Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

Mzee Mohamed Said naona kama umeamua kurudi kivingine kuleta ile historia yako yawapigania uhuru.

Nimeisoma vizuri hadithi yako ambayo imechukua kama 92% ya mada yako na nimeshangazwa katika matukio hayo ya kusikitisha yaliyokutokea mwaka 2006 hukuwahi kutaja raisi aliyekuwa madarakani kipindi hicho. Vivyo hivyo hukuwahi kutaja nani alikuwa madarakani mwaka 1993 wakati ndugu zetu waislam wanapigwa na mabomu ya machozi lakini hukusita kumtaja Nyerere mara mbili katika paragraph ya kwanza. Unawea kutueleza kinagaubaga kwanini hukuwataja?
 
Wangapi wanatiwa hatiani nchi hii kwa tuhuma za kuunda? Wote wanaofanyiwa hivyo ni waislamu? Nguza kafungwa yeye na wanawe kwa tuhuma ambazo hata kwa mtoto mdogo zitatiliwa shaka (ni nani hata akiwa kichaa atashirikiana na wanawe kufanya ngono wakati mmoja? Na kwa nini shahidi mkuu wa serikali ambae "ushahidi" wake ni sawa na kukiri kosa asiadhibiwe?). Mbona waislamu wanazikimbia nchi zao (kama Pakistan na Yemen - achilia mbali Iran na Syria) na kuhamia Marekani na Ulaya? Hata zuzu anajua kuwa si tatizo mtu kujenga msikiti USA na Ulaya lakini ni kujitafutia kifo mtu kukutwa na biblia Indonesia, Pakistan, Saudi Arabia etc? Acheni unafiki nyie watu! Mbona hamuhaimii nchi za kiislamu kama mnavyohamia nchi zisizokuwa za kiislamu?


Majibu na kejeli zako zinaonyesha unakijua kilichomkuta huyo Shekh. Hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Ha, ha, haaa! mbavu zangu...hadithi njoo, uwongo njoo, utamu kolea!
 
Mengi na mtoto wake walinusulika kubambikiwa madawa ya kulevya hapohapo uwanja wa ndege kisa eti ni wakristo!
 
Mzee Said,
Awali ya yote nieleze neno linalotumika katika medani ya vita. Neno hilo ni 'shoot any moving object'.
Kauli hii inatumika majeshi yanapokuwa katika wakati mgumu, ya kwamba mbinu zote zimeisha na hakuna mkakati. Nitafafanua wakati nahitimisha maelezo yangu.

Kwa mtu asiyeielewa Tanzania na utangamano wa wananchi wake wenye imani, makabila na itikadi mbali mbali za kisiasa,pindi anaposikia mihadhara yako ima anatishika sana au anajawa na hasira kama ulivyowajaza WaNigeria.

Kwa mantiki hiyo utaangaliwa kwa jicho toafauti na lile la Kapuku Nguruvi3.
Umaarufu unagharama zake na katika dunia ya sasa gharama yake ni hiyo ya wewe kuangaliwa kwa jicho mujarabu si kwasababu ya jina lako au imani yako, bali kwa facts na spinning zako katika habari.

Kwa kuanzia hili la vyombo vya dola, mtu anayesoma vizuri 'between the lines' atagundua mambo kadha.
1. Umeeleza kisa cha Sheikh Amir kufukuzwa akiwa na khanga kana kwamba huyo alikuwa malaika.
Umesahau kuwa ukombozi unaosema ulifanywa na Waislam ulikuwa si bahati mbaya bali mikakati.
Sijui utawezaje kumsafisha Sheikh Amir kwa hilo ili serikali ya Nyerere ionekane imemuonea. Hata hivyo, hivi Mohamed, Sheikh huyo angefanya alichokusudia leo ungeandika kama kaonewa au shujaa?

2. Katika kueleza kisa cha Sheikh Amir,umemtaja Nyerere na Siyo serikali ya Nyerere 'iliyomdhalilisha'.
Ilijuzu uwe 'consistently' katika kuelezea visa vilivyofuata.
Sijui kwanini mabucha ya Nguruwe yalipovunjwa husemi serikali ya Mwinyi unasema 'mapambano ya waislam na vyombo vya dola'? Sijui kwanini unapoeleza masheikh waliogaragazwa Bagamoyo usiseme Kikwete unasema vyombo vya dola? Je hii siyo double standard na kwamba inaharibu mtirirko mzima wa maoni, mada au tuhuma zako!

3. Viongozi wa dini hasa wageni wanatakiwa watoe taarifa ili kuwalinda na kulinda hadhi zao. Mara nyingi kiongozi wa Ismailia au Shia anapokuja nchini hupewa waongozi tena wakiwa na vimuli muli. Je, huyo Mufti wa Yameni alijulikana yupo nchini na alitolewa taarifa za uwepo wake? Hivi askari watawezaje kuwatambua wageni maarufu kwa mavazi tu bila taarifa?

4. Mohamed, unaweza kuuthibitishia umma kuwa ni viongozi wa kiislam tu ndio 'wanaodhalilishwa' na hakuna wa imani, au wapagani wanaofanyiwa hivyo? Je, wazee wa iliyokuwa EAC nao walipobebwa na Landrover walichaguliwa kwa misingi ya dini au majina yao? Je, yule Padri aliyeondolewa miaka 70 kwa amri ya 24hrs naye alikuwa Mwislamu?

5. Tunapoongelea bunge kukubali sheria ya kigaidi umesema ni shinikizo la Wakristo na wala si shinikizo la Bunge.
Sasa, kwanini masheikh wakidhalilishwa isiwe ni shinikizo la Said Mwema liwe la vyombo vya dola?
Je, mzee Said, mumewahi kumona IGP kuhusiana na sakata hili? Je IGP angekuwa John William Joseph hadithi hii ingebeba kichwa cha hapo juu au ingegeuka kuwa hadithi ya kanisa? Je, ilikuwaje Rais Kikwete anayejua hadhi ya Mufti aachilie vitendo vya namna hiyo, achilia mbali Urais wake?

Mohamed, wengi tunasafiri duniani na tunakutana na vituko vya ubaguzi. Siku moja nilikuwa Dubai nikaona Raia wenye rangi nyeusi wakiwekwa pembeni na passport zao kuingizwa kwa uchunguzi zaidi. Raia wengine hasa wa kihindi wenye passport za nchi hiyo hiyo waliachiwa kuingia ndani ya ndege bila kikwazo. Sasa hapa tusemeje, waliobaguliwa kwa rangi na Waarabu wale wale unaodhani ni wema sana kuliko Wamarekani ilikuwa ni halali yao au iliuma kama inavyokuuma leo hii

Lakini pia lazima ujiulize, iweje London, New York, Sidney, Bon n.k. kuna miskiti na lisiwepo kanisa Saudia au Bahrain kama yalivyo kwa wenzetu. Hapa kuna nini kama si ubaguzi.

Lazima ujiulize,kwanini mtu aombe ukimbizi Australia na siyo Malysia, Uingereza na siyo Saudia, New York na siyo Qatar?
Je, hapo hakuna ubaguzi? Huko wanakofikia Ulaya na Marekani kwanini wasibaguliwe katika 'social security' ambazo wao ni wafaidika wakubwa kwa takwimu za Uingereza, Australia, Canada na Marekani.
Kwanini majina yao yasiwahukumu kama linavyokuhukumu lako.

Na mwisho, kuhusu kubaguliwa kwa tuhuma za Ugaidi ni makosa kuwalaumu wanaojilinda. Imefika mahali mtu kama Abdumutwalab alivaa chupi ya bomu kwenda kuua watu wasio na hatia ili tu amtie chuki mmarekani.

Majuzi wapo waliokuwa wanataka kulipua majengo tu hata kama majengo hayo wamo watoto. Mohamed Ghailan kutoka ZNZ amelipua ubalozi wetu na kuua watu wasioweza hata kutamka Marekani. Wote hawa wanafanya uharamia na uhuni na ujahilia huo kwa jina la Uislam. Ni nani anayeweza kutenganisha Muislam Gaidi na Muislam Muumini.

Yale ya Nigeria ndiyo ya UAMSHO. Kupinga muungano kwa kuua watu.
Ninachotaka kusema hapa ni kuwa hao wanaojinasibu kuupigania usilam hawafanyi hivyo kwa misingi ya dini.
Hapo ndipo jeshi la wajahidini linapokuwa na kauli yangu ya awali 'shoot any moving object', kwamba hawana mkakati na hawajui wanapigania nini.

Kama unaushahidi kuwa ukiuaa wanadamu 300 wasio na hatia kwasababu tu unataka kuua Mmarekani mmoja utakwenda peponi, basi weka ushahidi huo kwa aya, hadithi na suna na kama huna basi jitenge na utetezi wa kisichodhahiri na kilicho na shaka! Hivyo ndivyo vinakutia matatani. Msome Mkuu Chama hapo juu.

Watu wanaokusikiliza usidhani ni wajinga! wanafanya tafiti na huenda wanakubaliana nawe au la.
Kitu kiomja nachopenda kukuasa ni kuwa una maneno ya uchochezi sana tena ukipindisha hadithi ili zilete kile ulichokusudia. Una ajenda ya kisiasa nyuma ya mgongo wa dini. Kwa vile unazunguka duniani nitaishangaa serikali yoyote itakayokuangalia kama inavyomwangalia Kibwengo na kapuku Nguruvi3. You deserve thorough scrutiny the least to say.

When there are no rules of engagement, anything is fair!
 
UDHALILISHWAJI WA WAISLAM NA VYOMBO VYA DOLA VYA TANZANIA

Utangulizi

Sheikh wa kwanza kudhalilishwa na serikali ya Tanzania alikuwa Mufti wa Tanzania kwa wakati ule Sheikh Hassan bin Amir ambae kwa amri iliyotolewa na Julius Nyerere alikamatwa nyumbani kwake usiku wa manane akiwa kavaa khanga tu na akachukuliwa hivyo hivyo hadi uwanja wa ndege na kurejeshwa "kwao" Zanzibar. Kisa cha yeye kufukuzwa Bara ni kirefu na kwa sasa hapa si mahali pake kueleza. Nimekiweka kisa cha Sheikh Hassan bin Amir mwanzo kwa kuwa kina nafasi ya pekee katika historia ya Waislam na mapambano yao na serikali toka uhuru upatikane mwaka 1961. Lakini mwaka wa 1964 masheikh wengi waliwekwa kizuizini kwa amri ya Nyerere hiki nacho ni kisa kingine kinachohitaji wakati maalum kuhadithiwa. Baada ya haya ndipo kwa mara ya kwanza moto wa makumbi ukajitokeza juu na Waislam wakapambana na serikali katika mitaa ya Dar es Salaam mwaka 1993 na mabomu ya machozi na risasi zikapigwa. Haya ndiyo yalikuwa maandamano ya kwanza kufanywa na Waislam baada ya uhuru. Hili lilikuwa sakata la kuvunjwa mabucha ya nguruwe. Damu ya Waislam ilimwagika. Masheikh kumi na moja wa Wilaya ya Kinondoni walikamatwa pasi na adabu usiku wa manane majumbani mwao, wakapigwa pingu na kutupwa katika malendrova ya polisi kama majambazi. Lakini haya yote si kitu tokeo lililotokea siku ya Jumatano tarehe 4 Julai lilifurtu ada. Sheikh Nurdin Kishki akiwa na ugeni wa masheikh wenzake kutoka Yemen ndani yao akiwapo Mufti wa Yemen walivamiwa na askari waliokuwa wamevalia mavazi ya kiraia wakiwa njiani wakitokea Tanga na wakagaragazwa chini huku wakionyeshwa mitutu ya bunduki. Hii ilikuwa habari kubwa lakini vyombo vyote vya habari kama ilivyo ada kwa mambo yanayowahusu Waislam vyombo vyote muhimu vilipuuza stori hii.

M

aCHA UDAKU WEWE! nYerere aliwalea vizuri sana waislamu kupita uwezo wako wa kufikiri. aliwanyang'anya wamisonari shule na kuhakikisha waislamu watasoma bila kubaguliwa kidini. Pugu, minaki, tosanaganga, chidya na kigonsera ziliwasomesha waislamu wengi sana bila kubaguliwa kwa sababu ya mapendo ya nyerer kwa wailsamu. leo hii mu Irani nakupatia schoraship ya kuchochea dini TZ unamuona ni bora kuliko JKN?
 
NI maaskofu wangapi waliorudishwa makwao au kuwekwa kizuizini wakati wa Nyerere?
kwa nini wapelekwe?wewe umesikia wapi maaskofu wa Nigeria wamefanya revenge kwa mauaji ya kinyama ya kinyama ya boko haram kwa wakristo?
 
Kweli nimeamini jinsi elim ya mwarabu ilivyoamuathiri mwafrika, yani personal issue inazichanganya na dini? Huyu mleta thread nashindwa kuelewa hata elimu yake ni jinsi gani imemkomboa? Tuseme basi Na Godbless lema alivyotesa ARUSHA ni kwa sababu ya dini yake? Ulimboka je? Alafu dunian kote na hata historia inajidhirisha kuwa materrorist wengi ni waarabu maana hata kwenye dini yenu mnafundishwa kujilipua eti mtaenda ahera, sasa Rasi na viongozi wengi wa juu ni dini yenu sasa mnataka nini? Tatizo nyie mnataka nchi yote tuwe waislamu na tuongozwe na sharia kama jinsi historia inavyojionehsa west Afirica kwenye jihad war!

Mungu wangu wa Israel awahurumie nyie na hizo inferiority complexity zenu.
 
aCHA UDAKU WEWE! nYerere aliwalea vizuri sana waislamu kupita uwezo wako wa kufikiri. aliwanyang'anya wamisonari shule na kuhakikisha waislamu watasoma bila kubaguliwa kidini. Pugu, minaki, tosanaganga, chidya na kigonsera ziliwasomesha waislamu wengi sana bila kubaguliwa kwa sababu ya mapendo ya nyerer kwa wailsamu. leo hii mu Irani nakupatia schoraship ya kuchochea dini TZ unamuona ni bora kuliko JKN?


Nitakuwa sijibu posts ambazo hazikuandikwa vyema.
 
Sasa hapo ikaja kejeli. "Ala wewe mtu wa Kariakoo lakini umefika hadi Chuo Kikuu!" .... Ndipo ikatengenezwa hadithi ya kuku jike na ng'ombe dume (cock and bull story)
Sikujua kwamba kumbe cock ni kuku jike. Nashukuru kwa kuchangia elimu yako ya "nimefika Chuo Kikuu japo natokea Kariakoo."

Lakini yule mchezaji wa Simba ni Muislam na yeye ndiye aliekuwa mkubwa pale akiongoza ile shughuli yote tena kwa kujidai na kujifaharisha sana.
Sasa kama afisa mkubwa aliyekumata airport ni Muislam, unasema mwenyewe kiongozi wa wanausalama waliokukamata pale ulimtambua alichezea Sunderland na Simba na ni Muislam, itakuwaje useme ulikamatwa kwa ajili ya uislamu wako na ni kazi ya Kanisa? Huyu afisa Muislam alitumwa na Kanisa? Muamedi unaona jinsi usivyokuwa na intellectual honesty? Halafu unatuambia kama ulivyowaambia maafande eti nimesoma chuo kikuu japo natokea Kariakoo, bila kuulizwa. Umesoma nini huko chuo kikuu ukitokea Kariakoo?

Ujerumani niliambiwa mzigo wangu umepotea lakini hata kabla sijatoka uwanjani nikatafutwa na kukabidhiwa mzigo wangu na kwa hili sikuwa peke yangu ... New York kadi yangu ya benki ilikataa kutoa fedha kwa siku nzima hadi siku ya pili.
Sasa kama mzigo wako ulikuwa misplaced kwa dakika chache na "kwa hili sikuwa peke yangu" kwa nini ujifanye kwamba wewe ndio ulikuwa targeted wakati ushasema mwenyewe "kwa hili sikuwa peke yangu"? Such mindless, contradictory arguments.

Kadi ya benki imekataa kutoka fedha, kisa Muislam! Incredibly ridiculous! Unawapa waislamu jina baya. Wewe ndio unafanya Waislamu watukanwe na kudharauliwa kwamba hawaishi ku whine and pine kila uchwao. Kikadi chako sijui cha Tembo sijui cha nini kimekwama New York, kisa Muislam! How preposterous is that?


Kilichobaki sasa ni kueleza sababu ya mimi kukamatwa. Mwaka wa 2006 Chuo Kikuu cha Ibadan... na kuhitimisha kwa kuleta uhuru na kuanzia 1961 hadi sasa wanapambana na nguvu ya kanisa katika kupiga vita Uislam....baadae ni hili hitimisho langu ndilo lililosababisha Wamarekani kuleta taarifa Dar es Salaam kutaka taarifa zangu za "ugaidi" ikawa sasa sababu imeptikana ya mimi kushughulikiwa na vyombo vya dola.
Kumbe sababu ya kukamatwa ni "Wamarekani kuleta taarifa Dar es Salaam kutaka taarifa zangu za ugaidi..."

Wamarekani! Sasa hapo Kanisa linaingiaje hapo Muamedi? Unajiona hoja zako zilivyojaa matundu? Kaka, usitangulize kutangaza kwamba "nimefika chuo kikuu," fanya vitu na andika vitu ambavyo mtu akiviona atasema hata bila kuambiwa kwamba huyu Muhamed kweli ameelimika, uwe umefika au hujafika chuo kikuu. Ukijenga hoja za kimadudu madudu halafu unasema umefika chuo kikuu unakuwa kituko! Kwa hiyo Wamarekani wametumwa na Kanisa la Tanzania watume taarifa serikalini ili Muamedi akamatwe Airport! hahahahahaha... that is the height of absurdity.

Muamedi ukiongea utadhani mtu mwenye uadilifu na mtu wa maaana kumbe mnafiki mkubwa, Mwenye Enzi Mungu Subhanahu Wa taala amesema wanafiki "unapowaona, miili yao inakupendeza, na wakisema, unasikiliza usemi wao. Lakini wao ni kama magogo yaliyo egemezwa. Wao hudhania kila ukelele unao pigwa ni kwa ajili yao."

That verse is typical of you Muamedi, unajishtukia na ku play victim kumbe huna jema, kazi kutukana imani za wengine na kutupandia mbegu ya chuki za kidini tu. Hampati msamaha nyinyi ujue, Maandiko yanasema "sawaon aalayhim astaghfarta lahum amlam tastaghfir lahum lan yaghfira Alalhu lahum inna..." Hupati msamaha wewe almnafiqoona mkubwa!
 
Karibu tena ... Kaka yetu .. mwalimu wetu.. Mohammed said.. darasa lako huru sikuzote linaeleweka pamoja na mashambulizi uyapatayo
 
GREAT THINKERS

badala ya kujibu hoja na kuzivunja hoja za MSAID mmeishia kumshambulia binafsi

watu wa ajabu sana nyie mnaojiita ma great thinkers
 
Wangapi wanatiwa hatiani nchi hii kwa tuhuma za kuunda? Wote wanaofanyiwa hivyo ni waislamu? Nguza kafungwa yeye na wanawe kwa tuhuma ambazo hata kwa mtoto mdogo zitatiliwa shaka (ni nani hata akiwa kichaa atashirikiana na wanawe kufanya ngono wakati mmoja? Na kwa nini shahidi mkuu wa serikali ambae "ushahidi" wake ni sawa na kukiri kosa asiadhibiwe?). Mbona waislamu wanazikimbia nchi zao (kama Pakistan na Yemen - achilia mbali Iran na Syria) na kuhamia Marekani na Ulaya? Hata zuzu anajua kuwa si tatizo mtu kujenga msikiti USA na Ulaya lakini ni kujitafutia kifo mtu kukutwa na biblia Indonesia, Pakistan, Saudi Arabia etc? Acheni unafiki nyie watu! Mbona hamuhaimii nchi za kiislamu kama mnavyohamia nchi zisizokuwa za kiislamu?

Umenikuna sana. Hoja zote ni za msingi. Unajua kuna waislam wazuri tu na wanaishi kwa kufuata imani yao na hutaona hata siku moja wakilalamika lalamika kama watoto wadogo. Wanachofanya ni kuendelea na shughuli zao za kuendeleza maisha yao huku wakitumia fursa za kiuchumi. Waislam wa aina hii, hata familia zao utaona zimejaa wasomi na zinathamini elimu.

Waislam wa aina ya mtoa uzi, kazi yao ni kukaa vijiweni na kuwajadili wakristo. Wanapoteza muda wao kwenye vijiwe vya kahawa huku wakijadili mambo yasiyo na maana zaidi ya kujenga chuki zisizo na msingi. Mleta uzi anachohitaji ni huruma ya waislam wenzie kwa jambo ambalo ilikuwa ni halali yake kufanyiwa. Upuuzi gani huuu, ptuuuu!!
 
Kwa wasiojua watakejeri na kukashifu kua waislamu ni watu wa kulalamila....Lakini ndugu zetu upande wa pili wanapaswa wajue ajenda za Mataifa makubwa hasa MAREKANI historia ni ndefu lakini kiufupi US kwao maadui wa kubwa kwao walikua ni wawili according to their interest 1. USSR 2. UISLAMU...Wamefanya juu chini na kuweza kuusambaratisha iliyokua nchi tishio kwao USSR na ilimeguka na sasa baadhi ya nchi iliyokua USSR ndo zimejiunga na UE then NATO na wana mpinga RUSSIA iliyokua ni USSR na hivyo ni ahueni kwa US kwani they keep on divide and rule...Then another enemy kwa US is ISLAM na hiyoipo declared kwao kwani they say Islam faith doesnot change hence it is dangerous to our interest so what they do is to steer misunderstanding between them na kufanya nchi zao zisitawalike na ikibidi kuzivamia kivita na kuuchafua uislam ili ionekane ni DINI ya fujo na machafuko...Angalia uvamizi wa IRAK je ni waislamu wangapi wamekufa kwa upuuzi tu wa kuzushiwa ili ipatikane sababu ya kutimiza matakwa yao,,SOMALIA ni mwaka wa 17 sasa haina serikali ni chanzo cha serikali ya awali kuondoshwa wote tunajua lengo lao litimie,,LIBYA sasa imevamiwa lengo ni kuitawala na kuuondoa utamaduni wa kiislam...AFGHANISTAN ilivamiwa kwa uzushi tu kua eti OSAMA ndie aliedungua world trade centre or twin tower japo ata wamarekani wenyewe wamekuja kuujua ukweli kua that was the plan of invading AFGHANISTAN iliyokua na utawala wa kiislamu..fatilia chanzo za WTO kuangushwa na wakinanani walihusika utasikitika sana...YEMEN hakuna amani tena kila siku utasikia US DRONE HAS KILLED watu kadhaa, Mara utasikia PAKISTANI ndege zisizo na rubani zimeua watu kadhaa PAKISTAN anyway yakuelezewa ni mengi WAISLAMU NI ADUI WA MAREKANI na LENGO NI KUTOUNGANA NA KUA KITU KIMOJA....Turidi TANZANIA watu wengi hasa upande wa pili hua wanakejeri sana bila kufanya tafiti..Ebu tujiulize hivi ni kwanini NYERERE na serikali ya CCM walikataa kupeleka maendeleo na hasa ya ELIMU mikoa yenye idadi kubwa ya waislam mf TANGA,KIGOMA,RUKWA,LINDI,MTWARA nk nini ilikua ajenda? jibu ni raisi sana wajinga ndo wanatawalika so wanyime ELIMU lakini MUNGU mkubwa hiyo mikoa ambayo ilisuswa ndo imekuja gundulika kua na rasilimali nyeti sana mf MAFUTA,GAS nk.....nakumbuka kuna mwakan fulani IRAN ilijitolea kujenga vyuo vikuu kwa ajiri ya waislam na mahospital km vile BUGANDO,KCMC kwa wenzetu na alikuja waziri wao wa mambo ya nje na kuahidi wakati huo MKAPA alikua rais within 3 days alitumwa waziri wa mambo ya nje wa UK kipndi kile alikua mwanamke somebody clearshort if am not mistaken na kutua nchini na kusisitiza kua serikali ifute mkataba wa kigaidi sasa unaweza ukaona haya ni madogo lakini lengo nadhani umeshalijua...kuna mashirika mf DHINUREYN ISLAMIC FAUNDATION kuna wakati lilipigwa marufuku kutoa misaada ya kujenga mashule,hospital kwa waaislam eti lina link na ugaidi ili tu waislamu wasiwe na vyao sidhan km tutafika...mbona misaada ya wenzetu haichunguzwi wapi inatoka? Hivi kukamatwa kwa viongozi wa kiislamu tena bila stara inaleta picha gani what if PENGO afanyiwe kitu km hicho tena akiwa na wageni wake toka nje ya nchi? Jamani mkiona wenzenu wanalalamika mjue kuna sababu ya kuwafanya walalamike Hatupendi TZ iwe km Nigeria ila hizi kero za mfumo kristu ziachwe mara moja...mfano mdogo kipindi cha nyuma tulikua tukiwashuhudia maaskofu wakitoa maagizo yao kwa serikali hasa kipindi hiki cha JK mpaka masheik wakavunja ukimya wakasema no no mbona wakati wa MKAPA hatukuwaona mkitoa maagizo kwake kwanini sasa? so kuna consipiracy nyingi sana na ata ktk serikali na mpaka mdau leo kaposti eti viongozi wa kiislamu yani MWINYI na JK eti uongozi wao maisha ni magumu sana kulinganisha na wengine hizo zote ni ISLAMICPHOBIA watu walizojengewa na nchi za magaribi...ISLAM IS THE BEST RELIGION NO MATTER WHAT!

Mnajitungia uongo na mnaufanya ukweli. Kwa nini shule za taasisi za kidini zilitaifishwa? Taasisi zipi ziliathirika zaidi kwa shule zake kutaifishwa? Kulikuwa na mgao shule za sekondari (mwanafunzi aliepata C Mtwara alichaguliwa kwenda sekondari huku aliepata B Moshi akikosa kutokana na nafasi walizotengewa) lengo lilikuwa nini kama sio kuwapa upendeleo watu wa mikoa uliyoitaja?
Mnang'ang'ana "oh Marekani adui wa uislamu", mbona waislamu hawaachi kuhamia huko? Ukweli ni kuwa muislamu alieko USA anaishi maisha ya amani zaidi kuliko alie Iran! Mtasema machafuko yanayotokea Mali leo hii chanzo chake ni Marekani? Hamna mnachokipenda zaidi ya vurugu nyie watu! Dini gani isiyohubiri uponyaji bali kuua kuua na kuua? Sidhani uislamu ndivyo unavyofundisha, labda uislamu wako na mleta maada!
Give us a break!
 
Yeah naUlimboka alitekwa na kuteswa kwa sababu ni mkristu!!!

Afande msangi ni dini gani vile, aliyemtuma ni dinio gani vile? mbona wakristo hawajalalamika kuwa serikali au waislamu walitaka kumuua Ulimboka? hakuna taasisi yoyote ya kikristo, wala padre wala mchungaji, je ni wajinga au wanyonge? Muuaji ni muuaji tu bila kujali dini yake. Kati ya waliotaka kumuua unaweza kuona wana dini,jinsia, na makabaila, mikoa, wilaya et etc....kwanini tusianze kuangialia mengine tunaangalia dini.


Mwanakijiji i get your point, these people are ****** and uneducated fools. I think we should start to respond to them rigorously and show how stupid they are. Kiongozi ni kiongozi kutokana na uwezo wake na si kutokana na dini yake, muuaji huwa hachagui mwislamu au mkristo. I am sure serikali imeua wakristo na waislamu, that makes us the same. Huo ujinga wanaouleta hao wapuuzi unatakiwa kupigwa vita.
 
Back
Top Bottom