Uchunguzi wangu binafsi kuhusu madai ya Tuntemeke & Co

Nilichokiona hapa ni kuchafua watu bado sijapata connection ya watu hao na tunte/tii/paa. Madhara yake ni makubwa sana kwa cdm ni bora uzi ukafutwa
tatizo la cdm fans ni kuamini kila kitu bila kufikirisha ubongo kwa mapana
 
Mkuu mbona tulishafahamu haya! Daima haki haishindwi! Kama mtu unania njema kwanini unapotakiwa kuwajibika unakuwa mbogo! Ugomvi huu umeshavamiwa na maadui wa ndani na nje ya chama! Chadema inabidi itofautishe mambo ya kitaalamu na siasa! Mwanasiasa alafu ndio mhasibu? Ni tatizo! Waajiri wahasibu ambao wakifukuzwa haitakuwa tabu kama unapofukuza mhasibu alafu anamaslahi ya kisiasa! Erasto kufanya haya sawa lakini Mwigamba sikumtegemea kabisa! Bora chama kisafishe mamluki mapema! Kuhusu Tuntemeke huyu ni kijana wa mzee Tuntemeke na ni victim wa uchaguzi wa bavicha ila hapa ameongezewa nguvu tu! Intelijinsia itafanya kazi kuwaumbua wote!
Anayezusha yote haya ni Tuntemeke akishirikiana na Komu wala sio Mwigamba..hizi ndio habari za mujini nimemsikia siku nyingi sana huyu Komu na nimewaasa sana hapa JF ila ndio hamkutaka kuamini..
 
CDM kama mmeshindwa kumtunza Rais wetu wa moyoni na kutaka aende akakae kwenye hoteli za bukubuku ni bora mtuambie watanzania tuanze kumchangia.

Wote tunajua yaliyompata Dr Mwakyembe, pia tunakumbuka vizuri jinsi Dr Slaa alivyokuwa anavamiwa vyumbani na kuwekewa vinasa sauti na jamaa wa TISS, then leo mnataka kumlaza hotel za kichovu kwa ajili ya kuwafurahisha wahuni kama Tuntemeke. Demokrasia ina gharama zake ambazo chama lazima kibebe. Wote tunajua mchango mkubwa wa Dr Slaa kukifikisha chama hapa kilipo na wakati mgumu aliopitia, pamoja na wanasiasa wengine kama Zitto Kabwe, which means watu hawa waliojitoa sana wakati CDM haina umaarufu iliyo nao sasa wana nafasi muhimu sana katika historia ya chama na sio watu wa kuwabeza kama mnavyofanya.

CCM watawacheka sana huko mbele, kama mnakosa ngozi ngumu. Pia ni wakati muafaka sasa kuanza kuwachunguza vizuri watendaji wa chama kama wana moyo wa kizalendo na wanaweza kuvumilia chama kitakapopitia wakati mgumu
 
Anayezusha yote haya ni Tuntemeke akishirikiana na Komu wala sio Mwigamba..hizi ndio habari za mujini nimemsikia siku nyingi sana huyu Komu na nimewaasa sana hapa JF ila ndio hamkutaka kuamini..

Kila kitu kimeshajulikana mkuu, its more than komu, kuna a few "shabiki's were caught and they expected it to end up just within a small caucus
 
Tunashukuru kwa uchunguzi/utafiti wako, muda si mrefu itajulikana tu chanzo cha haya yote na walio nyuma yake.

Swali langu ni moja tu kumhusu mtuhumiwa mmoja, Samson Mwigamba mwenye mchundo(FTC) katika Electronics & Telecommunication Eng. toka Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) ashindwe kujua tofauti ya package na Database? Kama angekuwa amesoma hivi vyuo vya mtaani vinavyotoa diploma ya miezi mitatu ningekubaliana na wewe moja kwa moja! Ama huyu Samson Mwigamba unayemsema hapa ni mwingine?

mkuu!kwa jinsi nilivyoelewa mimi ni kwamba jamaa alitaka kujiokoa kwa kuwadanganya wasomi eti ni database ndipo wasomi wakambana atoe utofauti kwa vile alikuwa anadanganya ndio maana akashindwa!
 
Binafsi sihitaji kujua akina TUNTEMEKE ni akina nani na wala sioni hoja yako hapa............
Cha msingi ni kuthibitisha kama tuhuma zinazotolewa ni za kweli au la

Ni hulka ya binadamu anapobaniwa huamua tukose wote na hasa akama najua madhambi yako, sasa kama akina TUNTEMEKE walikua humo na wakatolewa wewe huoni wananafasi nzuri ya kujua madudu yanayofanyika humo hata kama nao kwa namna moja au nyingine walikuwa wanashiriki?

Binafsi najua kama Mchumba wa Dr Slaa ni aina ya akina mama Mugabe, anafanya atakalo pale HQ na hakuna wa kumgusa na hili mkuu kama kweli upo hapo HQ unalijua vizuri sana

Ni zaidi ya unafiki kusema Josephine hana mkono katika kuondoka kwa Mwigamba
Josephine angejuaje kama CDM wanahita hiyo software kwaajili ya uhasibu? hivi kuna hitaji akili ya ziada kujua Dr na Mchumba wake walikaa chumbani usiku na kupeana hilo deal?, au kunatangazo lilitoka kuwa anatakiwa mtu wa kujitolea kwaajili ya software ya uhasibu?

Softwares za uhasibu zimejaa kibao na kama hiyo ni mpya na imebuniwa na josephine basi kulikuwa na haja gani ya kumfukuza Mwigamba wakati kilichotakiwa ni kufundishwa namna ya kuitumia? hizo zingine ni porojo tu, josephine anatafutiwe sehemu apachikwe

Mkuu acha unafiki na Mungu wako anakuona huko uliko, unajifanya hujui Josephine analipwa hela za Chama na kutumia magari ya chama wakati si mwajiriwa wa chama wala mke wa Dr,
Hivi hawara ana right gani katika chama? bora angekuwa mke wake, Josephine ni HAWARA tu wa Dr Slaa.
Mnaleta habari za usalama wa mtoto ina husu nini na chama? Kisheria Dr slaa yupo single full stop na chama kinawajibika kwake na si kwa hawara, unless angekuwa mkewe labda angepata stahiki fulani fulani

Mkuu kama una access na Dr Slaa mwambie taratibu huyo sijui mchumba wake atamuharibia na kasi anayokwenda nayo kwa kuji involve na mambo ya chama ita mcost Dr slaa mwenyewe, inadaiwa maamuzi mengi Dr anayafanya kwa shinikizo la huyu mama ili apata favour mbali mbali kutoka kwenye chama
Hatumjui mke wa mbowe wala Tundu Lisu wala said Arf ,its all about Josephine,
Hatutaki kuja kupata first lady wa jamii ya akina Anna Mkapa au mama Museven, NOPE
 
Mimi ninachoweza kusema ni kwamba matatizo yapo kila sehemu hatuwezi kuyakwepa yapo kwenye vyama, serikali, mashirika au kwa mtu binafsi, na kukosoana kupo na hata kufukuzana kupo. Hao kina Tumbo na Mwigamba kamba kweli wako nyuma ya hizi tuhuma, naweza kusema njia waliyotumia kuonyesha kutoridhishwa kwao na maamuzi ya vikao halali vya chama si ya busara. Nasema si ya busara kwa sababu,

Wao bado ni viongozi ndani ya chama Tumbo ni (mkru. Habari) na wanajua kabisa sasa chama kinatafuta kuungwa mkono toka kwa waajiri wake wanaokifanya kiwepo, kitendo cha wao kuanza mapambano wakati huu ndipo ulipo wasiwasi wangu lengo hasa ni nini, vile vile njia wanayotumia kuwasilisha kutoridhika kwao si nzuri, kutumia members wa JF waliojificha kwa ID na wengine kuwatusi viongozi wakuu wa chama si kitendo cha kiungwana kwa utetezi wowote ule.

Wanajua kwa muda huu chama kiko vitani na wanajeshi wako uwanja wa vita kwenye vita kuna kufa na kupona. Naomba niwape mfano mmoja kama wananisoma. Mwaka 1978 tulikuwa na vita na Uganda, serikali iliwaomba wananchi wake wajitolee kwa hali na mali, wenye ngo'mbe tulitoa wenye magari walitoa. Kulikuwa na tajiri mmoja wa mabasi yalikuwa yanaitwa 'Amini Mungu Safarini' watu wa kanda ya ziwa watakuwa wanayafahamu, alichofanya ni kuyashusha yote ingine ili yasisaidie. Serikali iligundua sitaki kujua biashara yake ilikuwaje baada ya vita. Lakini ninachotaka kuwaambia hawa ndugu zetu kama kweli wana mapenzi na Chadema kitu wanachofanya wakati huu ni sawa na kushusha ingine wakati chama kiko vitani.
 
Kuhusu walinzi wa Josephine kumpeleka kanisani.
Ukweli ni kuwa Josephine hana mlinzi. Yupo yeye kama yeye. Hata alipovamiwa na wale majambazi/vibaka josephine alikuwa peke yake. Hata hapa JF tulilalamika sana kwa nini yule mama hana walinzi.
Kimsingi walinzi waliopo ni wale wanaomlinda Dr. Slaa nyumbani kwake. Sasa hawa (Dr. na Josephine) wanaishi pamoja hivyo sio rahisi alindwe Slaa tu Josephine asilindwe.
Na walinzi hawa walipatikana katika mchakato halali kabisa. Walikuwa interviewed na kufanyiwa character assesment.
Coincidence ni kuwa katika walinzi walioajiriwa wapo ambao awali walikuwa Walinzi wa Askofu Gwajima ambaye pia ni askofu wa Josephine. Josephine hana mlinzi binafsi.
Waliotoa mada ile waje wathibitishe walinzi binafsi wa Josephine
 
Binafsi sihitaji kujua akina TUNTEMEKE ni akina nani na wala sioni hoja yako hapa............
Cha msingi ni kuthibitisha kama tuhuma zinazotolewa ni za kweli au la

Ni hulka ya binadamu anapobaniwa huamua tukose wote na hasa akama najua madhambi yako, sasa kama akina TUNTEMEKE walikua humo na wakatolewa wewe huoni wananafasi nzuri ya kujua madudu yanayofanyika humo hata kama nao kwa namna moja au nyingine walikuwa wanashiriki?

Binafsi najua kama Mchumba wa Dr Slaa ni aina ya akina mama Mugabe, anafanya atakalo pale HQ na hakuna wa kumgusa na hili mkuu kama kweli upo hapo HQ unalijua vizuri sana

Ni zaidi ya unafiki kusema Josephine hana mkono katika kuondoka kwa Mwigamba
Josephine angejuaje kama CDM wanahita hiyo software kwaajili ya uhasibu? hivi kuna hitaji akili ya ziada kujua Dr na Mchumba wake walikaa chumbani usiku na kupeana hilo deal?, au kunatangazo lilitoka kuwa anatakiwa mtu wa kujitolea kwaajili ya software ya uhasibu?

Softwares za uhasibu zimejaa kibao na kama hiyo ni mpya na imebuniwa na josephine basi kulikuwa na haja gani ya kumfukuza Mwigamba wakati kilichotakiwa ni kufundishwa namna ya kuitumia? hizo zingine ni porojo tu, josephine anatafutiwe sehemu apachikwe

Mkuu acha unafiki na Mungu wako anakuona huko uliko, unajifanya hujui Josephine analipwa hela za Chama na kutumia magari ya chama wakati si mwajiriwa wa chama wala mke wa Dr,
Hivi hawara ana right gani katika chama? bora angekuwa mke wake, Josephine ni HAWARA tu wa Dr Slaa.
Mnaleta habari za usalama wa mtoto ina husu nini na chama? Kisheria Dr slaa yupo single full stop na chama kinawajibika kwake na si kwa hawara, unless angekuwa mkewe labda angepata stahiki fulani fulani

Mkuu kama una access na Dr Slaa mwambie taratibu huyo sijui mchumba wake atamuharibia na kasi anayokwenda nayo kwa kuji involve na mambo ya chama ita mcost Dr slaa mwenyewe, inadaiwa maamuzi mengi Dr anayafanya kwa shinikizo la huyu mama ili apata favour mbali mbali kutoka kwenye chama
Hatumjui mke wa mbowe wala Tundu Lisu wala said Arf ,its all about Josephine, na kwanza sina hakika sana na unachodai amesomea, nijuavyo mimi Josephine ni "Mganga wa tiba mbadala"(usanii tu) na mjasiliamali anamiliki massege yake ambayo kimsingi Dr alimjulia huko alipokuwa nakwenda kupata huduma ya massage
Hatutaki kuja kupata first lady wa jamii ya akina Anna Mkapa au mama Museven, NOPE

Paul, my understanding;
ni kweli yule dada ana influene fulani, but not to the extent you shared, kuhusu mahusiano yao nk. nadhani most will agree kwamba that was ugly scene and they need to sort out their relationship; most has been said and done, and as a person who hates one persona repeating the same thing over and over, maybe the fact kwama josephine is not a wife of slaa is clear
kuhusu software, naomba uache insults mkuu, one time two years ago, niliuliza that question, nikaambiwa ni process na wako kwenye process na wana wahasibu vijana wazuri sana waliojitolea kufanya hiyo kazi for free - i think we can guess, but not all the time

ONE THING I HVAE TO AGREE WITH YOU AND POSSIBLY MANY, SLAA needs to leave Josephine home, asipoangalia ataishia kuwa Lucy Kibaki au yule mke wa Mugabe, probably lets be honest, ATAKAYEMUANGUSHA SLAA (IMAGE, RESPECT ETC) NI JOSEPHINE, hata kama watu watakataa, washauri wa Slaa need to take this with a pinch of salt
 
Mkuu wangu sasa umeenda mbali sana hata kumpangia mtu maisha yake. Naweza tu kukubaliana na wewe ikiwa Dr.Slaa atasimama kugombea Urais na ukaliweka hili swala la hawara mbele lakini sii uungwana tunapozungumzia maswala yanayowahusu waajriwa wa chama. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kumwondoa uanachama mwana chadema na kumsimamisha kazi mtumishi wa kazi ndani ya chama. Hii haijalishi nani anafaya nini ni mwajriwa wa kazi kutokana na elimu yake...

Na ukweli utabakia tunapozungumzia Accounting package ambazo wewe unadai zipo nyingi basi huyo Mwigamba angejua kinachofanyika ni ku-install software mpya ya Accounting tu, na halafu nakuomba ufahamu ya kwamba kuwa system analyst huwezi kujua accounting au kuitumia software ya accounting hivyo haiwezekani wala haitawezekana Josephine kuajiriwa Accounting kwa sababu ni system analyst - Atachemsha.

Alosemea uhasibu ndiye peke anaweza kuelewa anafanya nini anacho fundishwa ni jinsi ya kutumia package hiyo ktk mahesabu alosomea na sii mtu yeyote anaweza. Kwa hiyo haya madai ya kwamba Josephine anaandaliwa kuchukua nafasi hizo ni upuuzi mtupu kwani wanalipwa kiasi gani hadi huyu mama mwenye ujuzi wake aende kuosha vyombo..

Mimi siku zote husema Mhasibu ni sawa na mwosha vyombo yaani watu wanakula wee meza kubwa kazi yako ni kusafisha meza na kuhakikisha meza inapokea mlaji mwingine. Na kama tulivyoelezwa huyu mama ana shughuli zake iweje avutiwe na ajira ya uhasibu ambayo hakusomea?..nimeifanya kazi hiyo na nazijua kahara zake.
 
Tunashukuru kwa uchunguzi/utafiti wako, muda si mrefu itajulikana tu chanzo cha haya yote na walio nyuma yake.

Swali langu ni moja tu kumhusu mtuhumiwa mmoja, Samson Mwigamba mwenye mchundo(FTC) katika Electronics & Telecommunication Eng. toka Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) ashindwe kujua tofauti ya package na Database? Kama angekuwa amesoma hivi vyuo vya mtaani vinavyotoa diploma ya miezi mitatu ningekubaliana na wewe moja kwa moja! Ama huyu Samson Mwigamba unayemsema hapa ni mwingine?

Mkuu Maranya, baada ya kusoma uzi nimegundua kwamba kwa upande wa Mwigamba kuna elements za kuonewa. Hivi unaleta accounting package ambayo naamini imekuwa developed na siyo kuchukuliwa kutoka dukani (on the shelf) halafu unasema ameshindwa kuitumia; je alikuwa trained, alishirikishwa katika mchakato wa kui develop? Hii package inaonekana kama imekuwa imposed kwa akina Mwigamba bila kufuata utaratibu wa System Development Life Cycle. Siku zote system ambazo hazikufuata utaratibu huwa zina failkwa kuwa hukosa User Acceptance. Pia mkuu umeseme Mwigamba ni fundi mchundo; imekuwa tena aingilie mambo ya IFRS 9 au ni Mhasibu pia kwa maana ya Certified Public Accountant? Kama si mhasibu na mkampa uhasibu basi mlimuonea tangia mwanzo na hapa ni maendelezo tu ya kumuonea.
 
Anayezusha yote haya ni Tuntemeke akishirikiana na Komu wala sio Mwigamba..hizi ndio habari za mujini nimemsikia siku nyingi sana huyu Komu na nimewaasa sana hapa JF ila ndio hamkutaka kuamini..

Mkuu hadi sasa sijasema kama Mwigamba ni Tuntemeke ama la, lakini mpango mzima wa kumchafua Slaa,Josephine na hata Mbowe msingi wake mkubwa ndio huo.
Kwakuwa hii ni ripoti ya utafiti, bado naendelea kudondosha polepole nondo na kama Komu yupo nyuma ya uchafu huu(ingawa kwa sasa sidhani sana) atajulikana tu
 
Mkuu wangfu sasa umeenda mbali sana hata kumpangia mtu maisha yake. Naweza tu kukubaliana na wewe ikiwa Dr.Slaa atasimama kugombea Urais na ukaliweka hili swala la hawara mbele lakini sii uungwana tunapozungumzia maswala yanayowahusu waajriwa wa chama. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kumwondoa uanachama mwana chadema na kuismimamisha kazi mtumishi wa chama. Hii haijalishi nani anafaya nini?

Na ukweli utabakia tunapozungumzia Accounting package ambazo wewe unadai zipo nyingi basi huyo Mwigamba angejua basi kwamba kinachofanyika ni install software mpya ya Accounting na halafu nakuomba ufahamu ya kwamba kuwa system analyst huwezi kujua pia kuitumia software ya accounting hivyo haiwezekani wala haitawezekana Josephine kuajiriwa Accounting kwa sababu ni system analyst - Atachemsha. Alosemea uhasibu ndiye peke anaweza kuelewa anafanya nini hata akifundishwa jinsi ya kutumia package hiyo mna sii mtu yeyote. Kwa hiyo haya madai ya kwamba Josephine anaandaliwa kuchukua nafasi hizo ni upuuzi mtupu kwani wanalipwa kiasi gani hadi huyu mama mwenye ujuzi wake aende kuosha vyombo..

Mimi siku zote husema Mhasibu ni sawa na mwosha vyombo yaani watu wanakula wee meza kubwa kazi yako ni kusafisha meza na kuhakikisha meza inapokea mlaji mwingine. Na kama tulivyoeezwa ana shughuli zake iweje avutiwe na ajira ya uhasibu ambayo hakusomea?..nimeifanya kazi hiyo na nazijua kahara zake.

You missed my point kaka
Sijamaanisha Josephine anataka kupewa uhasibu wa chama hapana
 
Paul, my understanding;
ni kweli yule dada ana influene fulani, but not to the extent you shared, kuhusu mahusiano yao nk. nadhani most will agree kwamba that was ugly scene and they need to sort out their relationship; most has been said and done, and as a person who hates one persona repeating the same thing over and over, maybe the fact kwama josephine is not a wife of slaa is clear
kuhusu software, naomba uache insults mkuu, one time two years ago, niliuliza that question, nikaambiwa ni process na wako kwenye process na wana wahasibu vijana wazuri sana waliojitolea kufanya hiyo kazi for free - i think we can guess, but not all the time

ONE THING I HVAE TO AGREE WITH YOU AND POSSIBLY MANY, SLAA needs to leave Josephine home, asipoangalia ataishia kuwa Lucy Kibaki au yule mke wa Mugabe, probably lets be honest, ATAKAYEMUANGUSHA SLAA (IMAGE, RESPECT ETC) NI JOSEPHINE, hata kama watu watakataa, washauri wa Slaa need to take this with a pinch of salt

Point noted mkuu wangu......
 
Mkuu Maranya, baada ya kusoma uzi nimegundua kwamba kwa upande wa Mwigamba kuna elements za kuonewa. Hivi unaleta accounting package ambayo naamini imekuwa developed na siyo kuchukuliwa kutoka dukani (on the shelf) halafu unasema ameshindwa kuitumia; je alikuwa trained, alishirikishwa katika mchakato wa kui develop? Hii package inaonekana kama imekuwa imposed kwa akina Mwigamba bila kufuata utaratibu wa System Development Life Cycle. Siku zote system ambazo hazikufuata utaratibu huwa zina failkwa kuwa hukosa User Acceptance. Pia mkuu umeseme Mwigamba ni fundi mchundo; imekuwa tena aingilie mambo ya IFRS 9 au ni Mhasibu pia kwa maana ya Certified Public Accountant? Kama si mhasibu na mkampa uhasibu basi mlimuonea tangia mwanzo na hapa ni maendelezo tu ya kumuonea.

Asante sana mkuu. Hoja hapa sio kuonewa ama kutokuonewa kwa Mwigamba. Hoja ni msingi wa kina Tuntemeke kudhalilisha tena kwa hoja za uongo kabisa viongozi wa Chadema
 
Mkuu Mkandara kumbe na wewe haujambo enhe katika kuhamisha concetration za watu, kama MTM vileee, LOL! Umeona kule watu hawachoki, wacha utudondoshee link ili tuje huku, haya bana!
Anyway, ninachokiona hapa si kwamba CHADEMA wana safari ndefu bali nchi ina safari ndefu!! Kule akina TUNTEMEKE wametakiwa kutoa ushahidi, hapa hao hao waliowataka wakina TUNTEMEKE watoe ushahidi nao wametoa mada zisizo na ushahid!! Wana raha sana waliozoea jukwa la maladavi, hakuna mambo ya ushahidi kule!
 
Kuhusu walinzi wa Josephine kumpeleka kanisani.
Ukweli ni kuwa Josephine hana mlinzi. Yupo yeye kama yeye. Hata alipovamiwa na wale majambazi/vibaka josephine alikuwa peke yake. Hata hapa JF tulilalamika sana kwa nini yule mama hana walinzi.
Kimsingi walinzi waliopo ni wale wanaomlinda Dr. Slaa nyumbani kwake. Sasa hawa (Dr. na Josephine) wanaishi pamoja hivyo sio rahisi alindwe Slaa tu Josephine asilindwe.
Na walinzi hawa walipatikana katika mchakato halali kabisa. Walikuwa interviewed na kufanyiwa character assesment.
Coincidence ni kuwa katika walinzi walioajiriwa wapo ambao awali walikuwa Walinzi wa Askofu Gwajima ambaye pia ni askofu wa Josephine. Josephine hana mlinzi binafsi.
Waliotoa mada ile waje wathibitishe walinzi binafsi wa Josephine

Kwa hiyo mkuu ina maana Josephine haendi kanisani na walinzi kwa kuwa walinzi ni wa Dr. Slaa na naamini Dr. Slaa haendi kwa Gwajima, au nimekosea?
 
Mkuu Maranya, baada ya kusoma uzi nimegundua kwamba kwa upande wa Mwigamba kuna elements za kuonewa. Hivi unaleta accounting package ambayo naamini imekuwa developed na siyo kuchukuliwa kutoka dukani (on the shelf) halafu unasema ameshindwa kuitumia; je alikuwa trained, alishirikishwa katika mchakato wa kui develop? Hii package inaonekana kama imekuwa imposed kwa akina Mwigamba bila kufuata utaratibu wa System Development Life Cycle. Siku zote system ambazo hazikufuata utaratibu huwa zina failkwa kuwa hukosa User Acceptance. Pia mkuu umeseme Mwigamba ni fundi mchundo; imekuwa tena aingilie mambo ya IFRS 9 au ni Mhasibu pia kwa maana ya Certified Public Accountant? Kama si mhasibu na mkampa uhasibu basi mlimuonea tangia mwanzo na hapa ni maendelezo tu ya kumuonea.
Mkuu wangu sidhani kama kaonewa mtu. Ikiwa huyo Mwigamba hakuwa mhasibu na alichukuliwa tu kufanya data entry ndio maana hakujua tofauti zinazozungumzwa. Nawajua watu kibao wanaofikiria anyone can do accounting kwa sababu hutengeneza mahesabu yao kwa kutumia excel, sasa wanapoletea kitu kama hicho huwa hawajui wataanzia wapi kwa sababu Uhasibu ni taaluma sio academic kama wengi wanavyofikiria. Na maadam mnasema Mwigamba ni fundi mchundo basi naelewa kwa nini hafai kubakia accounting.. Hakuonewa hata kidogo ni wakati Chadema wanatakiwa kuajiri watu waliosomea Uhasibu...

Nasdaz,
Mkuu tunapima tu ukweli uko wapi mengi tunayajua kabla ama wakati habari hizi zinatoka..ni swala la mimi kujaribu kukuweka wewe sawa lakini sio mimi maana najua kinachofanyika. Sasa niamini au usiniamini..
 
Back
Top Bottom