sheria zaanza kutumika UDOM, college of informatics and virtual education imefungwa rasmi baaada ya wanafunzi wake kuendelea na mgomo kwa zaidi ya siku 3 mfululizo, na hivi sasa wanafunzi wanahaha kutafuta jinsi ya kuondoka ndani ya chuo hicho maana wamepewa masaa matatu mwisho saa kumi ya jioni wasionekane vyuoni hapo!