Udsm na miaka 50

mende dume2

Member
Sep 28, 2010
37
2
wadau, kwanini UDSM inalazimisha kusherekea miaka 50, tangu kuanzishwa kwake, ilhali mwaka 1995 chini ya Chancellor wao wa Kwanza JK Nyerere walisherekea miaka 25? are they more right today than in 1995? au ni siasa?

kama 1995 walisherekea miaka 25, miaka 50 ilipaswa kuwa 2020, kwa halisia kuwa hajawahi kuwa na UDSM kabla ya 1970.

naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom