Udsm duce

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Wanafunzi wa udsm-duce wanajibiwa kisiasa kuhusu ada kutoka bodi ya mikopo. Wanamaliza kulipa shea zao za % lakini siku wajapo kuchukua matokeo wanaambiwa wanadaiwa .! Sasa jamani ufisadi ni richmond pekeake au? Watu wanatafuna pesa. Wee ngoja tu.
 
muwe mnaweka mada zinazoeleweka humu jamvini ili watu waweze kuchangia kwa kina.
 
Tatizo mleta mada hajaweka mambo wazi, kama ulikua ikiambia ukasaini kuwa bodi ya mikopo imekulipia ada hukwenda unategemea nini kitafuata kama siyo kukudai wewe na zilizotoka bodi zirudi? Maswala ya retirement ndugu mnavyo ambiwa jamani hima hima mkasaini kwa wale waliopewa ada na bodi hamuendi, kwenye kusaini boom ndiyo wa kwanza sasa imekula kwako. Kama unauhakika ulisaini na percent uliyopaswa kulipa ulilipa basi nenda polisi haraka.

Aliyesema kilaza Misana namshangaa sana maana yule mama ni mtaalamu wa Geography na alifanya DUCE kwa muda mrefu. Sidhani kama kuna haja ya kumita mtu kilaza kwa mtazamo wako bali jitafakari kwanza kama wewe uko perfect basi ndiyo ukusanye data za kumwita mwenzio kilaza.
 
Aisee mi ilikulaga kwangu laki saba ikanitoka,tatizo ni kuwa usipo saiti kipindi bodi imeleta ada yako lazima ile kwako arifu.,cha msingi ni kusaini ada kutoka bodi.,.ukikataa kupata hupati transcript wala gamba lenyewe.
 
Back
Top Bottom