsm,hasa kwa elimu lain ya udsm!,ngoja niaangalie za taarifa,daaah
sio maticha tu hata uzembe wa wanafunzi unachangia sana!!! Just imagine kijana anakupa jibu elimu haijachanganya...hii ni indicator za uzembe anza na gia kubwa mwanzo-mwisho mbona unatoka poa!!!

majority ya gpa za pale udsm znarange kati 2.0-3.7,elimu co ngumu kvle ila ni unoko wa maticha 2.

sio maticha tu hata uzembe wa wanafunzi unachangia sana!!! Just imagine kijana anakupa jibu elimu haijachanganya...hii ni indicator za uzembe anza na gia kubwa mwanzo-mwisho mbona unatoka poa!!!