Uchunguzi wangu binafsi kuhusu madai ya Tuntemeke & Co

Mkuu Mkandara kumbe na wewe haujambo enhe katika kuhamisha concetration za watu, kama MTM vileee, LOL! Umeona kule watu hawachoki, wacha utudondoshee link ili tuje huku, haya bana!
Anyway, ninachokiona hapa si kwamba CHADEMA wana safari ndefu bali nchi ina safari ndefu!! Kule akina TUNTEMEKE wametakiwa kutoa ushahidi, hapa hao hao waliowataka wakina TUNTEMEKE watoe ushahidi nao wametoa mada zisizo na ushahid!! Wana raha sana waliozoea jukwa la maladavi, hakuna mambo ya ushahidi kule!

come on buddy.... what is this dude?
 
Asante sana mkuu. Hoja hapa sio kuonewa ama kutokuonewa kwa Mwigamba. Hoja ni msingi wa kina Tuntemeke kudhalilisha tena kwa hoja za uongo kabisa viongozi wa Chadema
Kwenye Busara point of view, sio mwenendo mzuri sana kuwazungumzia jukwaani na kwa undani namna hii watu kama Mwigamba ambao kwanza ni mwenyekiti wa chama mkoa ambao kuna uchaguzi na pia bado anajihusisha na kazi za kila siku za chama, kwa kuwa hatazijibu hizi tuhuma humu jukwaani moja kwa moja. Huenda anaendelea kujibu kutumia ID ambayo wote hatujui kama ni yeye unless aingie kama verified user. Pia malumbano haya ya wana CDM wa JIKONI humu jukwaa la wazi yanatoa nafasi nzuri sana kwa wapinzani wenu kuwajua vizuri na hivyo kuwamaliza wakipata fursa. Tumejua kinachoendelea na kila mtu achanganye na akili zake kichwani. Rev ulichotupatia ni point muhimu but ufafanuzi wako usijikite katika kuweka hadharani utendaji wa chama na vitu vya ndani sana ya chama
 
You missed my point kaka
Sijamaanisha Josephine anataka kupewa uhasibu wa chama hapana
Sasa unataka kusema motive ya huyu mama kuhusika na kumfukuza Mwigamba ni ipi?. yaani kosa lake ni kuombwa awatafutie Chadema package ya accounting?. Ati mkitaka kufanyie tender jamani mko dunia gani haswa..
 
Nimeelewa sasa kwamba JF = CDM. CDM wakisemwa kidogo tu humu watu wanawatetea mpaka mapovu yanawatoka mdomoni
(i) Slaa aoe, kwa nini hataki kuoa hata bomani? Utamu wa k..a zote uko sawa, aache ushamba, atulie manake ninavyoona 2015 anaweza kuja na 'toleo jipya'
(ii) Ni kweli alifukuzwa upadri kwa kula hela ya kumpokea papa (aliliibia kanisa?!)
(iii) Mwigamba mwaga evidences hapa tuchambue
 
Its time John mnyika uje jukwaani utoe ufafanuzi wa mambo haya. usiwe kama huyo Tumbo ambaye mmemuondoa kwa kutofanya kazi vizuri. JF imepwaya sanatokea dada Regia atutoke. hata Zitto Kabwe haonekani huku kama ilivyo kwenye twitter.
Mnyika tunahitaji maelezo ya haya maswala maana Josephine hata akieleza lakini kauli yake haiwezi kuwa kauli rasmi ya chama.
 
Binafsi sihitaji kujua akina TUNTEMEKE ni akina nani na wala sioni hoja yako hapa............
Cha msingi ni kuthibitisha kama tuhuma zinazotolewa ni za kweli au la

Ni hulka ya binadamu anapobaniwa huamua tukose wote na hasa akama najua madhambi yako, sasa kama akina TUNTEMEKE walikua humo na wakatolewa wewe huoni wananafasi nzuri ya kujua madudu yanayofanyika humo hata kama nao kwa namna moja au nyingine walikuwa wanashiriki?

Binafsi najua kama Mchumba wa Dr Slaa ni aina ya akina mama Mugabe, anafanya atakalo pale HQ na hakuna wa kumgusa na hili mkuu kama kweli upo hapo HQ unalijua vizuri sana

Ni zaidi ya unafiki kusema Josephine hana mkono katika kuondoka kwa Mwigamba
Josephine angejuaje kama CDM wanahita hiyo software kwaajili ya uhasibu? hivi kuna hitaji akili ya ziada kujua Dr na Mchumba wake walikaa chumbani usiku na kupeana hilo deal?, au kunatangazo lilitoka kuwa anatakiwa mtu wa kujitolea kwaajili ya software ya uhasibu?

Softwares za uhasibu zimejaa kibao na kama hiyo ni mpya na imebuniwa na josephine basi kulikuwa na haja gani ya kumfukuza Mwigamba wakati kilichotakiwa ni kufundishwa namna ya kuitumia? hizo zingine ni porojo tu, josephine anatafutiwe sehemu apachikwe

Mkuu acha unafiki na Mungu wako anakuona huko uliko, unajifanya hujui Josephine analipwa hela za Chama na kutumia magari ya chama wakati si mwajiriwa wa chama wala mke wa Dr,
Hivi hawara ana right gani katika chama? bora angekuwa mke wake, Josephine ni HAWARA tu wa Dr Slaa.
Mnaleta habari za usalama wa mtoto ina husu nini na chama?
Kisheria Dr slaa yupo single full stopna chama kinawajibika kwake na si kwa hawara, unless angekuwa mkewe labda angepata stahiki fulani fulani

Mkuu kama una access na Dr Slaa mwambie taratibu huyo sijui mchumba wake atamuharibia na kasi anayokwenda nayo kwa kuji involve na mambo ya chama ita mcost Dr slaa mwenyewe, inadaiwa maamuzi mengi Dr anayafanya kwa shinikizo la huyu mama ili apata favour mbali mbali kutoka kwenye chama
Hatumjui mke wa mbowe wala Tundu Lisu wala said Arf ,its all about Josephine,
Hatutaki kuja kupata first lady wa jamii ya akina Anna Mkapa au mama Museven, NOPE

Nakubaliana na wewe kwamba CHADEMA will be better off kwa kumuweka kando Josephine. Aliyokwishafanyia chama ashukuriwe then watu wosenge mbele. Uwepo wake sasa unaanza kuwa source of un-neccessary debate. Ni ushauri tu CHADEMA.

Lakini hapo kwenye red: Mbele ya sheria Dr Slaa sio single. Ukishakaa na mwanamke kwa zaidi ya miezi sita basi anahesabika kama mke. Hivyo kama 'mama mdogo' yuko kwakO tangia mwezi August 2011 basi ndugu una mke! Tarumbeta na ubwabwa ni juu yako lakini mke tayari unaye ndani!
 
Nimeelewa sasa kwamba JF = CDM. CDM wakisemwa kidogo tu humu watu wanawatetea mpaka mapovu yanawatoka mdomoni
(i) Slaa aoe, kwa nini hataki kuoa hata bomani? Utamu wa k..a zote uko sawa, aache ushamba, atulie manake ninavyoona 2015 anaweza kuja na 'toleo jipya'
(ii) Ni kweli alifukuzwa upadri kwa kula hela ya kumpokea papa (aliliibia kanisa?!)
(iii) Mwigamba mwaga evidences hapa tuchambue
Sasa hizi tuhuma zinahusiana vipi na Dr.Slaa kuwa katibu wa chama au mwana Chadema?..
 
Asante sana mkuu. Hoja hapa sio kuonewa ama kutokuonewa kwa Mwigamba. Hoja ni msingi wa kina Tuntemeke kudhalilisha tena kwa hoja za uongo kabisa viongozi wa Chadema

Lakini kiongozi mbona hoja za TUNTEMEKE zipo open kabisa?! Sawa, anadhalilisha uongozi wa juu wa chama...na hoja zake za msingi ni kwamba mambo mengi aliyoyafanya Dr Slaa hayakupata baraka za chama! Sasa kuna taabu gani hapo kwa Dr Slaa kuonesha kwa vielelezo kwamba aliyoyafanya yalipata baraka za chama?! Kwani vikao vyenu havina minutes?! Unataka kuniambia viongozi wanakutana tu na kukubaliana kwa mdomo?! Ikiwa hata SACCOS za uswahilini zina minutes za meetings zao, ije kuwa CHADEMA?! Sasa kama kweli TUNTEMEKE anafanya makusudi ili kumchafua Dr Slaa, kkwanini Dr asijisafishe kwa kutoa nyaraka?! Juzi, Josephine alitoka hapa jamvini kwa mbwembwe kwamba anaenda kuleta vielelezo, mbona hadi sasa hajatokea?! Shelves za documents zenu zinapatikana wapi? Ili mradi ushahidi unaotakiwa si mkubwa sana zaidi ya muhtasari ya vikao, basi kadri watakapochelewa kutoa vielelezo hivyo ndivyo uhalali wake utakapokuwa na shaka!! KWANINI? Kwa kawaida, minutes za vikao huwa zinafailiwa sehemu maalumu na pale zinapohitajika ni rahisi tu kuzipata! Hivyo, kuchelewa kutoa vielelezo hivyo wakati Josephine alidai anaenda kuleta ushahidi, napata shaka kwamba kuna documents zinapikwa!
 
Well chadema wanapaswa kutambua kuwa kwa hali ilivyo ya kisiasa nchini itegemewe kuwa lazima watakuwa na maadui wengi kwa sasa. CCM wanafanya kila liwezekanalo kupata info za ndani kabisa ya chama, slaa, mbowe, zitto, and co. ili kuprove kwa watanzania kwamba chadema hakifai kuhakikisha tunapoelekea 2015 basi tumaini la watanzania libaki CCM. Je inawezekana kuna majasusi wa CCM ndani ya chadema wasiotajwa kwenye huu utafiti wa ndugu Rev.mzito K.?

Anyway point yangu ni kwamba hawa kina tuntemeke, tii na paa, si lazima wawe akina Erasto Tumbo au Samson Mwigamba au walioshindwa bavicha. Wanaweza wakawa watu wengine kabisa ndani ya chama wasioweza kushtukiwa kirahisi. Ni suala tu la kupozi kiaina usishtukiwe huku ukikusanya data zozote zenye utata ndani ya chama na kuzipeleka ccm au JF, ali mradi upo kwenye payroll ya CCM.

Solution siyo kufocus kwa baadhi ya watu ndani ya chama. Kwanza hiyo italeta migogoro isiyo na msingi kuanza kufatilia maisha ya watu ya binafsi. Solution ni kwa chadema kama chama cha siasa kufanya mambo yao kwa taratibu za chama kitaalamu na kikatiba. Mwovu hatapata nafasi mahali penye utaratibu, uwazi na ukweli.
 
Nilichokiona hapa ni kuchafua watu bado sijapata connection ya watu hao na tunte/tii/paa. Madhara yake ni makubwa sana kwa cdm ni bora uzi ukafutwa
tatizo la cdm fans ni kuamini kila kitu bila kufikirisha ubongo kwa mapana
Mkuu nadhani kwako wewe Tunte,Tii na Paa ni watu watau tofauti. Kama kweli unaamini hivyo utakuwa umekosea sana
 
Kwako Dr. Slaa,
Hizi tuhuma yawezekana si kweli au zina ukweli fulani. Ila najua zimekuathiri kwa kiasi pamoja na familia yako, kwa binadamu yoyote tuhuma hazipendezi.

Sasa na wewe umewatuhumu watu wengi sana, na wengine hawajawahi kupata hata sehumu au mtu wa kuwatetea, jamii imewachukulia mafisadi kwa maneno yako. Inauma sana hasa wale uliowasingizia kwa ushahidi mdogo au wa kutungwa tu na waliokupa. Wameumia sana na familia zao.

Ni vizuri kuachana na siasa za kukashfiana maana zitakurudia ukiziendeleza. Naunga mkono mapambano yako lakini usiwatuhumu watu kwa ushahidi legelege.

Usiniulize mfano jipime mwenyewe, pitia list yako kama kuna watu uliwaonea fahamu wanapita kipindi kigumu na jipime mwenyewe la kufanya.
 
Sasa unataka kusema motive ya huyu mama kuhusika na kumfukuza Mwigamba ni ipi?. yaani kosa lake ni kuombwa awatafutie Chadema package ya accounting?. Ati mkitaka kufanyie tender jamani mko dunia gani haswa..
Mkuu ofisi hizi zinaficha mengi...... unadhani akihoji uhalali wa malipo ya "familia" ya katibu mkuu ambayo haipo itakuwaje?
Hivi mkuu naona unaitetea sana hiyo software kama sababu ya kumtoa Mwigamba, Kujua uhasibu na kujua kutumia software ya uhasibu ni vitu viwili tofauti kabisa. there's more than thousands Accounting softwares in this world, you need to learn one in order to use it.........Alifundishwa akashindwa?

Kuhusu Erasto Tumbo, huyu bwana simfahamu lakini kama ni yeye aliyekuwa anasimamia kuregenzi ya habari CHADEMA wako sahihi kabisa kumuondoa kwenye nafasi hiyo. Kwa muda mrefu wadau wengi hapa JF wamelalamika sana kuhusu mawasiliano hafifu ya CHADEMA. Regia Mtema (RIP) ndiye aliyekuwa anaokoa jahazi mara kwa mara kwa kuwapa watu updates (hata wakati wa matukio makubwa). Ni vigumu kuamini kuwa CHADEMA walikuwa wanamlipa mtu kuendesha hii kurugenzi.

Mimi ni mmoja wa watu ambao tulikuwa tunawa-criticise Chadema kwa kutokuwa na system nzuri ya mawasiliano hasa kupitia technologia ya kisasa kuanzia kwenye tovuti yao na social media kwa ujumla. Nakumbuka wakati huo baadhi ya wafuasi wa Chadema hapa JF walikuwa wanatuponda sana, lakini ukweli kulikuwa na tatizo hilo. Hali ilikuja kujulikana wakati Mwanakijiji alipomhoji Dr. Slaa kwenye interview na Dr Slaa akakiri kuwa kulikuwa na hilo tatizo na kwamba wata-improve in future.

Kwa sasa inaonekana kuna improvement kidogo lakini more need to be done. Kwa mfano tovuti ya Chadema needs a complete overhaul. It needs to be re-designed ili iwe more friendly, interactive na kujenga connection zaidi na wanachama wake na the public kwa ujumla. In fact hili linatakiwa kufanywa kwa vyama vyote vya siasa.

Pia nimeona watu kama akina Michuzi wanadai vyama vya upinzani havipeleki picha na habari ili viwekwe kwenye blog zao. Kama ni kweli na kama hili linatokea pia kwenye vyombo vingine vya habari, kurugenzi za uenezi za vyama vya upinzani vinatakiwa kulitafutia ufumbuzi hili tatizo.

Mwisho, kuna member aliacha ujumbe kwenye ubao wangu akiulizia kama mimi ni Tuntemeke. Mimi sio Tuntemeke, simjui na sina na sijawahi kuwa na uhusiano wowote na Chadema.
 
Kwenye Busara point of view, sio mwenendo mzuri sana kuwazungumzia jukwaani na kwa undani namna hii watu kama Mwigamba ambao kwanza ni mwenyekiti wa chama mkoa ambao kuna uchaguzi na pia bado anajihusisha na kazi za kila siku za chama, kwa kuwa hatazijibu hizi tuhuma humu jukwaani moja kwa moja. Huenda anaendelea kujibu kutumia ID ambayo wote hatujui kama ni yeye unless aingie kama verified user. Pia malumbano haya ya wana CDM wa JIKONI humu jukwaa la wazi yanatoa nafasi nzuri sana kwa wapinzani wenu kuwajua vizuri na hivyo kuwamaliza wakipata fursa. Tumejua kinachoendelea na kila mtu achanganye na akili zake kichwani. Rev ulichotupatia ni point muhimu but ufafanuzi wako usijikite katika kuweka hadharani utendaji wa chama na vitu vya ndani sana ya chama

Mkuu nakushukuru, lengo langu ni kuweka mezani chanzo hasa cha mkakati wa kuwadhalilisha kina Slaa
 
Anayezusha yote haya ni Tuntemeke akishirikiana na Komu wala sio Mwigamba..hizi ndio habari za mujini nimemsikia siku nyingi sana huyu Komu na nimewaasa sana hapa JF ila ndio hamkutaka kuamini..

Naanza kuunganisha moja na moja na kupata mbili: teh teh teh.

Imeandikwa humu kwamba Komu ndiye mmiliki wa Gazeti Pendwa la Mwanahalisi, ikasemwa pia kwamba huenda Gazeti la Mwanahalisi likaanza kuanika maovu ya Dr. Slaaa kabla sijatafakari akaja mtu mwenye ID ya Mwanahalis akatoa vipande tosha dhidi ya Dr. Slaa. Nikasoma baadaye kwamba Komu naye kafutwa kazi ya kushika fuko la hela huko CDM!! Basi nasubiri kumsindikiza Dr. Golgota. Nasubiri sasa Gazeti la Mwanahalisi ili likemeee ufisadi ndani ya CDM kama lilivyokemea ufisadi ndani ya Serikali ya CCM.
 
Nakubaliana na wewe kwamba CHADEMA will be better off kwa kumuweka kando Josephine. Aliyokwishafanyia chama ashukuriwe then watu wosenge mbele. Uwepo wake sasa unaanza kuwa source of un-neccessary debate. Ni ushauri tu CHADEMA.

Lakini hapo kwenye red: Mbele ya sheria Dr Slaa sio single. Ukishakaa na mwanamke kwa zaidi ya miezi sita basi anahesabika kama mke. Hivyo kama 'mama mdogo' yuko kwakO tangia mwezi August 2011 basi ndugu una mke! Tarumbeta na ubwabwa ni juu yako lakini mke tayari unaye ndani!
Mkuu kwenye blue nashukuru kama unatambua hilo
Lakini kwenye Red sikibaliani na wewe kwa asilimia mia moja. Kisheria Josephine ni mke wa somebody Mushumbuzi na wana ndoa halali ambayo haija vunjwa, na ndio maana kama sikosei mwezi wa kwanza Josephine amafungua shauri mahakamani kutaka ndoa yake na Mushumbuzi ivunjwe rasmi na mahakama

Mkuu ofisi hizi zinaficha mengi...... unadhani akihoji uhalali wa malipo ya "familia" ya katibu mkuu ambayo haipo itakuwaje?
Hivi mkuu
naona unaitetea sana hiyo software kama sababu ya kumtoa Mwigamba, Kujua uhasibu na kujua kutumia software ya uhasibu ni vitu viwili tofauti kabisa. there's more than thousands Accounting softwares in this world, you need to learn one in order to use it.........Alifundishwa akashindwa?

paulss, plz nd plz; usije na wewe ukaishia kusema kwamba Mkandara na Josephine ndie huyo huyo (one and the same) ila tu anatumia multiple ID!
 
Mkuu ofisi hizi zinaficha mengi...... unadhani akihoji uhalali wa malipo ya "familia" ya katibu mkuu ambayo haipo itakuwaje?
Hivi mkuu naona unaitetea sana hiyo software kama sababu ya kumtoa Mwigamba, Kujua uhasibu na kujua kutumia software ya uhasibu ni vitu viwili tofauti kabisa. there's more than thousands Accounting softwares in this world, you need to learn one in order to use it.........Alifundishwa akashindwa?

Ndio nimesema hawezi hata akifundishwa kwa sababu Uhasibu ni taaluma unayosemea kwa miaka kibao. Uhasibu sio kujaza data bali kuelewa vitu vingi vinavyohusika.. Huwezi kunambia msomi aliyekuwa akifunga vidonda vitani, akifundishwa kusoma MRI basi anaweza kuifanya kazi ya Udaktari.. sii kweli.
 
Back
Top Bottom