UDOM kuajiri wahadhiri 50 toka India?

Kwani kuna ubaya gani jamani? Mbona Watanzania Lukuki wapo nje ya nchi? Wanafanya kazi? Ukipokea lazima ujue na kutoa.
 
Duh! Naona tumeanza kutambaa,
Wangeajiri wataalam wa electronics kutoka Japan au Israel japo wa nne tu!, kisha wachukue madactari bingwa 10 tu toka India ila wawe waaminifu wasije wakaiba mioyo ya watu.
Ingesaidia sana...sana.
 
Nakubalina na wewe kabisa , maana wangeenda Israel kuazima Walimu wa masuala ya ujasusi pia na kila kitu hata hiyo ni madini ya uralimu ambayo yapo Dodoma pia
 
Back
Top Bottom