reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
jaman hvi hakuna sheria ya kuwashitaki wababaishaji katika ajira? hawa udom wananikera sana. kuna interview zilifanyika tangu mwez wa tatu lakini hadi leo hakuna majibu pia nakumbuka kipindi cha nyuma kidogo kuna watu walifanya interview pale hawakuitwa na katika kufatilia wakaambiwa wameicancel. hv hawajui km watu wanatumia pesa kuja kwenye usaili? hakuna sheria inayorusu kuwashitaki kwa usumbufu wao?