Udini wa kutisha UDOM!

Status
Not open for further replies.

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
Kwenye local papers moja hapa nchini nadhani mtanzania, kuna barua ya mtoa maoni akilalamikia kuhusu udini w akupindukia huko chuo kikuu cha dodoma, inasemekana kama wewe si mwislamu huna chako pale

Inasemekana pia mishahara haina scale kulinganisha na sifa bali inapangwa na afisa ambaye yeye anatumia udini kama kigezo, yaani mkristo kiduchu na mwislamu bwelele

Sasa, JF iko kila mahali tunaomba data na ikiwezekana hili lipingwe kwa nguvu zote.

Uutaifa wetu uwe ndiyo kigezo pekee, kamwe udini , ukabila, na rangi kisiwe kigezo cha kututenga, hakuna aliye bora kuliko tanzania
 
Hebu mwageni jina la huyo fisadi Mdini anayeshughulikia hiyo ajira.

Maboss wa Udom kama ni kweli basi waanze kujipanga vizuri maana waandishi wa habari hii kitu inauzika kabisa.
 
Hii taarifa siyo sahihi, nacho amini mimi mishahara ktk vyuo vikuu vya umma inapangwa na hazina/utumishi. TA anaanza na PUTS12 assistant lecturer PUTS15 lecturer PUTS17 n.k. japo sina details zaidi sijui hapo udini unakujaje.

Kama huyo mtumishi siyo mwalimu basi sijui lakini nao wana scale zao za mishahara kulingana na ngazi yake ktk ajira.
 
Hebu mwageni jina la huyo fisadi Mdini anayeshughulikia hiyo ajira.

Maboss wa Udom kama ni kweli basi waanze kujipanga vizuri maana waandishi wa habari hii kitu inauzika kabisa.

Nimependa SIGNATURE YAKO...(Dr Slaa...!)

BUT ARE YOU SERIOUS?
 
From UDOM website:
Chancellor :BW Mkapa
Chairman of University Council : Mohammed Ghalib Bilal
Vice Chancellor : Prof. Idris Kikula
Deputy VC Planning,Finance
Administration : Prof Shaaban Mlacha

Tutajaza!!!!!!
 
Nilichowahi kusikia ni performance mbaya ya uongozi hapo chuoni na hasa deputy mmoja wa utawala na fedha. Yeye hana respect kwa watumishi wenzake amekuwa ni chanzo cha waalimu wengi kuondoka kila wakati na kujiunga na vyuo vingine. Hiyo kweli ina uthibitisho.

Aliyenieleza alionyehsa wazi kwamba afisa huyo anakuwa na kiburi kwa sababu ngazi za juu wanamwamini kwa sababu za kidini, binafsi yoote hayo yanaweza pia kuwa ni kwa sababu ya uzembe wa Serikali tu!

Hata UD na SUA kuna matatizo makubwa ya uongozi ambao kama ni kwa mapenzi ya watumishi, wangeondolewa mara moja. Lakini ni kimya.
 
From UDOM website:
Chancellor :BW Mkapa
Chairman of University Council : Mohammed Ghalib Bilal
Vice Chancellor : Prof. Idris Kikula
Deputy VC Planning,Finance
Administration : Prof Shaaban Mlacha

Tutajaza!!!!!!

du kama hali ipo hivyo hakuna ubishi
 
hilo linawezekana kwa hii serikali ya awamu ya nne
kama hao viongozi ni radicals muslims hicho chuo hakiwezi kwenda kokote kwani uislam na shule za kidhungu ni vitu viwili tofauti (refer Nigerian moslem "Teleban, Alqaida"), hao jamaa walishatamka kabisa kuwa elimu hiyo si sahihi kwa waislamu, lakini kama ni waislamu wa majina chuo kitafiaka mbali kwani ni lazima watakuwa bega kwa bega na watu wa shule
 
du kama hali ipo hivyo hakuna ubishi

Home of great sinkers! sasa na huyo Mkapa nae muislam? hivi udini ni kuwa na viongozi wa 3 wa juu waislamu? kwa hiyo UDSM nako kuna udini?

Mleta mada ndio mdini kwani inahitaji uwe mdini ili kujua mdini!
 
Sidhani kama kuna ukweli katika madai ya udini huko UDOM. Ila nafahamu kwamba chuo hicho ni kwa maslahi makubwa kisiasa. Inaonekana UDOM ni tunu kwa CCM.
 
Kuna vitu vingine wala havihitaji ufaham mkubwa kiasi hicho. Ushahidi wa mshahara ni jambo la kitoto sasa tena inapokuja kwenye sector ya elimu. Scale zipo wazi saana. Unachotakiwa kufanya ni kusoma tu na si jingine. Maana kana huna elimu au machapisho kwenye academic institution lazima ubwabwaje tu. Kwahiyo kwenye mishahara kwenye academic institution ni claim ya kitoto.
Hilo la kwenye udini, hebu tumchokonoe kikula tokea yupo Ardhi alikuwa hivyo? Watu wanaandika tu kutokana na majina. Lets be realistic. Malumbano ya kidini yamejaa JF kuliko hata kwa Watanzania wasiojua kugusa kubonyeza key board. Na hayajengi.
 
kwa ujumla binafsi sijawahi shuudia udini ktk vyuo vikuu vyetu, labda ukabila.
 
Home of great sinkers! sasa na huyo Mkapa nae muislam? hivi udini ni kuwa na viongozi wa 3 wa juu waislamu? kwa hiyo UDSM nako kuna udini?

Mleta mada ndio mdini kwani inahitaji uwe mdini ili kujua mdini!

Mkapa akiwa Raisi alitoa chuo cha Tanesco Morogoro kuwa Chuo Kikiuu cha Kiislam
 
Kuna vitu vingine wala havihitaji ufaham mkubwa kiasi hicho. Ushahidi wa mshahara ni jambo la kitoto sasa tena inapokuja kwenye sector ya elimu. Scale zipo wazi saana. Unachotakiwa kufanya ni kusoma tu na si jingine. Maana kana huna elimu au machapisho kwenye academic institution lazima ubwabwaje tu. Kwahiyo kwenye mishahara kwenye academic institution ni claim ya kitoto.
Hilo la kwenye udini, hebu tumchokonoe kikula tokea yupo Ardhi alikuwa hivyo? Watu wanaandika tu kutokana na majina. Lets be realistic. Malumbano ya kidini yamejaa JF kuliko hata kwa Watanzania wasiojua kugusa kubonyeza key board. Na hayajengi.

Heri wewe umesema! watu wakiona jina Idris na Shaaban basi conclusion ni udini.

Hata memba makini hapa JF likija suala la dini ( isomeke uislam ) watu wanakuwa vipofu na wanapoteza umakini wao
 
MLETA MADA NAKUPINGA SANA...mZUMBE VIONGOZI WOTE WA JUU NI CHRISTIAN, UDSM VIONGOZI WOTE WA JUU NI CHRISTIAN...afu uache uongo na ni kinyume na kanuni za JF kudanganya.....mishahara ya vyuo inalipwa na hazina na inatokana na scale...jamani huyu mtoa mada ni mpuuzi sana na ni mdini hafai kuwa Mtanzania
 
Mtoa mada usikae pembeni ukaacha watu wakatoana ngeu bure! Lete data za uhakika ili tuchangie otherwise watu wameshaanza kutoka nje ya mada ambayo inaonekana haina ushahidi wa kumshawishi mtu aamini unayokusudia aamini!
 
Mjadala huu uishe tusijeishia mahakama ya kadhi bure!!
Lakini mwenye specifics alete hapa JF
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom