UDSM kugoma...

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Sababu kubwa ya mgomo ni kupinga system mpya ya wanafunzi wanao endelea na masomo kujisajili kwanza then ndo wapewe bum.source,mimi mwenyewe,nlikua rev square.
 
wawe wamejiandaa na washawasha maana wale woga kama nini

images
 
ndio system zilivyo,si tunataka maendeleo bana,hata wasomao nje ndio hivyo,baadhi ya nchi ni lazima kila tarehe furani ya mwezi uregister ndio wakuwekee bumu

so kuwei wavumilivu nadhani lengo ni kuwabaini wale ambao hawapo chuoni lakini bumu wanalamba kama kawa
 
Kama we umesoma kaa kimya,hamna ambae amenda kufanya biashara pale,ushauri peleka kwa watoto wako kama c mgumba

wazazi wenu walio vijijini, wanaohangaika huku na kule kuwapatia ada wanaelewa kuwa mnagoma? Hebu jifunzeni, migomo yenu.haisaidii chochote tena, tayari imeshazoeleka! Haina tena nguvu!
 
Someni huko!

ndugu yangu,wengne bumu ndo wanalitegemeaga ka nauli ya kuwapeleka na kuwarudisha chuon,hlo hlo bumu linatumika kwa kulipia tution fees etc,sa wanavotaka watu wafanye registration thn ndo wapewe bumu na kama unavojua hapa tz watoto weng wa walala hoi tuko udsm,hyo registration tutaifanya kwa pesa gani ukizngatia hali za wazazi wetu.
 
utasoma huku ukiwa na njaa mkuu?

huyo inadhihirisha hana elimu na kama amesoma basi ndio walewale waliopata marks ndogo na hawakupata boom that y hajui umuhimu wake.Atakuwa wa IFM au TIA tu.
 
huyo inadhihirisha hana elimu na kama amesoma basi ndio walewale waliopata marks ndogo na hawakupata boom that y hajui umuhimu wake.Atakuwa wa IFM au TIA tu.

si anaropoka tu ili nae ajulikane yupo.
 
kama ungekuwa mwanafunzi ndo ungejua umuhimu wa boom chuoni stop posting senseles ideas watu wanastarve ile mbaya u just dont knw

nimesoma sana...msijione nyie mliopo chuo sasa hivi ndio wasomi. Kumbuka UDSM ina zaidi ya 50 yrs! Miaka yote walikuwa wanatoka graduates walio makini, siyo wa miaka hii!
 
huyo inadhihirisha hana elimu na kama amesoma basi ndio walewale waliopata marks ndogo na hawakupata boom that y hajui umuhimu wake.Atakuwa wa IFM au TIA tu.

bora hata hivyo vyuo ulivyovitaja. UDSM ya mika hii imekuwa kama chuo cha kata. Kila mtu anachaguliwa kukijoin. Miaka yetu ikuwa ni watu wenye higher division tu ndio wanapewa priority. Siku hizi hata div three mtu anasoma UDSM computer sicience au law.
Jipangeni tena..hata serikali ikiamua kufuwafukuza wote, bado serikali haiwezi pata pigo lolote cuz wasomi ni wengi sana na wapo tu mtaani hawana chakufanya.
 
Back
Top Bottom