UDSM mbona mnatugeuza mradi?

wizi tu. au wanataka kufidia gharama za ukarabati mazingira na majengo for the 50th anniversary ceremony??????????.
 
mbona mnapindisha hoja, hebu tajadili habari za majoho hapa acheni majadiliano ya viazi hapa.
nakuja kwenye hoja, hivi usipo vaa hilo gauni na ukaingia ukumbini watakutimua?
 
Back
Top Bottom