kmdh
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 503
- 120
- Thread starter
- #81
Ndiyo sisi tuna migodi lakini tumewagawia wazungu. Wanatuachia 3% na mashimo. Tuna ardhi nzuri lakini pia tumeamua kuwakodishia wageni wajilimie na kupeleka chakula kwao. Wenzetu Carribea watoto karibu wote wanavaa viatu, sisi watoto wetu kwa idadi kubwa bado wanasoma kwenye mavumbi. We should be ashamed.
Roma haikujengwa siku moja. Wewe unataka kesho ukiamka ukute kila Mtanzania ana maisha ya juu? Hiyo haiwezekani. Sisi tunaenda na kasi yetu lakini tunaenda. Na maendeleo yanaonekana. Kama wewe ungekuwa na uwezo wa kuchimba ungechimba uchukue hiyo 97%. Kama ulishindwa basi usilalamike wenzao wakifaidika. Si ndiyo uchumi wa kileo huo?