Brother James
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 233
- 172
Wana JF,
Ninapenda niwaombe kwa heshima na taadhima kuwa kama mtakuwa mmeona au kusikia prospectus ya #UDOM ya mwaka wa masomo wa 2013/2014 tafadhali nirushieni kwenye hii thread au kwenye private email:(james.tanzania@yahoo.co.uk) kwani kuna mambo mengi sana nataka niyachambue kulingana na courses/programmes zilizotangazwa kupitia TCU.
Pamoja na uhitaji huo lakini pia kila siku tunasikia serikali ya Jamhuri ya Tanzania ikifanya mikakati mbali mbali ya kukifanya Chuo Kikuu cha #UDOM kuwa bora kuliko vyuo vyote vya Umma nchini Tanzania na kuweza kuzalisha competent specialists katika fani mbali mbali.
Cha kustaajabisha ni kwamba #UDOM hii hii hata Prospectus ya kimasomo haipo mtandaoni ila kila siku wanaajiri wataalamu wa IT, Je tuamini kuwa tatizo ni watawala wa Chuo?? Kuna mapungufu mengi sana tena ya wazi kabisa yaliyoonyeshwa na Chuo cha #UDOM .
Inachekesha sana kuona wanachuo Mwaka wa kwanza wanaripoti chuoni tarehe 12 October bila kufahamu kitu gani wanakwenda kusoma, je maandalizi kwa kijana/binti huyu anayekwenda kuanza masomo atayafanyeje bila kujua mahitaji ya kila course anayokwenda kuisoma?? au bado maisha ya #UDOM ni kama yale ya Sekondari za kata ambapo kila hitaji utalijua ukishapiga ripoti!!!!!!!!??? Jamani #UDOM hata #TEKU inawashinda kiasi hichoo???
Ingawaje inasemekana kuwa Vyuo vingi vya Umma vimezidi kwa uzembe na kupuuzia vitu muhimu kama kujitangaza in terms of courses/programmes offered kupitia prospectuses lakini hiki cha #UDOM kimezidi jamani....kwanini wafanye kazi kwa mazoea lakini??? Mbona UDSM, ARDHI, Mwl. Nyerere Academy, Mzumbe na vinginevyo wameweza kujiweka wazi in terms of courses na programmes offered kupitia Prospectuses zao??
Wadau naomba tuzungumze juu ya hili suala kwa lengo la kukisaidia Chuo Chetu ambacho Serikali yetu inakitegemea sana kwa miaka ya karibuni kuwa Chuo Bora na Makini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Naomba Kuwasilisha.