mchapafito
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 608
- 300
Habari ya mchana ndugu zangu Great thinkers wa JAMIIFORUMS...hii incidence imetokea leo kazini mida ya asubuhi..hapa ofisini kwetu kuna vijana wa UDSM waliopo katika mazoezi yao ya vitendo yaani field...sasa ukatokea ubishani mkubwa miongoni mwao kuwa pale UDSM kati ya college hizi mbili CoET na CoICT ipi zaidi??.....in terms of wanafunzi kufaulu sana,kuchukua wanafunzi wenye ufaulu mkubwa na academic excellence ya wanafunzi in general ni college ipi ipo zaidi??...karibuni kwa mjadala wadau: