BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,376
- 8,119
Ripoti ya Utafiti wa Uzoefu na Maoni ya Waandishi wa Habari kuhusu Sekta ya Habari Tanzania imebaini masuala muhimu yafuatayo:
20% ya Waandishi wa Habari wanasema ajira yao ni ya kudumu huku 63% wanasema ni vigumu kupata maisha mazuri kupitia Uandishi wa Habari.
Waandishi wa Habari wa Kike wanadhani, mara nyingi hawatendewi Haki kulinganisha na Waandishi wa Kiume.
Kwa mujibu wa Utafiti wa Uzoefu na Maoni ya Waandishi wa Habari kuhusu Sekta ya Habari Tanzania, imebainika kuwa Nusu (50%) ya Waandishi wa Habari wanaripoti kuwahi Kutishiwa, Kuteswa, au Kushambuliwa katika kazi zao.