UDOM pamechafuka Tena Leo Kwa mara ya pili

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Hali ya taharuki I metanda tenda Leo katika viunga vya UDOM kitivo cha walimu wakiendeleza maandamano ya kudai kupewa pesa ya chakula na malazi. polisi wamemwagwa kama Karanga lakin hawajarusha hata bom wala kupiga MTU.
 
Hakuna kuogopa polisi haki lazima ipatikane hata wakiwaua watafaidika kizazi kingine.Hakuna kuogopa wanyanyasaji.
 
Mabomu yamerushwa...maji ya ----- yamemwagwa...watu wameumia vibaya sana na wengine wamekamatwa...
 
Hal tete nimeona gari ya maj ya kuwasha na nimeskia milipuko ya mabom mabwenin.
 
nakumbuka enzi zetu.mlacha vp?Bado yupo?GOmen mpaka kieleweke

Kama walioko chuo tiali hali ni ngumu na sisi tunaoenda kuanza mwaka wa kwanza itakuaje, Tibaijuka uko wapi mama mwenzetu unakula mboga ya milioni kumi wkt dada zetu na kaka zetu ya mlo mmoja tu inawashinda.Tanzania ni nchi moja yenye amani lkn ina mambo.Watoto wa masikini tutakoma.
 
Back
Top Bottom