Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,130
- 2,332
Mbona unacheka
Mbona unacheka
Mbona unacheka
EhhKumbe kulikuwa hakuna haja kukimbilia canada kuja kutibu watu wakati bongo mshahara
8M
Kwasasa mwenye Radiology ni hot cake kuliko MD,,,wamiliki wa vituo vya afya ndo wanaelewa hili.Kivipi MD anazidiwa, pesa na diploma ya radiology ?
Hii ni JF fafanua mkuuKwasasa mwenye Radiology ni hot cake kuliko MD,,,wamiliki wa vituo vya afya ndo wanaelewa hili.
Kwasasa nchini kwetu hakuna uhaba sana wa matabibu na madaktari kwani kila mwaka wanamaliza maelfu na hii imechangiwa kuwepo kwa utitiri wa vyuo vya kati.Hii ni JF fafanua mkuu
Hii ndio JF sasa, ufafanuzi mzuri kama huuKwasasa nchini kwetu hakuna uhaba sana wa matabibu na madaktari kwani kila mwaka wanamaliza maelfu na hii imechangiwa kuwepo kwa utitiri wa vyuo vya kati.
Pia kwasasa raia wengi magonjwa wana uelewa sana wa magonjwa madogo hivyo hujitibu wenyewe kupitia maduka ya madawa na maabara za mitaani na wengi huja hospital pale tu anapoona hajapata nafuu. Lakini wateknolojia wa mionzi ni wachache sana kwa kuanza tu Tanzania nzima vyuo vipo 3 tu navyo benjamini Mkapa,Bugando na Muhimbili hivyo wanaohitimu ni wachache kuliko mahitaji.
Kutoka na umuhimu wao na uhaba wao umewafanya kua ghali kimalipo hata kama mtu ana diploma. Na vituo vingi vimewaajiri kwa appointment maalum maana kuwaajiri full time wengi wameshindwa na wao wanaringa vibaya kwasababu wanajua soko lipo kwao.
Daktari hawezi kuajiriwa TRA,EWURA,TPDC,eGA, TASACIkitokea ajira kati ya sheria na daktari wakaajiriwa pamoja n yupi ambaye atakuwa na mafanikio katika nyanja ya uchumi na maendeleo kiujumla maana naona hizi fani 2 watu tunashindwa kuzielewa ipi n bora ya nyenzie
Karibuni.
Ngazi za graduates
Chuo gani cha Private kina ada ya 8-9M kwa mwaka hapa TZ? Tuanzie hapo kwanza.Lakini ebu tushauriane kidogo wadau mm kuna kitu kinanichanganya kabisa .
Kwa mwajiriwa wa serikalini tamisemi akisoma BACHELOR OF law haiwezi kumlipa ?
Anahama idara kutoka afya kwenda sheria .
Sababu za kufanya hivyo n kwa sababu kujiendeleza katika fani ya udaktari n gharama kubwa sana kwenye vyuo vyetu private 8-9m kwa mwaka ambapo kwa miaka 5 ni sawa na 45m.
Ukienda ikiendeleza kwenye sheria ada n 1.2-1.6m kwa mwaka n sawa na 6m kwa miaka 4 had una hitimu.
Lakin pia kwenye udaktari utendaji kazi katika fani ya udaktari n kama vile kifungo huru kwa sababu serikali haijajali maslahi ya madaktari ukilinganisha na kazi tunazozifanya na kifupi n kwamba n sawa na wito tu ila kiuchumi haisaidii kabisa daktari anazidiwa hata na mtu wa diploma ya mionzi radiology.
Mm binafsi nimeamua kuhama idara ya afya niende nikaisome law ili nikirudi masomoni nifanyiwe recategorization ili nifanye kazi za law badala ya afya.
Ila kitu kingine n kwamba Tusiime vitu kwa sababu ya kutaka heshima ila tusome vitu kwa malengo na kwa kuipppenda fani.
Na asiwadanganye mtu kuwa udaktari unalipa hiyo n kazi ya wito tu wadau niko kwenye field ya medicine miaka 8 sasa nafanya kazi serikalini ivo naijua.
Je na Private, MD analipwa kiasi gani? (Assume Radiologist na MD wote wapo the same private)Private radiology diploma analamba had 1.2m compare with mda 8.7m had 9.5 m serikalini .
inategemeana japo kwa sasa soko la radiology n bora kuliko MD .Je na Private, MD analipwa kiasi gani? (Assume Radiologist na MD wote wapo the same private)